Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa mwanafunzi wake,akaacha kufundisha akapambania uhuru. Leo ni miaka 22 bila Mwalimu.
ukutana kwa Mwalimu na Jakaya kwenye mkutano wa CCM 1979 ulikuwa ni mwanzo wa uhusiano uliodumu kwa muda mrefu. 1980 Jakaya alipoamishiwa DSM toka Zanzibar aliweza kuonana na Mwalimu mara nyingi.Mpaka sasa Jakaya hukiri kuwa Mwalimu alikuwa na mchango katika Safari yake ya Siasa.
Mwalimu alimuona na akatambua uwepo wa Jakaya 1979 kwenye kikao cha Chama.Kwenye kikao,Mwalimu alikuwa anaeleza Kwanin tunapigana vita ya Kagera.Jakaya alikuwa anaandika yale yaliyokuwa yanajadiliwa kwenye kikao hicho,Mwalimu akavutiwa na Jakaya akasoma yale aliyokuwa anayaandika.
Mwalimu alitoka madarakani akiwa na miaka 63,Mwinyi akaingia akiwa na miaka 60.Kwenye kuapishwa kwa Mwinyi, nembo na bendera ya raisi zilitolewa kwenye gari la Mwalimu vikawekwa kwa Mwinyi.Pia Mwinyi akakaa kwenye kigoda na akapewa Mkuki na ngao ambavyo Mwalimu alipewa mwaka 1961.
Mwalimu hakuwahi kuendesha gari wala hakutaka hata kujifunza.Vile vile alipunguza mshahara wake toka sh 5000 mpaka sh 4000 na akasisitiza serikali isimlipie gharama za kuendesha familia yake mfano chakula na ada za watoto.Katibu wake alikuwa anapokea mshahara mkubwa kuliko yeye.
Mzee Aikaeli Mbowe Freemanmbowetz's father.
greeted his friend, Mwl, Julius K. Nyerere (who gave the name, Freeman, at his baptism day, 9 Dec 1961). They sought the independence of Tanganyika together. Freeman Mbowe is now being charged with terrorism-related crimes).
“Although you can trust Julius (Nyerere) with a million dollar you can’t trust him with a pretty woman. "
An old friend of Nyerere in "Development as a Rebellion: A Biography of Julius Nyerere."
Happy Nyerere Day Tanzania 🇹🇿 https
Karibuni tuendelee kumkumbuka Baba wa Taifa kwa fact zake zilizowahi kutokea huko nyuma ktk kipindi chake cha uongozi na harakati za kupigania uhuru wa Taifa letu ili liweze kuwa huru kutoka kwa wakoloni
Pia tuweke wish zetu kwa Mwl. J. K. Nyerere tukianza na hashtag ya "DearNyerere"
"Dear J.K Nyerere, bado Tz tunateswa na Ujinga, Maradhi na Umaskini uliopitiliza tangu tupate Uhuru, wengi wetu bado ni watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe😢😢😢😢 "
"DearNyerere Hii vita wajukuu tunapigana wenyewe ni ngumu kuliko uliyopigana na mkoloni na hata ungekuepo usingetoboa."
#DearNyerere sikuiz vijana wenye degree tunaambiwa tujiajiri na watu walio ajiriwa.
Karibuni tuendelee kushusha wish zetu kwa Mwl. J. K. Nyerere