Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

wacha kuleta monopoly of knowledge
tatizo lako wewe na unaofanana nao fikra umejawa na dhana ya "umasihi",yaani mudi ndo alfa na omega!
watu wanasoma na 'kucritiq' alichoandika bahati mbaya anataka watu wameze kama ilivyo,watu wanachambua pumba na mchele !
Mtanganyika fanya "critique," lakini fahamu hiki kitabu kipo miongo miwili sasa na "reviews," zilishaandikwa na mabingwa wa historia ya Tanganyika.

Kitabu kishapita "stage," hiyo ya "critique," sasa ni kuja na "corrective discourse. "

Hiki ndicho mnachotakiwa kufanya kwa sasa.
Prof. Shivji na timu yake hiki ndicho wanachokifanya hivi sasa.

Wanaandika kitabu na wamenihoji.
Naingia maktaba nitaweka picha In Shaa Allah.

VUb-GZZFOS84EdyYa9UI9azeF94Gr3aj-SO2X7vxWudgOEbEWqCB6fL-iVJ9dRDeqTnwoqAQaNJ18sBFxvm1UQSHUkAgON2GLU2ULRu2KIPE_0sfJ4JNN_FVYu3w4hgpz6fns3iHxJ78ZJC0AFvWItUDWPE5wkKNJFNTtVUKEjrr8CcBXvQdxj1Zoqe5Ykm0C3FE_8YrNb_dfNcHuWiv6NDxp1KvUOfM3OkSUJdlTFzXcYW2mLnx3kUkdP3Nr89pUGgJh_9X5pCj8NXZW5wWLdYniDduxTBQRDyar30hzufSaLIA2H6QpSGyG5ktv1d2ok-fzYY-V-I5KcKARpTjdRH_FqcaSNt0Ob7iDnsKP9HTDeWon1W90IWhKlf8ohQDqKzFuI5GgTOsLVEEVRPPHv-5yqGt0L9yOWpKsee-V8jd5AwBR8Cja2MpLaux7G34_mDLTdyXaCsHsawBftBo0sI93BbjQrxwVjJCVN8-2geotBO43HcXEaDJcLPqDdIO8rL29M7fpyp0ErKbKH-EH6JcfAtEMyFG1PkwBW94goj0c80_1Vwb6GDfEyHB_POiVAbLB1d-br4I3vDq7PW0mpotFiod6McaqO45RPM_5oY_799lGybfit8O=w800-h534-no

Kulia: Prof. Issa Shivji na Prof. Said Othman
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanganyika fanya "critique," lakini fahamu hiki kitabu kipo miongi miwili sasa na "reviews," zilishaandikwa na mabingwa wa historia ya Tanganyika.

Kitabu kishapita "stage," hiyo ya "critique," sasa ni kuja "corrective history. "

Hiki ndicho mnachotakiwa kufanya kwa sasa.
Prof. Shivji na timu yake hiki ndicho wanachokifanya hivi sasa.

Wanaandika kitabu na wamenihoji.
Naingia maktaba nitaweka picha In Shaa Allah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana. Hizi ni hatua nzuri za kimafanikio. Natumai Yericko na wengine kama sisi tunajifunza namna kitabu kinavyopita hatua za kiuandishi. Mzee, usione watu wanakukosoa na wanakubishia, yote ni kutaka kuelewa kwa undani. Haiwezekani ukaandika kitabu au kijarida halafu wakakosekana wadadisi, wafukuzi na wakosoaji.
 
sasa usaha ni tusi?
wacha porojo za mudi,basi ngoja nikuite "fedhuli" km mudi alivyomuita nguruvi,naona hapa hutachukia!
Mtanganyika ondoka huko katika "mudi," na "porojo," nakusihi hiyo inakushusha.

Sitaki kujipigia zumari lakini katika somo hili mimi nina heshima yangu.

Watu wengi wanaingia kutusoma sasa ikiwa michango ndiyo hiyo mie nitakupuuza na sitakujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana. Hizi ni hatua nzuri za kimafanikio. Natumai Yericko na wengine kama sisi tunajifunza namna kitabu kinavyopita hatua za kiuandishi. Mzee, usione watu wanakukosoa na wanakubishia, yote ni kutaka kuelewa kwa undani. Haiwezekani ukaandika kitabu au kijarida halafu wakakosekana wadadisi, wafukuzi na wakosoaji.
Kwezisho kukosoana hakuna tatizo.
Wengine wanatukana na kukejeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nguruvi3, mimi sitakaa sana kwenye huu mnakasha kwa sababu mambo mengi ya Mohamed Said naona ni yale yale, santuri yake ni ile ile, malengo yake ni yale yale, ngano zake ni zile zile na hadithi zake anazojaribu kuzipaka rangi zinaonekane kama za kweli ni zile zile...anachosahau, kaniki ni kaniki tu!

Hata hivyo naomba nichukue nafasi ndogo tu kuwatahadharisha wasomaji wanaomeza ngano zake bila kuzitafakari kwa kuwakumbusha huu msemo; unaweza kuwadanganya baadhi ya watu nyakati zote, unaweza kuwadanganya watu wote baadhi ya nyakati lakini katu huwezi kuwadanganya watu wote nyakati zote.

Ukweli ni kuwa Mohamed Said anapigania kuwainua wazee wake kwa kutumia mgongo wa dini na kwa namna fulani kawateka wengi. Kwa kuwa wazee wake, Wamanyema walikuwa wahamiaji tu nchini Tanganyika anatumia kila hila kuwahalalisha na kwamba nao walishiriki katika harakati za kudai uhuru.

Wahamiaji wengine anaowatumia ni Wazulu kutoka kusini mwa Afrika ambao sababu kubwa iliyowaleta Tanganyika ni kuwasaidia wakoloni wa Kijerumani kuwakandamiza wazawa. Katika vita vyote vilivyotokea nchini kupinga ukoloni, wahamiaji hawa maara zote walikuwa upande wa wakoloni dhidi yetu Watanganyika.

Mohamed Said, kwa hila tu, anafanya juhudi za kutugawa Watanganyika katika misingi ya kidini ili ionekane anawatetea Waisalaam kumbe lengo lake kubwa ni kuwatetea wahamiaji, Wamanyema kutoka Magharibi na Wazulu kutoka Kusini. Ushirikiano wao ulitokana na ukaribu wao na wakoloni hadi kuoleana.

