Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Mtanganyika hakika babu yangu alikuwapo na hiyo ndiyo historia yake.

Ikiwa huitaki sawa silazimishi wala sijategemea na wewe uje na historia.

Naelewa ugumu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msaidie mzee mwenzako kujibu hoja wacha porojo!
Hoja hujibiwa na hoja. Hoja ya Alama Mohamed Said ni historia ya jinsi TANU ilivyoanzishwa na akina nani.

Ukitaka kumjibu inabidi uje na hoja mbadala, mpaka sasa sijaiona naona viroja na kubwabwaja bila mpango.

Unajuwa jina la TANU lilianzia wapi na nani walilibuni?
 
Mlisema mtakuja na historia, mwaka wa sita huu, iko wapi?

Maneno na porojo ni myepesi sana lakini ukweli na kuandika historia ni vitu tofauti.

Tazama huyo anaejiita Yericko Nyerere utumbo aliokuja nao na kudanganya upo Amazon.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
Teh teh teh teh!
Cecil Matola anamuita Sesilia Matola kamgeuza jinsia.
 
Hoja hujibiwa na hoja. Hoja ya Alama Mohamed Said ni historia ya jinsi TANU ilivyoanzishwa na akina nani.

Ukitaka kumjibu inabidi uje na hoja mbadala, mpaka sasa sijaiona naona viroja na kubwabwaja bila mpango.

Unajuwa jina la TANU lilianzia wapi na nani walilibuni?
maswali haya msaidie mzee mwenzako kujibu kakimbia!

1.Nani aliandika katiba ya TANU

2. AA au TAA zilikuwa na katiba ipi, iliandikwa na nani na mwaka gani

3. Kabla ya Nyerere nani aliandika katiba ya chama?
 
mzee wa porojo wacha kukimbia hoja,huo unaoleta utotoism!
km maswali yamekutoa jasho funga uzi,so kurudia rudia huo msemo ambao hauna tatizo lolote na kuharibu mada!

Umeshikwa na homa ya tetenasi kwenye ubongo?

Afunge uzi kwani kauanzisha yeye?

Alama Mohamed Said kuingia humu kalitawala jukwaa mpaka umechanganyikiwa. Aliyeanzisha uzi hata Cecil "aliyemtungia" uzi alikuwa haelewi kuwa ni mwanamme!

Kaingia mitini.
 
Mtanganyika nyie mtabaki na maswali mimi nina kitabu kinasomeshwa vyuo vyote vya African History na nimeingia Dictionary of African Biography (ADB) na 2014 nilialikwa na French Institute Nairobi kutoa paper kuhusu wazalendo waliosahauliwa katika historia Tanzania.

Mjanja nani?

Andikeni ndugu zanguni hapa JF mpata mpatae.

Niko nje ya ofisi nikirejea nitakuwekea link ya paper yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maswali haya msaidie mzee mwenzako kujibu kakimbia!

1.Nani aliandika katiba ya TANU

2. AA au TAA zilikuwa na katiba ipi, iliandikwa na nani na mwaka gani

3. Kabla ya Nyerere nani aliandika katiba ya chama?
Katiba ya TANU wame Copy kutoka Convention People's Party (CPP) chama cha kina Kwame Nkrumah's .

Nakushauri ungetulia kwenye huu mnakasha ungejifunza vingi.

Kuliko kujifanya unajua wakati hamna kitu.
 
Umeshikwa na homa ya tetenasi kwenye ubongo?

Afunge uzi kwani kauanzisha yeye?

Alama Mohamed Said kuingia humu kalitawala jukwaa mpaka umechanganyikiwa. Aliyeanzisha uzi hata Cecil "aliyemtungia" uzi alikuwa haelewi kuwa ni mwanamme!

Kaingia mitini.
Teh teh teh teh.
 
huo ubongo wako utakuwa unausaha,kikongwe mwenzio anaruka tu hataki kujibu maswali anaenda kutafuta pepa ya aliyosifiwa anaodai makafiri!
"nguruwe haram ila mchuzi wake sio haram"
[HASHTAG]#kuruka[/HASHTAG] ruka kwa maharage ndo kuiva kwake,wacha dawa iwaingie
 
Hoja ya kufunga uzi huna tena?
 
huo ubongo wako utakuwa unausaha,kikongwe mwenzio anaruka tu hataki kujibu maswali anaenda kutafuta pepa ya aliyosifiwa anaodai makafiri!
"nguruwe haram ila mchuzi wake sio haram"
[HASHTAG]#kuruka[/HASHTAG] ruka kwa maharage ndo kuiva kwake,wacha dawa iwaingie
Mtanganyika ukiandika kwa namna hiyo wasomaji watakudharau hii "makafiri," inaingiaje hapa?

Tujadiliane kistaarabu.
Katiba ya TANU wame Copy kutoka Convention People's Party (CPP) chama cha kina Kwame Nkrumah's .

Nakushauri ungetulia kwenye huu mnakasha ungejifunza vingi.

Kuliko kujifanya unajua wakati hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu heri nisiandike vitabu kama mtu mwenyewe ni kama huyu mzee wa soga...
Kijana huna hekma wala maarifa.... Unapewa mwongozo na Wabobezi unaleta "Dharau"
Kitabu utauza lakini sio kwa sifa ya kitabu. Mzee Mohamed Said anakupa elimu ya namna ya kuuza kitabu lakini badala ya kunyenyekea elimu hiyo wewe unaleta malumbano. Sifa ya kitabu sio kuuza hapa kwetu tu na pia sio kuuza au kununulika kwa kipindi hiki tu. Nijuavyo mimi Kitabu kinatakiwa kiishi na kusomwa zaidi ya umri wako, yaani miezi kwa miaka, kizazi kwa vizazi, miongo kwa karne.

wacha kuleta monopoly of knowledge
tatizo lako wewe na unaofanana nao fikra umejawa na dhana ya "umasihi",yaani mudi ndo alfa na omega!
watu wanasoma na 'kucritiq' alichoandika bahati mbaya anataka watu wameze kama ilivyo,watu wanachambua pumba na mchele !
 
huo ubongo wako utakuwa unausaha,kikongwe mwenzio anaruka tu hataki kujibu maswali anaenda kutafuta pepa ya aliyosifiwa anaodai makafiri!
"nguruwe haram ila mchuzi wake sio haram"
[HASHTAG]#kuruka[/HASHTAG] ruka kwa maharage ndo kuiva kwake,wacha dawa iwaingie
Sidhani kama una matusi mapya jaribu kuja matusi mapya haya matusi ya usaha mbona ya kizamani sana.
 
Back
Top Bottom