Kumbukumbu: Watakapokuwa baadhi ya watu baada ya 2025

Kumbukumbu: Watakapokuwa baadhi ya watu baada ya 2025

Corona! Hao mbumbumbu walioruhusu herd immunity watatangulia kwanza wao, mark my words!
Mkuu hauna akili hata kidogo, wale vijana wa China walipo kuwa wanaomba msaada warudishwe Tz nyie ndio mlikua kimbelembele kuwakemea na kuwa kebehi leo ndio wa kwanza kulia kulia. Kama mliwaacha wale vijana wakomae na hali yao bila msaada wowote na wewe komaa na hali yako acha kulaumi viongozi.
 
Huwa inaanza kama masikhara vile na kuishia kuwa ni kweli ,Wahenga waliona mbali sana walipo fikiri na kusema; "Mwisho wa Ubaya ni Aibu" ...Ipo Siku itafika Aibu yao.
 
Gambo alitubu ila Hapi wa iringa hajitambui ila kwa wote jumba bovu ni bashite huyu atagombaniwa Kama mpira wa Kona mpaka uzee wake . Bila kumsahau baba lao.o
 
Kuna uwezekano mkubwa sana Mh Paul Makonda ndo akawa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2025. Kuna sababu nyingi sana ambazo nitazidadavua siku nyingine. Lakini pia, vijana kama Martin Shigella, Ally Hapi, Mrisho Gambo, Anthony Mtaka, Albert Chalamila wakiamua kugombea ubunge Octoba 2020 wakapata majimbo ni rahisi sana wakawa mawaziri wote awamu ijawa na hivyo kuendelea kuwa mawaziri 2025 kwa sababu watakuwa wamedemonstrate. Weka kumbukumbu vizuri kwenye diary yako tuongee tena Octoba 2025
 
Sisifii uzi wako. Ila kuna haja ya viongozi wetu kutafakari kesho yao.
Leo una mdaraka.. kesho utakuwa mwananchi wa kawaida tu.
Je jamii itakuchukuliaje?
Ni Hadi uwe umeelimika ndio kesho yako nzuri yaja
 
Kuna uwezekano mkubwa sana Mh Paul Makonda ndo akawa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2025. Kuna sababu nyingi sana ambazo nitazidadavua siku nyingine. Lakini pia, vijana kama Martin Shigella, Ally Hapi, Mrisho Gambo, Anthony Mtaka, Albert Chalamila wakiamua kugombea ubunge Octoba 2020 wakapata majimbo ni rahisi sana wakawa mawaziri wote awamu ijawa na hivyo kuendelea kuwa mawaziri 2025 kwa sababu watakuwa wamedemonstrate. Weka kumbukumbu vizuri kwenye diary yako tuongee tena Octoba 2025
Labda raisi wa wafungwa jela au wa Wasukuma.Hana cv,hakubaliki kimataifa,pia usidhani watz ni maiti kihivo
 
Gambo sioni shida yake. Huyu kijana yuko vizuri hakurupuki. Ana stahili kuendelea. Sio rahisi kwa hawa maboya ulio wasema hapo juu kuleta amani Arusha kama alivyo fanya Gambo
nakubaliana na ww, Gambo mwanzoni alikuwa anajaribu kuiga staili ya Makonda lakini haikuchukua muda akabadilika.

Gambo wa sasa kawa kiongozi kweli, ana hekima na busara...pia sio mkurupukaji.
kongole kwake.

hao wengine uliowataja wako kama machizi, wana mihemko ya hatari...kwangu mm hawafai kbs kuwa viongozi kwani wanaweza sababisha hata maafa kwa wananchi wanaowaongoza
 
Huu uzi uwekwe kama kumbu kumbu na tuje kujikumbusha watakapokuwa wamefikia 1: Ndungai 2: Makonda 3: Gambo 4: Chalamila 5 Polepole Uwenda na mimi sitakuwepo ila nataka huu uzi uwe wa kumbukumbu kwao kwamba hata uko nyuma kulikuwa ma watu wasioguswa miamba lakini walianguka vibaya.

Dua la kuku kwa mwew
 
Back
Top Bottom