Tunayo makabila makubwa yenye mashujaa waliopambana kweli kweli kupinga ukoloni bila kujali tofauti zao za kidini na hata katika kupigania uhuru hawakutanguliza dini zilizoletwa na wakoloni, Waarabu na Wazungu. Mohamed Said yuko radhi kuwaweka kando mashujaa wetu wa asili na kuwaenzi walowezi wageni.

Asante Yericko Nyerere kwa jitihada zako katika kujaribu kuchambua pumba na mchele.
Mzee wangu wa hekima Mungu akubariki sana, kwahakika umenena makubwa....
 
Gavana Sir Cameroun si kwamba alitoa tu msaada wa kuundwa kwa AA, alitoa pia nyumba ya kukutania ambayo baada ya kifo cha Rais wa kwanza wa TAA Mwalimu Cecil Matola, Myao mzawa na msomi, umiliki wake ulileta utata hadi leo. AA ilikuwa chama cha starehe na madai ya Mohamed Said kuwa harakati za kisiasa zilianza wakati huo hazina ukweli wowote. Eti wahamiaji ndio waliongoza harakati za kudai uhuru kama vile Watanganyika hawakuwepo ni porojo ulioanzishwa na Mohamed Said kuhalalisha Utanganyika wao.
Naaaam naaam katika kitabu nimeweka wazi uharamu wa Mzulu huyo anayeliliwa na Mohamed Said
 
huo ubongo wako utakuwa unausaha,kikongwe mwenzio anaruka tu hataki kujibu maswali anaenda kutafuta pepa ya aliyosifiwa anaodai makafiri!
"nguruwe haram ila mchuzi wake sio haram"
[HASHTAG]#kuruka[/HASHTAG] ruka kwa maharage ndo kuiva kwake,wacha dawa iwaingie
Mtanganyika,
Mimi sichukii mtu kuniita kikongwe sana sana unanipa nafasi ya kumshukuru
Mola wangu kwa kunifikisha umri mkubwa.

Kwa hakika mimi sasa ni mtu mzima na naenda mwisho wa siku zangu lakini
nikiwa na shukurani nyingi kwani angelitaka Allah angenihitimisha katika siku
zangu za ujana.

Ujana wangu nimestarehe na nimefanya mengi katika kusoma na kuandika.
Sipendi kulitumia hili neno lakini nitalitumia kwako.

Ni ujinga wa hali ya juu sana kudhani kuwa unaweza kumcheka mtu kwa
kuwa, ''kikongwe.''

Kwani wewe kwenu huna wazee?
Niangalie nilivyokuwa kijana.

Hapo ni Central Mosque, Paris 1993 na nilifika tena na kuswali Ijumaa hapo
msikitini mwaka wa 2011 nikiwa njiani kwenda, Amsterdam, Hague na
Geneva nikitokea Berlin na Hamburg. Hii picha ya Paris 1993 nilikuwa natokea
Le Havre na nilipotoka hapo nilikwenda London kisha Cardiff.

upload_2017-8-11_14-19-5.png
 
Naaaam naaam katika kitabu nimeweka wazi uharamu wa Mzulu huyo anayeliliwa na Mohamed Said
Yericko hicho kitabu kitakuwa kichekesho.

Unasema kinahusu ujasusi sasa vipi kitabu cha ujasusi kitakuwa kitabu cha historia ya Tanganyika?

Hebu nitajie nani publisher wa kitabu chako au ndiyo hivyo tena?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapi katika historia ya Tanganyika Wamanyema na Wazulu wanahesabiwa kama Watanganyika? Ama FaizaFoxy na Ritz nao wana undugu nao. Wazulu waliolowea Tangangyika hawakuwa Waislaam lakini baada ya kupewa mabinti na Manyema wakapewa sharti la kubadili dini. Toka lini jina kama Kleist Sykes likawa la Kiislaam?

Myao Cecil Matola, Rais na muasisi wa AA alikuwa Mtanganyika, Mhaya Dr Vedasto Kyaruzi Rais wa kwanza wa TAA alikuwa Mtanganyika na Mzanaki Mwalimu Julius Nyerere Rais wa kwanza wa TANU alikuwa Mtanganyika. Haya makabila vijana wote waliosoma shule miaka hiyo wanajua yalikuwemo katika orodha ya Watanganyika.

Hivi vyama havikuwa na Makatibu Watendaji, vilikuwa na makarani tu ambayo sifa pekee waliyotakiwa kuwa nayo ni kujua kusoma na kuandika. Cecil Matola, Dr Vedasto Kyaruzi na Mwalimu Julius Nyerere walikuwa ni wasomi waliobobea lakini wahamiaji hawa sifa waliyokuwa nayo ni moja tu, ururgaruga kwa wakoloni.

Wahamiaji kama hawa walikuwa wengi...walikuwepo waliotoka Afrika Magharibi kama Ghana, walikuwepo waliotoka jirani kama Kenya na Sudan na Somalia lakini wote hao walirudi kusaidia harakati za uhuru katika nchi zao za asili. Babu zake Mohamed Said walilowea Tanganyika kama Makaburu walivyolowea Afrika Kusini.

Wapiganaji wazawa wa Tanganyika walikuwepo wengi tu kutoka makabila ya Wagogo, Wahehe, Wanyamwezi, Wamakua, Wasukuma, Wachaga, Wapare, Wabondei, Wazaramo na wengine wengi. Lakini Mohamed Said akaamua kwa masusudi kutowapa umuhimu kama anavyowapa wazee wake wahamiaji kwa mgongo wa dini.

Kwa kifupi Mohamed Said ameandika historia ya wazee wake na anastahili pongezi kwa hilo, haandiki historia ya Watanganyika waliopigania uhuru wa nchi hii. Anafanya hivyo makusudi kwa kutumia udini ili aweze kupanda mbegu ya chuki miongoni mwa Watanganyika walioipigania nchi yao bila kubaguana kidini wala kikabila.
 
Mohamed, nilikushauri ushirikishe vijana, wakipiga kelele hoja mbele yako zinasahaulika, umeona eeh!

Mohamed anasema alieunda TANU ni Abdul syskes. Kwa maana hakukuwa na kitu hicho
Ni kweli hakukuwa na TANU kama jina lakini wanachama wa TANU walitoka TAA

Hoja ya Abdul kuunda TANU ilikusudia kumweka Nyerere kando si ''mzee wake''

Baada ya uchaguzi wa TAA kwa mujibu wa Mohamed, Rais alikuwa Nyerere VP akawa Abdul sykes
Kwamba, TANU iliundwa na VP wakati President hana habari!

