Mkuu hauna akili hata kidogo, wale vijana wa China walipo kuwa wanaomba msaada warudishwe Tz nyie ndio mlikua kimbelembele kuwakemea na kuwa kebehi leo ndio wa kwanza kulia kulia. Kama mliwaacha wale vijana wakomae na hali yao bila msaada wowote na wewe komaa na hali yako acha kulaumi viongozi.Corona! Hao mbumbumbu walioruhusu herd immunity watatangulia kwanza wao, mark my words!
Mpumbavu Kwa kumzidi Akili mboweOngeza DC wa Hao...ni mpumbavu sana yule
Mpumbavu Kwa kumzidi Akili mbowe
Ni Hadi uwe umeelimika ndio kesho yako nzuri yajaSisifii uzi wako. Ila kuna haja ya viongozi wetu kutafakari kesho yao.
Leo una mdaraka.. kesho utakuwa mwananchi wa kawaida tu.
Je jamii itakuchukuliaje?
Labda raisi wa wafungwa jela au wa Wasukuma.Hana cv,hakubaliki kimataifa,pia usidhani watz ni maiti kihivoKuna uwezekano mkubwa sana Mh Paul Makonda ndo akawa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2025. Kuna sababu nyingi sana ambazo nitazidadavua siku nyingine. Lakini pia, vijana kama Martin Shigella, Ally Hapi, Mrisho Gambo, Anthony Mtaka, Albert Chalamila wakiamua kugombea ubunge Octoba 2020 wakapata majimbo ni rahisi sana wakawa mawaziri wote awamu ijawa na hivyo kuendelea kuwa mawaziri 2025 kwa sababu watakuwa wamedemonstrate. Weka kumbukumbu vizuri kwenye diary yako tuongee tena Octoba 2025
nakubaliana na ww, Gambo mwanzoni alikuwa anajaribu kuiga staili ya Makonda lakini haikuchukua muda akabadilika.Gambo sioni shida yake. Huyu kijana yuko vizuri hakurupuki. Ana stahili kuendelea. Sio rahisi kwa hawa maboya ulio wasema hapo juu kuleta amani Arusha kama alivyo fanya Gambo
Huu uzi uwekwe kama kumbu kumbu na tuje kujikumbusha watakapokuwa wamefikia 1: Ndungai 2: Makonda 3: Gambo 4: Chalamila 5 Polepole Uwenda na mimi sitakuwepo ila nataka huu uzi uwe wa kumbukumbu kwao kwamba hata uko nyuma kulikuwa ma watu wasioguswa miamba lakini walianguka vibaya.