Kumbukumbu ya Hayati Magufuli isiwe sikukuu ya kitaifa, ifanywe na CCM

Lilikuua wewe au kubali tu magufuli hata akija kesho atakua rais wa nchi hii nyota yake inawatesa mashetani kama wewe HADI sasa hamna amani
Akikusikia baba yake Ben saa nane atakuchima kisu matakoni. Unatukuza ile laana aliyoiondoa duniani fasta baada ya vilio vya watu kutamalaki?
 
Acha kumlinganisha Karume na vitu vya ajabu.
Alikuwa katili zaidi ya Magufuli.Sasa wewe na ukoo wenu wote kwa pamoja mumemzidi nini Magufuli 🤣🤣🤣.Huo ndiyo ukweli!
Punguza makasiliko Mkuu,mpewa na Mungu,hapokonyeki!
 
Iwe sikukuu ya Sukuma Gang tu
 
Magufuli ndio rais bora kwangu namkubali mpaka namkubali tena, kama hii inakuumiza sina namna ya kukusaidia.
 
Umeongelea waliobomolewa nyumba zao kule Kimara, kumbuka walikwenda mahakamani na wakashindwa, hivyo JPM alikuwa anasimamia taratibu na sheria za nchi hii.

Kabla hajawa rais wanasiasa hao hao waliiharibu sana TZ hivyo kuja kwa JPM kama rais mwenye maamuzi magumu isingetegemewa wale waliofaidika na uharibifu wa mifumo ya rushwa waje kumpenda. Yapo ya kinyama aliyafanya na yanautia doa urais wake.

Lakini kumbuka yale mema aliyoyafanya kwa ujasiri wa kipekee kama ujenzi wa fly overs na ufufuaji wa shirika la ndege lililokuwa limekufa miaka ya kabla ya urais wake.

JPM amenunua rada nne zinazoimulika TZ saa ishirini na nne, hakuna tena vindege vya ajabu kuingia ndani ya anga letu na kutuibia tukiwa kimya tu kama wajinga fulani, JPM alileta moyo wa jeuri ya kitanzania ambayo watangalizi wake hawakuweza hata kuifikiria.
 
Sikuwahi kuwaza kuna watu mko nyuma hivi..... Peponi??? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…