Ndipo hoja ikaja, nani aliandika katiba ya kwanza ya TANU
Kabla ya hapo TAA na AA zilikuwa na katiba gani na iliandikwa na nani

Mag3 wasomaji wanaoingia ili waelewe hoja ya Umanyema ningewashauri warudi bandiko 116-145

Kwanza, Mohamed alikana uwepo wa kabila na lugha ya Kimanyema ingawa ni Mmanyema
Alipobanwa akakubali uwepo wa lugha na utamaduni wa Kimanyema

Hata hivyo aliukana utamaduni kwa kusema wake ni ule wa Nabii Ibrahim

Akasema '' Wamanyema lugha yao ilikuwa Kilungwana, kiswahili kilichotokana na mwingiliano na Waarabu. Hivyo Wamanyema walikuja kama Waislam kwanza''

Kwamba kuna kabila linaitwa Waislam lililotokana na Wamanyema

Fikra kidogo tu
 
Umeshikwa na homa ya tetenasi kwenye ubongo?

Afunge uzi kwani kauanzisha yeye?

Alama Mohamed Said kuingia humu kalitawala jukwaa mpaka umechanganyikiwa. Aliyeanzisha uzi hata Cecil "aliyemtungia" uzi alikuwa haelewi kuwa ni mwanamme!

Kaingia mitini.
Yeriko nyerere na nguruvuvi wote wamesoma kitabu cha Mzee saidi ila kinachowafanya wapingane na Mzee ni sifa tu za kuitwa waandishi wakati wanaandika kwa reference za mzeee saidi wala hawawezi kuandika vitu vipya tofauti na majungu na maswali ambayo wao wenyewe hawataweza kuyajibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapi katika historia ya Tanganyika Wamanyema na Wazulu wanahesabiwa kama Watanganyika? Ama FaizaFoxy na Ritz nao wana undugu nao. Wazulu waliolowea Tangangyika hawakuwa Waislaam lakini baada ya kupewa mabinti na Manyema wakapewa sharti la kubadili dini. Toka lini jina kama Kleist Sykes likawa la Kiislaam?

Myao Cecil Matola, Rais na muasisi wa AA alikuwa Mtanganyika, Mhaya Dr Vedasto Kyaruzi Rais wa kwanza wa TAA alikuwa Mtanganyika na Mzanaki Mwalimu Julius Nyerere Rais wa kwanza wa TANU alikuwa Mtanganyika. Haya makabila vijana wote waliosoma shule miaka hiyo wanajua yalikuwemo katika orodha ya Watanganyika.

Hivi vyama havikuwa na Makatibu Watendaji, vilikuwa na makarani tu ambayo sifa pekee waliyotakiwa kuwa nayo ni kujua kusoma na kuandika. Cecil Matola, Dr Vedasto Kyaruzi na Mwalimu Julius Nyerere walikuwa ni wasomi waliobobea lakini wahamiaji hawa sifa waliyokuwa nayo ni moja tu, ururgaruga kwa wakoloni.

Wahamiaji kama hawa walikuwa wengi...walikuwepo waliotoka Afrika Magharibi kama Ghana, walikuwepo waliotoka jirani kama Kenya na Sudan na Somalia lakini wote hao walirudi kusaidia harakati za uhuru katika nchi zao za asili. Babu zake Mohamed Said walilowea Tanganyika kama Makaburu walivyolowea Afrika Kusini.

Wapiganaji wazawa wa Tanganyika walikuwepo wengi tu kutoka makabila ya Wagogo, Wahehe, Wanyamwezi, Wamakua, Wasukuma, Wachaga, Wapare, Wabondei, Wazaramo na wengine wengi. Lakini Mohamed Said akaamua kwa masusudi kutowapa umuhimu kama anavyowapa wazee wake wahamiaji kwa mgongo wa dini.

Kwa kifupi Mohamed Said ameandika historia ya wazee wake na anastahili pongezi kwa hilo, haandiki historia ya Watanganyika waliopigania uhuru wa nchi hii. Anafanya hivyo makusudi kwa kutumia udini ili aweze kupanda mbegu ya chuki miongoni mwa Watanganyika walioipigania nchi yao bila kubaguana kidini wala kikabila.
Mag3,

HF-E-j6n6D2pW-h8ANND7lxCGUZH73Fhpokdj2U2guz10UUuq33enwGopPRGbfU8HCP7ZcOmNxS-DYu2x5-G9w9vqeN1Qi-nUydPTJmLDHXRS5Py3_84OP_2iecQyjAYflQuA-tfQEQHjxuJ2g-u9pEPK4ambOrJMcYaSt3LVeEiUl_Vmzi9FR4Tc93Ia6bRAnRaPJaZduvvap83uIisUDG_MLkVDJflrFjbfG52G0QkumZ1Q8RLCfhByBEOZSMLvacusXptB2KzZUZsPAhrME9h_gdQ7j3rtG2ZsdVBVOrbgBhPzNax2ekRbIh04vu7ScoezknEk38PM7QP387nntcrgWcDyiEXt0YQPmsByTOz1rAvCc-6WY0lmImew7xIbgp98ByU2R77IA5nGTGz8u56qfwSP6b2qDXMgh6gTm5q6_htGMMiIpNWtqbNLOCELZGKVMJArxuwYYP0S9ZMKK-ZoOBxgFTNE8p2DBcjtpISFD4AdqyqQg2OxjxjVvoqSJPGzr0cyRCfG_8asDxe6xqXSCz2KmWUg2Ndylw8Pz1Fth1LBc2j5yNsnv-qClIy78x38wD3lCWFVEnKTs3aaibrjebomUxY=w480-h360-no

Mwandishi akizungumza na Mwalimu Maunda Plantan mjukuu wa
Affande Plantan kuhusu historia ya ukoo wake


Nimelijibu mara nyingi hili suala la kama Wazulu walioingia Tanganyika
kama mamluki wa Wajerumani walikuwa Waislam au la kutokana na
majina yao.

Ushahidi upo kuwa waliingia Tanganyika kama Waislam na walikuwapo
ambao walikuwa na majina ya Kiislam lakini hili si muhimu kwa sasa
inabakia ni historia.

