Kumbukumbu ya Hayati Magufuli isiwe sikukuu ya kitaifa, ifanywe na CCM

Kumbukumbu ya Hayati Magufuli isiwe sikukuu ya kitaifa, ifanywe na CCM

Kikwete atengewe siku ya kukumbukwa kwa lipi?

Punguza dharau. Kikwete ana mazuri mengi pengine kuliko Magufuli, sema Magufuli alikuwa one man show yani credit zote kwake, kikwete aliruhusu wengine washine.
 
Kwa hizi 'comments' ninazoziona humu;naendelea kujiridhisha kwamba kuongoza watu ni kazi ngumu mno.Kwa anayejitambua humkuti akikimbilia uongozi maana kwake ni DHAMANA.Kwake ni kazi ngumu na nzito na mzigo mkubwa unaoumiza kichwa.
 
Mtapinga sana lakini tayari tumeshajenga Makumbusho yake hapo Chato. Hatuwasikilizi wenye vyeti fake na mafisadi tunajua aliwanyoosha sana hamuwezi kumkubali kwa kuwa aliwazuia ulaji wenu wa kiwizi.
Awamu ya 6 yamefunguliwa, kila yakiiba yanaona kivuli cha Magufuli yanaweweseka.
 
Matapeli yaliyotumbuliwa na JPM ni makali kinoma,yana hasira hayo....
Magu day lazima iwepo mtake msitake.

Mbona yeye alitapeli pesa za Plea bargaining na tetemeko kagera?. Tapeli mkuu alikuwa ni Magufuli mwenyewe.
 
Sasa Kama Karume anaenziwa pamoja na kuwa Dikteta,kwanini Magufuli asienziwe kitaifa?
Lamba ndimu za buku kwa Mangi hapo gengeni ili upunguze uchungu dhidi Marehemu Magufuli,nitalipa

Acha kumlinganisha Karume na vitu vya ajabu.
 
Mwendakuzimu alikuwa ni Kibaka aliepora fedha halali za Watanzania bila aibu🐒🐒🐒
AFpdk.jpeg
X0AA3y3y.jpeg
AJNUp.jpeg
 
Kwa sababu ni the best president ever, kama inauma sana ichomoe

Best president ever kumlinganisha na Nani? Utamlinganishaje Rais wa 1961 na Rais wa 2015? Are you serious.

Mbona akina mwinyi, mkapa, Kikwete hawakujilinganisha?. Siku Magufuli alipoanza kujilinganisha na Nyerere ndio nikajua hamna kitu hapo. Bora alioondoka, alijiona bila yeye Tanzania haiwezi kwenda.
 
Lilikuua wewe au kubali tu magufuli hata akija kesho atakua rais wa nchi hii nyota yake inawatesa mashetani kama wewe HADI sasa hamna amani

Magufuli alikuwa na nyota?. Siku ametangazwa kufariki watu wamefanya sherehe. Ukiondoa Nyerere aliyekuwa na nyota ni kikwete. Mwaka 2005 alipata kura asilimia 81, wakati Magufuli alipata asilimia 57 mwaka 2015 ndio maana kuogopa aibu akaharibu uchaguzi wa 2020.

Jiulize, Mbona kifo Cha maalim Seif kiliwaunganisha wazanzibari wote?. Huku bara kifo Cha Magufuli kimetugawa.
 
Tanzania hakuna vyama serious vya siasa hapa niunafiki na upigaji tu.

Hapa viongozi wa vyama vya siasa wakisha hakikishiwa ulaju na watawala wanatulia na kufanya maigizotu.

Vyama serious ndio Nini?. Mbona miaka Saba Sasa hmmmevifungia kufanya siasa. Yani umemkataza mtu kufanya kazi halafu unamcheka Hana pesa. Tuache unafiki, miaka Saba ni mingi Sana.
 
Hiyo data ya asilimia 90 uliipata wapi.? Mwaka 2015, Magufuli alipata asilimia 57 ya kura zote Tena zingine kwa wizi. Ndio maana 2020 kaamua kuharibu uchaguzi kwa hasira kwa kuogopa kushindwa na Lissu.
Bila ule ujambazi hata asilimia 30 asingepata
 
Magufuli alikuwa na nyota?. Siku ametangazwa kufariki watu wamefanya sherehe. Ukiondoa Nyerere aliyekuwa na nyota ni kikwete. Mwaka 2005 alipata kura asilimia 81, wakati Magufuli alipata asilimia 57 mwaka 2015 ndio maana kuogopa aibu akaharibu uchaguzi wa 2020.

Jiulize, Mbona kifo Cha maalim Seif kiliwaunganisha wazanzibari wote?. Huku bara kifo Cha Magufuli kimetugawa.
Ume weka rocord sawa
 
Vyama serious ndio Nini?. Mbona miaka Saba Sasa hmmmevifungia kufanya siasa. Yani umemkataza mtu kufanya kazi halafu unamcheka Hana pesa. Tuache unafiki, miaka Saba ni mingi Sana.
Hahhaa wambie wambie
 
Magufuli ana mapungufu yake lakini aligusa watu wengi sana katika Taifa hili. Mpaka muongo mmoja au Mwili ipite ndio kizazi hiki kidogo kitaanza kusahau mazuri yake au kinaeza kikampa umaarufu zaidi. Ila kumpiromosha Moja Kwa Moja ni ngumu sana .
 
Back
Top Bottom