Katika waliokuja Tanganyika wakiwa Waislam ni Ali Katini mdogo wake
Sykes Mbuwane.

Huyu alikuwa kipofu na aliingia pamoja na ndugu yake wakiwa chini ya
uongozi wa Herman von Wissman Kamanda wa Majeshi ya Ujerumani
Tanganyika.

Kulikuwa na Ramadhani Mashado Plantan mtoto wa Afande Plantan
huyu aliingia Tanganyika mwaka wa 1905 akiwa na umri wa miaka mitano
na alikuwa Muislam.

Huyu Mashado Plantan ndiye alikuja kuwa na gazeti Zuhra gazeti la pili
kuendeshwa na Mwafrika gazeti la kwanza likiwa ni Kwetu la Erika Fiah.

Kulikuwa na Thomas Saudtz Plantan pia mtoto wa Afande Plantan na
yeye aliingia Tanganyika akiwa Muislam.

Sasa tuje kwa Kleist Sykes ambae ni kizazi cha kwanza Mzulu kuzaliwa
Tanganyika.

Yeye alizaliwa Pangani mwaka wa 1894 na kwa kuwa alizaliwa chini ya
himaya ya Wajerumani baba yake akiwa katika Germany Constabulary ni
Wajerumani ndiyo wakitoa majina na kusajili.

Ndipo Kleist alipopewa hilo jina la Kijerumani lakini jina ambalo alipewa
na baba yake mlezi Affande Plantan ni Abdallah na hili jina lipo katika
kaburi lake pale makaburi ya Kisutu.

cKr0fpa1hL-GMYAi71qVnT1M323ztZODskSncmdAxRtogrpt4TdIN0_N_5mKIeuZQnBQ3HG6eS50waN7OCJBOAEXdFpsySbBIFssoha5jOzaDgObqIvO0AvWNJsjfCZj71D_bpGGXU88SLMkGbI94Ttmbx7XXipoIYQKVi_uUtppfvbnDHMWe0Uk0cH9k7fWReIlW8UOdR5A86YGqIGg-czIla6kMs_qhOLeS9kZVDBNuhEs0yBusTEVEyg9vvUcJnOJH2wmAWw51W9yfQf5lvuEWZhpN2auBT0cmLidZA-73rujNIwPjKvDXBpUhEaCj8bpqAAuba_VyE4lXQRDXN8fH8Fz4cx8s6Srw-DkoBwqMn2YyE_VnO2LQl_a06rQ0vsKO4pMf196wO4Tj9N28iE_cHsYPvHJ8o8LdEsjwFLW53m-rub0hKm_4yJe21wCrKXfJrnzJvQARTi-w5OHANpr60fbtRRyZyYFBuOfaa1re1WHUPi2iujOUuMliv1GfRe83blhP_bXbxGIhXaK48aq-CO8y-zqdzUtpHe4UJp-ornbRpSxRYKBHp_qPze-cg7U6Lgw5oeMF642OHbuaez4zodhMwQzoQ_KBAV5hWn14gM9Sa-aAA=w250-h188-no

Kaburi la Kleist Abdallah Sykes

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa na huu ndiyo ukoloni ulivyokuwa ukifanya
mambo yao katika nchi walizokuwa wakizitawala.

Babu yangu kama alivyokuwa Kleist alizaliwa Tanganyika kutoka baba
aliyeingia nchini kutoka Belgian Congo na kama Kleist walisimama dhidi
ya ukoloni na kuongoza mapambano ya kupigania uhuru wa Tanganyika.

Babu yangu Salum Abdallah alikuwa Mmnanyema kizazi cha kwanza
katika ukoo wetu kuzaliwa Tanganyika, Shirati huko Musoma lilipokuwa
Boma la Wajerumani.

Lakini kabla ya hawa askari wa Kimanyema kuingia Tanganyika tayari kwa
miaka mingi kulikuwa na Wamanyema ambao walikuwa wamehamia kwa
miaka mingi na wakiishi Kigoma na Ujiji.

Nimeweka hapa mchango wa babu yangu wote muuone na nitaurejesha
tena In Shaa Allah kwa yule ambae ulimpita ausome.

Babu zetu hawakuwa Makaburu lau kama baba zao waliingia Tanganyika
kuja kuwasaidia Wajerumani katika vita dhidi ya Chifu Mkwawa na
Abushiri bin Harith wa Pangani.

IMG-20161105-WA0264.jpg


Nadhani nitawashangaza wengi nikiwaambia kuwa Mkwawa jina lake lingine
ni Abdallah.

Babu zetu wakapigana WWI upande wa Wajerumani dhidi ya Waingereza
lakini baba zetu wakapigana upande wa Waingereza dhidi ya Wajerumani
katika WWII.

Haya yote ni matatizo ya ukoloni na sasa imebaki ni historia.

Naona mnahangaishwa sana na kuwa Cecil Matola ndiye muasisi wa African
Asociation akiwa rais.

Matola aifariki mwaka wa 1933 na Kleist 1949 miaka 16 baada ya kifo cha
Matola.

Kleist kaeleza mwenyewe katika mswada alioacha kabla ya kufariki dunia vipi
aliunda African Association akiwa Katibu muasisi.

Mimi nisingependa kulikuza hili jambo lakini ningependa kusema kuwa katika
Waafrika wa wakati wake Kleist alikuwa mwingine kabisa na ukitaka kumjua
msome Daisy Sykes Buruku, ‘'The Townsman: Kleist Sykes,'’ katika Iliffe
(ed) Modern Tanzanians, Nairobi, 1973, uk. 95-114.

Daisy ni mtoto wa Abdul Sykes.

XLs28PdHKgKQudq9hCj_jxugCQbZsC21eO7ORyqQR1WfanEc2qjW-lUhzhcOl4S31OE38rDJO0Y43PP3Chs9n7iyhh9htQLs_cww31Yfs_7HbAsqbylEU2mSNN6QYOfTZeuELdIKqcYbJnxvdHt4wtg-8x6EOy9XRnoauL00tHFnwPicSMlaUQ4ViOQPlIoYXp0pN8cWVRn-aUJdzqvFJ90mztzs4a1hc6zBPBhn1za0I7mZc4PvxMdj-84q-qX0Wms5cF2eZgUs6YsCR53dAxXftodQ_0_wbKCXNenAIc3lKdz58OdTKiqm41WUXM9O7MBN-25pRpqdZM2X5_eGOPteouQ1wP5dbX8byW5-Hx84CsrzpDhbi0hYbtxRfw0Y2qrGw3xV7FaKAZgkl2dzZ5YhT_XKa9-PiV5l2nqE6x_yly17DvrnFspf_-Nh_luXrdFbqKQ2YiziQ0viO4f9l6p0aIFVAyaOOU8owGX2mBdufDOY8XeKl9Gj2J44gHVWeQgxj0OYRlydefYo2EcuEEH2-hNAk_V0nCtLKDckV3LaGTUCjspIUspcHvwQRnAzBPHbX2DCKXKOQW3I_UxoaiHYJMQRwOwwYHQmeGQ_HLiTtRROfNwhXmLZFg=w1119-h630-no

Mwandishi na Daisy Sykes

Ukipenda unaweza pia kumsoma katika Dictionary of African Biography,
Oxford University Press, New York 2011 au Kleist Sykes: Man of Ideas katika,
''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story
of Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press,
London 1998.

Mwisho ningependa kusema kuwa historia hii niliyoandika ndiyo historia ya
Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika na kwa sehemu kubwa
Waislam walikuwa mstari wa mbele.

Sidhani kuandika historia hii ambayo ilipuuzwa ni kupanda chuki.
Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
 
Yeriko nyerere na nguruvuvi wote wamesoma kitabu cha Mzee saidi ila kinachowafanya wapingane na Mzee ni sifa tu za kuitwa waandishi wakati wanaandika kwa reference za mzeee saidi wala hawawezi kuandika vitu vipya tofauti na majungu na maswali ambayo wao wenyewe hawataweza kuyajibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
xungura,
Hawa ndugu zetu wana uoga mkubwa sana na historia hii ya TANU na
uhuru wa Tanganyika.

Historia hii imewatisha wengi sana.

Lakini cha ajabu ukiwaambia andikeni basi hiyo historia ya TANU ambayo
nyie mnaiona ndiyo ya kweli...

Moja hawana.
Hawawezi.
 
xungura,
Hawa ndugu zetu wana uoga mkubwa sana na historia hii ya TANU na
uhuru wa Tanganyika.

Historia hii imewatisha wengi sana.

Lakini cha ajabu ukiwaambia andikeni basi hiyo historia ya TANU ambayo
nyie mnaiona ndiyo ya kweli...

Moja hawana.
Hawawezi.
Mohamed dunia nzima haiwezi kuandika historia kwasababu umeandika

Si kila mtu anakuwa mwanahistoria, lakini haipondoi ukweli kuwa kusoma ni kitu kimoja kuelewa ni kitu kingine. Kuna mengine wanafanya watu ambayo pengine hata kusoma tu itakutatiza

Nilitegemea ungekuja na majibu ya bandiko 354

Kwamba VP Abdul alianzisha chama President Nyerere hakujua

Kwamba chama alichoanzisha kilikuwa na katiba, nani aliandika katiba hiyo na lini
Na nini ilikuwa katiba wakati wa AA na TAA

Unapojibu kejeli za akina Xungura inaonekana huna tofauti.
Tazama ulichomjibu Xungura,utazame hadhira inayosoma kama umeipa kitu. Please

Sisi wengine hatuwajibu maana wao ni wasomaji tu.
Hata ungeandika Mkwawa alikuwa mchaga wataamini kwasababu wanadhani kila unachoandika ni sahihi

Nilipokuuliza Umanyema hakuna aliyejua ni kwanini, kwasasa watu wanafahamu ni kwanini
Ulikataa uwepo wa kabila hilo, mwisho ukakubali.

Ulikataa kwasababu unajua siri ambayo xungura hawaioni. Unafanikiwa kuwaeleza kuna kabila la Waislam
 
xungura,
Hawa ndugu zetu wana uoga mkubwa sana na historia hii ya TANU na
uhuru wa Tanganyika.

Historia hii imewatisha wengi sana.

Lakini cha ajabu ukiwaambia andikeni basi hiyo historia ya TANU ambayo
nyie mnaiona ndiyo ya kweli...

Moja hawana.
Hawawezi.

Mwalimu in 1950s Dar
Mwalimu in 1950s Dar



SUNDAY OCTOBER 12 2008








email print



Mwalimu Nyerere. Photo/FILE

By MOHAMED SAID
It is a pity that the late Mwalimu Julius Nyerere did not reveal much about his early life in Dar es Salaam of the 1950s, where he came to as a budding 30-year-old politician fresh from Edinburgh University.

One can only speculate why Nyerere was secretive about those days, the period when the Tanganyika African Association (TAA) was transformed into the Tanganyika African National Union (Tanu).

The closest Nyerere came to speaking about that period was in 1985 at the Diamond Jubilee Hall where, in an emotional farewell speech before he stepped down from the presidency, he paid tribute to “the Wazee wa Dar es Salaam” who supported him from the day Tanu was founded in 1954.

Mwalimu mentioned two people forgotten in the history of Tanganyika — Abdulwahid Sykes and Dossa Aziz. Abdulwahid was TAA president in 1953 and was among the four financiers of the movement along with his young brother Ally, Dossa and John Rupia.

Abdulwahid died young in 1968 but Dossa lived on to a ripe old age — though, sadly he died a poor and lonely man at Mlandizi in 1997.

However, they did not benefit from the fruits of Independence, for which they had worked so hard, nor were their names associated with Tanu, Nyerere or the independence movement.

One could write volumes about the contributions and sacrifices made by the two Sykes brothers and Dossa; and the elders like Mwinjuma Mwinyikambi, Kiyate Mshume, Jumbe Tambaza, Sheikh Hassan bin Amir and Sheikh Suleiman Takadir to mention only a few.

In those days, these names made up who’s who of the municipality. They were the rich and the famous of the town.

Dar es Salaam was then divided into four areas: Kariakoo, Gerezani, Kisutu and Mission Quarter. Kisutu was the oldest and had the oldest mosque in Dar es Salaam, the Mwinyikheri Akida Mosque, which is more than 100 years.

Across Morogoro Road was Kariakoo, which still exists, and the first street stretching from the north to the south parallel to Mnazi Mmoja was a narrow road — New Street — where the headquarters of the African Association stood, a building of stone and lime built in the 1930s through self-help during the leadership of Mzee Bin Sudi and Kleist Sykes, president and secretary respectively.

It was in this building that Tanu was born in 1954. The building was situated at the point where Kariakoo Street and New Street intersect. The house still stands.

To the west of Kariakoo was the Mission Quarter, an exclusive African mission area set aside by the British to separate the Christian minority from the Muslim majority in the town.

Even street names in Mission Quarter had names of settlements in Tanganyika where missionaries had managed to penetrate and establish themselves. Street names such as Masasi, Likoma, Ndanda, Muhonda, Muheza and Magila have survived to this day.

This was the only area in Dar es Salaam where missionaries managed to build a chapel. African Christians were confined to this area. And if a Christian ventured into Kariakoo, a majority Muslim area, to ask for a room, he would be advised to try his luck at Mission Quarter.

Mwalimu Nyerere thus arrived in a town that was structured along lines of prejudices.

Two prominent Africans and members of the African Association who lived in Mission Quarter during the emergence of nationalist politics were Thomas Plantan, elected president of the African Association once, and John Rupia a rich African businessman.

Rupia’s house, situated at Likoma Street and Magila, is where the African Association was founded in 1929. The house still stands today though not in its original structure.

An interesting fact about Mission Quarter is that it had the only printing press owned by an African — Mashado Plantan — which the pro-African Association newspaper Zuhra was published. This paper came to be Tanu and Nyerere’s first mouthpiece.

On the west of Kariakoo was Gerezani, home of Omari Londo, Ally Sykes, Zuberi Mtemvu, Mashado Plantan, Muhsin Mende and Dossa Aziz.

These were the first patriots from Gerezani to come into contact with Nyerere. Zuberi Mtemvu, Mashado Plantan and Muhsin Mende were later to resign from Tanu to form an opposition party, the Tanganyika African Congress, and the three became bitter opponents of Tanu and Nyerere.

Among prominent personalities from Kariakoo the young Nyerere interacted with were Mzee Mshume Kiyate, Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Suleiman Takadir, Idd Faizi, Idd Tosiri, Abdulwahid Sykes and Dossa Aziz.

Abdulwahid Sykes was 28, two years younger than Julius Nyerere, when one afternoon Nyerere came to Abdulwahid’s house at Stanley Street (now Max Mbwana Street) accompanied by Bantu Kasella Bantu.

It is said Mwalimu Nyerere had a letter of introduction from Hamza Mwapachu (who was still in Britain studying) to Abdulwahid Sykes.

At that time, Sykes was the president of the Tanganyika African Association. The fact that Abdulwahid Sykes preceded Nyerere in the presidency of the TAA is a point often not mentioned even by Chama cha Mapinduzi.

This denies the history of nationalist politics in Tanganyika, “friendly silent power struggle” within the association between the incumbent and well established townsman Abdulwahid Sykes, son of a prosperous businessman and founder member of African Association, Kleist Sykes and the unassuming challenge from an unknown school teacher from Butiama, Julius Nyerere.

It denies the young generation inside information of what TAA did to outsmart the British and send Mwalimu Nyerere to the United Nations to address the Trusteeship Council. Most importantly, it denies them knowledge of the burning issues that were discussed at the “Sunday baraza.”

This weekly meeting was generally held either at Dossa’s house on Congo Street or at Abdulwahid’s house on Stanley Street (now Max Mbwana), where Nyerere used to come every Sunday to meet the TAA leadership and discuss the politics of the day.

Various schemes against the British were hatched from these two houses. The meetings at TAA headquarters in New Street, now Lumumba, was merely to rubber stamp the decisions arrived at the Sunday barazas.

Any student of Tanganyika’s nationalist politics wishing to trace Mwalimu Nyerere’s formative years needs to walk down this path. It is saddening that it has been neglected by researchers.

In 1963, Mwalimu Nyerere talked to Lady Judith Listowel, who had come to Tanganyika to research a book she was writing (The Making of Tanganyika). Lady Judith was the wife of William Mare, the last governor of Gold Coast (Ghana).

She was put in contact with Ally Sykes by Peter Colmore in Nairobi. Lady Judith came to Dar es Salaam and interviewed Abdulwahid and Ally Sykes and Julius Nyerere.

In that book, Mwalimu paid a glowing tribute to the nationalists who had preceded him in the political arena. A copy of the book, which is out of print, can be found at the University of Dar es Salaam Library or from Ally Sykes.

There are reports that Nyerere was under pressure to write his memoir but he declined. It is reported that Mwalimu even refused to meet an Oxford University Press representative who wanted to discuss the writing of his memoir.

It was only when Mwalimu Nyerere was severely criticised in two books — Conflict and Harmony in Zanzibar by Ali Muhsin Barwan and The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 by this writer — that he succumbed to pressure and told his confidants to form a committee to which he would talk about his life, from which interaction they would be able to write his biography. But although the committee was formed, it never got off the ground as Mwalimu was in failing health and soon died on October 14, 1999.

But equally important in tracing Mwalimu’s steps from Butiama particularly after the founding of TANU in 1954 is the house of veteran politician and former secretary of the TAA Mzee Clement Mtamila who was overthrown from TAA leadership along with the president Thomas Plantan in a coup de grace led by Abdulwahid Sykes and Hamza Mwapachu in 1949.

The house of Mtamila was, situated at the junction of Kipata, (now Kleist Sykes Street) and Sikukuu Street now Zaramo Street.

In those days the president of the party was not necessarily the chairman of the executive committee.

In 1954 Clement Mtamila was the chairman of the executive committee of TANU.

It was in this house Nyerere then president of TANU presented the letter from Father Walsh in which he was given the ultimatum of either to continue to teach at the Catholic school in Pugu or resign to pursue politics.

This important meeting in which Mwalimu Nyerere decided to resign from teaching and work for TANU was chaired by Clement Mtamila in this house. Other members of the TANU Executive Committee present at that meeting were: John Rupia, Oscar Kambona, Bibi Tatu Binti Mzee and Bibi Titi Mohamed.

The sitting room in Mzee Mtamila’s up to late 1960s had many black and white photographs depicting Tanganyika’s history. The photographs depicted Nyerere’s early days in TANU showing him addressing the people from a make shift platform at Mnazi Mmoja Grounds overlooking where now stands the Adult Education Centre.

The open space opposite Mnazi Mmoja Grounds was John Rupia’s plot which he later donated to TANU to build the centre. Mzee Mtamila’s house is no more. It has given way to a high rise building now common in Gerezani, Mwalimu’s history buried with it in the rubble of stones, lime, dust and rusted corrugated iron sheets.

Another place which Mwalimu Nyerere frequented during those early days was the Kariakoo Market. Kariakoo Market building housing the market resembled a huge shack made of steel, concrete and corrugated iron sheets.

The market was busy around the clock with all kind of business being carried inside the market and within its environs. One could tell the tribe of the traders from the kind of trade he or she was engaged in.

The Mashomvi were selling fish, the Zaramo were into coconut business, the Nyamwezi particularly women confined themselves to selling dried tobacco leaves and snuff, and their men were selling yams grown in Kigamboni.

The Luguru were into oranges and vegetables. Arabs owned butchers and sold flour, cereals and spices.

This retail business Arabs were in competition with Indians. Kariakoo Market was a fertile place for TANU to recruit members and Abdulwahid did not lose that opportunity. Among the traders to support TANU from Kariakoo Market was Mzee Mshume Kiyate.

At that time in 1952 when Abdulwahid Sykes met Mwalimu Julius Nyerere he was working as Market Master of Karikoo Market. His office was at the junction of Tandamti Street (now Mshume Kiyate) and Swahili Street.

The afternoon after resigning from teaching Mwalimu Nyerere took a bus from Pugu and got off at Kariakoo which was the main stand and went straight to Abdulwahid’s office to give him the news.

Abdulwahid accommodated Mwalimu Nyerere at his house at Stanley Street until when Mwalimu left for to Butiama to get married to Mama Maria.

This house exists today but has undergone massive renovations altering its original look. Shariff Attas who was working as market auctioneer recalls that he used to escort Mwalimu Nyerere from Abdulwahid’s office to Sykes’ house for lunch wait for him and come back together.

Mwalimu would sit in Abdulwahid’s office reading The Tanganyika Standard. After closing of business at 4.30 Abdulwahid and Nyerere would come back home together. Many people in Dar es Salaam first saw and therefore came to know Mwalimu Nyerere during that time.

During this period Abdulwahid nearly lost his job as Market Master when Nyerere and TANU’s message began to be understood by the people. Abdulwahid was accused of selling TANU cards in Her Majesty’s Office.

Shariff Attas recalls the thrilling shouting match between Abdulwahid Sykes and the white colonial officer inside Sykes’s office when Abdulwahid in his impeccable English and without fear took out his TANU card and challenged the mzungu to take him to court if he feels he has contravened any law and TANU was not a legally registered party.

The veranda which used to be a meeting place where TANU leadership used to hold its meeting and where many people came to know Mwalimu Julius Nyerere is now a bazaar, the people who come to the place to buy and sell completely unaware of its rich history.

But the liveliest meeting place – Mwalimu Nyerere frequented outside the ‘Sunday Baraza’ at Congo and Stanley Street at Dossa’s house and Sykes’ place was at Sheikh Suleiman Takadir’s auction mart.

Sheikh Takadir was the Chairman of the TANU Elders Council the powerful body which had people like Mshume Kiyate, Mwinjuma Mwinyikambi, Jumbe Tambaza and others as members.

Sheikh Takadir was an auctioneer and was conducting his business from a house situated at Nyamwezi Street belonging to Mwinjuma Digosi, a jumbe appointed by the government.

The auction used to be the meeting place of TANU members. TANU members used to meet at Sheikh Takadir’s premises to drink coffee discuss politics and while away the time.

When Digosi, the landlord realised that Nyerere was visiting Sheikh Takadir at his place of business, he asked Takadir to seek accommodation elsewhere.

He told Sheikh Takadir that he could no longer have him as a tenant because he as a jumbe appointed by the government cannot allow his house to be a meeting place of ‘troublemakers’ like Nyerere and other riff - raffs.

Sheikh Takadir had no choice but to shift his business to Msimbazi Street. Sheikh Suleiman Takadir was to oppose Nyerere’s decision to participate in the controversial tripartite election of 1958 and the two became bitter enemies never to reconcile resulting into expulsion of Sheikh Takadir from TANU.

But one the most touching story of sacrifice, love and commitment to Mwalimu Nyerere, TANU and the struggle is that of Mzee Mshume Kiyate. Mwalimu Nyerere was to call Mshume’s commitment to the struggle – the TANU spirit.

This story was retold to the author by Ahmed Rashad Ali who said he was at Msasani, Mwalimu’s residence on that day with Dossa Aziz and Lucy Lameck when Nyerere told them the level of commitment which members of TANU had for the struggle.

There is a story of Said Chamwenyewe one of the earliest members to have joined TANU who mobilized the first members for TANU from Rufiji his home town when it was difficult to have a full register of members to fulfill a condition which would have made TANU qualify as a party and hence be registered.

Chamwenyewe used to ride a bicycle from Dar es Salaam to Rufiji to mobilize membership for TANU travelling through a forest infested with lions and other wild animals. But Mwalimu Nyerere had no fitting story to tell than that of Mzee Mshume Kiyate.

Mzee Mshume Kiyate was a fishmonger at Kariakoo Market. One day Mwalimu Nyerere was on his way to Kariakoo Market walking from Magomeni Majumba Sita where he was residing.

Upon reaching Mwembe Togwa (now known as Fire) at the junction of (Ronald Cameroon Road (now United Nations Road) and Morogoro Road Mwalimu Nyerere met Mshume Kiyate.

Mwalimu Nyerere told Mshume Kiyate that he was going to Kariakoo Market to buy provisions but he did have a single sent in his pocket. Mshume Kiyate dipped his hand into his pocket and gave Mwalimu Nyerere two hundred shillings.

At that time with two hundred shillings one could purchase a six bedroom house at Kariakoo. Mshume Kiyate from that day volunteered to provide food for Mwalimu’ family and he did this until 1961 when Tanganyika achieved its independence and Mwalimu Nyerere became Prime Minister.

There is a very famous photograph of Mwalimu Nyerere with an old man in coat, kanzu and Muslim cap taken in 1958 during the tripartite elections.

The photograph shows Mwalimu at Arnautoglo Hall going to cast his vote. That old man in the photograph with Mwalimu Nyerere escorting him to cast his vote is Mzee Mshume Kiyate.

The ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) has used this photograph in its mobilization effort urging people to vote. Unfortunately for almost five decades the photograph has been published without caption and Mshume Kiyate remains unrecognized to this day. Not many people know who Mshume Kiyate was or of his contribution to the struggle.

In 1995 when Mayor Kitwana Kondo honoured Mzee Mshume Kiyate by changing the name of the street Tandamti which he lived to Kiyate Mshume the press protested asking who Mshume Kiyate was.

Likewise the new street names in honour of Tatu Binti Mzee, Max Mbwana, Omari Londo were equally disputed. Strangely Mwalimu Nyerere did not utter a word.

It is interesting that with these changes of street names Mwalimu Nyerere was also honoured. Pugu Road was changed to Nyerere Road. The reason was that this was the road which Mwalimu Nyerere used to travel to Dar es Salaam during the struggle either riding a bicycle or walking on foot. When called by the press to comment on this change Mwalimu was quoted to have said that he should not be associated with those new developments.

His father, Affendi Plantan came into Tanganyika from Imhambane in Mozambique with Von Wissman, Commander of German Forces in East Africa to quell the Abushiri uprisings which began in Pangani.

The mosque is opposite College of Business Education. Kisutu sprawled from where now is the Libya Post Office up to Mzizima Secondary School to the west and to the east Kisutu went up to where now is the Tanzania Library to the north and to the south up to Morogoro Road.
 
Nadhani wewe ni mgeni katika majadiliano baina yetu na Mohamed.
Akitoa toleo la kwanza wengine tulishahoji kitambo sana kuhusu historia iliyokuwepo

2011 tulipoanza kujadili vitabu vyake, sikumbuki mtu aliyekataa mchango wa Waislam
Ni kutokana na ukweli mji mkuu ulikuwa Pwani wakazi wengi Waislam
Haina maana mapambano ya uhuru yalikuwa Pwani peke yake, la hasha.
Kwingine kulikuwa na vugu vugu la kukataa udhalimu.
Huko walipokuwepo bado walitoa mchango mkubwa Historia haiandikwi kwa utashi wa mtu, maono au chaguo 'cherry-pick'

Huwezi kuandika historia ya dunia ukamweka Hitler pembeni kisa humpendi
Huwezi kuandika historia ya Tanganyika ukaondoa watu wengine kisa hawahusiki

Ni makosa yale yale uliyosema yaliwaondoa Waislam katika historia kwa kutotajwa ndiyo unapigia upatu wa kuondoa makundi mengine kama afanyavyo Mohamed. Umeona!

Historia ni mtiririko wa matukio kama yalivyotokea na kujidhihiri

Ukiandika historia na kumwacha John Rupia, Cecil Matola, Vedastus Kyaruzi na wengine kwasababu si Waislam historia haikamiliki. Haikamiliki kwasababu kutakuwa na matundu

Ni kwa mantiki hiyo, hakuna kitu kinaitwa historia ya Waislam kupigania uhuru ukiacha wahusika wasio waislam. Kuna Historia ya Tanzania ambayo ndani yapo makundi
Kuna vitu viwili unachanganya katika hili.

Kwanza, kuna kupigania uhuru na pili kuna yatakanayo baada ya kupata uhuru.
Uhuru ulipoiganiwa ilikuwa ni suala la kiutu na kibinadamu.

Mohamed Said amenukuu Aabdul Sykes akieleza kuhusu hili.
Hivyo jitihada za ''kujikomboa zililenga kurudisha utu na heshima ya Mwafrika''

Baada ya uhuru kukaja suala la kujitawala.
Hapa tukaondoka katika harakati za utu na ubinadamu tukaingia katika siasa.

Ilikuwa ni dhahiri Waislam walitaka kuchukua haki ya kupigania Uhuru na kuifanya haki ya kisiasa, rejea hotuba ya Rehan Bilal Waikela, moto wa Waislam ukiwaka

Kisiasa hakuna anaye vumilia matishio katika utawala, bila shaka Nyerere hakuwa tofauti.

Lakini pia utambue tulihitaji umoja wa Taifa kwani tulikuwa hatuna Utaifa kwa kuanzia.
Kundi moja linapochukua mapambano ya uhuru na kujimilikisha halikuwa jambo sahihi

Kuna nchi zilijaribu zimeishia katika matatizo makubwa heri yetu sisi tuliojaribu vinginevyo

Historia ni reflection ya yaliyotokea. Dunia ya sasa inazungumzia historia kama kumbu kumbu kwavile asilimia zaidi ya 90 hawakuwepo wakati huo na ni vizazi vya 3 au 4

Tatizo linaljitokeza katika maandishi ya Mohamed, ni kuhamasisha watu kuhusu 'umiliki' wa historia ili kujenga hoja katika msingi wa historia.

Inaweza kuonekana ni jambo jema kwa wakati huu, siku za mbeleni ni jambo lenye athari kubwa kwa jamii ile ile anayoizungumzia

Unapopandikiza fikra kuwa babu au bibi walipigania uhuru na hivyo unapaswa kubebwa na historia ni kujidumaza. Historia itumike katika reflection kwa mambo mazuri

Kwamba kama yupo aliyetoa mali zake kusaidia uhuru, kwanini wasiwepo wanaotoa mali zao kubadilisha hali za jamii kielemu, uchumi au utamaduni? Hiyo ndiyo kazi ya historia

Athari za mantiki iliyotafsiriwa na jamii ni kuwa wapo waliopigania uhuru wanaonewa

Mohamed kajenga historia kwanza, halafu katumbukiza mbegu hizo(rejea takwimu za elimu kuhusu mitihani) na nafasi za kazi kwa mujibu wa mijadala tuliyokuwa nayo

Jamii inaondoa focus kwenye 'real problem' na kudhani suluhisho ni historia.

Huwezi ku qualify kuwa mwandishi mzuri kama Mohamed kwasababu ya historia kama ambavyo huwezi kuwa Eng., Entrepreneur, Mhasibu, Daktari au professor kwa historia

Ikiwa wazee wetu waliji organize wakaondoa tofauti na kupigana na mkoloni, kwanini kiwepo kizazi kinachotaka kusimama katika mabega yao bila kizazi hicho kuweka miguu chini ili kingine kijacho kijifunze kutoka kwao?
U are the most intelligent person I have seen this week...I hope utakuwa mkubwa wangu...shikamoo kaka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom