Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #641
Mpaka hapo hujui uliingizwa kwa sababu ya umaarufu wa kuandika historia yako?Yericko,
Kazi yangu ya mwisho ni hii, ''Dictionary of African Biography,'' Oxford University Press, New York, 2011.
Hebu tazama ilivyo kuna, ''bibliography,'':
Sijaona katika, ''volume,'' zote sita maoni ya mtu yeyote mashuhuri ndani mna
kazi za kisomi na rejea za watu wajuzi katika historia ya Afrika.
Nami niliingizwa katika mradi huu kwa kuwa nimeandika mengi katika historia
ya Tanganyika wala hapa Tanzania hakuchukuliwa mtu kwa umaarufu.
Yericko,Mpaka hapo hujui uliingizwa kwa sababu ya umaarufu wa kuandika historia yako?
Huo ndio umaarufu mkuu
Mzee wetu maswali magumu ndio kughadhabishaWanajamvi kwa mujibu wa Mohamed, maswali yamejaa lugha ya kughadhabika na shari. Maswali ni hayo hapo juu, kama kuna mahali lipo tatizo naomba mtu anionyeshe kughadhabika au shari, nitaomba radhi.
Kama hakuna Mohamed maswali yapo wazi ndani ya mada na maudhui, jamvi linakusikiliza
Hapa si kwahilo, bali umaarufu wako katika historia hiiYericko,
Niliingizwa kwa ajili ya elimu niliyokuwanayo katika historia ya Tanganyika
si kwa ajili ya umaarufu.
Kuna watu wengi sana maarufu kunishinda lakini umaarufu wao hauwezi
kuwafanya wawe wataalamu.
Yericko,Mzee wetu maswali magumu ndio kughadhabisha
Yericko nakupenda hupendi kushindwa.Hapa si kwahilo, bali umaarufu wako katika historia hii
Mkuu naomba ukipata muda uandike uzi mzuri kuhusu historia ya hawa jamaa. Niliwahi kusoma kitabu kimoja hivi cha conspiracy theories kuhusu JESUITS nikawa nimebaki kinywa wazi.Labda uniambie unataka kujua nini kuhusu Jesuits, hivi unafikiri we ndio mbobezi unayejua zaidi, JF ni kichaka kuna kila aina ya watu humu, kwa kifupi ndugu yangu Yericko Nyerere , unaweza kuwa mzuri kwenye vitu vingi lakini kwa hili la Jesuits uko wrong,
Anyway tusitoke nje ya maada, japo nakuomba sana ujitahidi kuandika facts itakusaidia na itawasaidia wanaosoma humu
Amazon.com inapatikana hard copy au soft copy.??????Uko serious? kama kiingereza hamkimudu tumieni kiswahili. Pia hii ungepeleka Jukwaa la biashara au historia.
Vyote vinapatikana, ni uchaguzi wako tu
Mkuu naomba ukipata muda uandike uzi mzuri kuhusu historia ya hawa jamaa. Niliwahi kusoma kitabu kimoja hivi cha conspiracy theories kuhusu JESUITS nikawa nimebaki kinywa wazi.
Please mkuu andaa uzi! [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uisnijibu, mjibu Mag3Yericko,
Kama swali gumu silijui ningesema sijui lakini mtu aliyeghadhibika
anatambulikana katika lugha yake.
Muungwana kwa kawaida hamlazimishi mtu jambo.
Huyu bwana namkwepa siku nyingi baada ya yale matusi ya mie kuvukwa
nguo lakini kifua kimejaa joto ananiandama.
Anababaika tu hajui aseme nini. Anatafuta visababu vya kitoto kabisaMzee wetu maswali magumu ndio kughadhabisha
Ndugu zangu juzi nimeleta taarifa hapa yuko "publisher," anatafuta mswada mradi wa African History, "Facts, Denial and Acceptance," hakuna mtu wa kuchukua kazi hii? Naona ukumbi umekuwa kimya.Makala imeandikwa na mdau wa vitabu.
Sangapipi.
23/6/2016
Kwamujibu wa John Silivalon katika kitabu chake anabainisha nguvu ya kanisa katika siasa ya Tanzania, Lakini John sio yeye tu, Yericko Nyerere pia katika kitabu chake kiitwacho Ujasisi wa Kidola na Kiuchumi Sura ya Pili, uk 295, ameeleza kwakirefu...
Nanukuu
"Maamuzi yoyote ya mwelekeo wa dunia hutokea baada ya kukubaliwa ama kuratibiwa na Kanisa kupitia shirika la Jeisuti ambalo utendaji wake ni wa siri zaidi. Karne ya 17 kanisa lilikuja na mpango madhubuti wa kuisaka haki ya kibinadamu katika ulimwengu wa kikoloni, ijapokuwa mpango huo ulikuwa ukibadilika malengo kila nyakati kulingana na mahitaji ya karne.
Baada ya vita vya kwanza vya dunia, Shirika la Wajeisuiti lilikuwa na nguvu na lilikuwa tayari sehemu ya tawala nyingi duniani hivyo kufanya kisiwepo kitakachofanyika bila majasusi hawa kujua ama kuhusika, hasa juu ya mstakabali wa dunia ijayo, walikuwa na bado wanauoni mkubwa wa mambo yajayo.
Wazo la kuwa na Shirikisho la Mataifa lilitolewa mara ya kwanza na mwanafalsafa Mjerumani Immanuel Kant mnamo mwaka 1795. Wazo la Kant lilirudiwa na wanafalsafa mbalimbali. Wakati wa vita kuu ya kwanza rais wa Marekani Woodrow Wilson alipendekeza hatua za kuanzisha shirikisho hili kwa kusudi la kuzuia vita za wakati ujao baada ya mwisho wa vita ile. Kant alikuwa wakala wa ujasusi wa Wajeisuiti akiripoti kwa Karl Theodor von Dalberg, alizaliwa mjini Königsberg (sasa: Kaliningrad) 22 April 1724 kama mtoto wa fundi. Mamake alimsomesha kweye shule ya sekondari akaendelea kusoma theolojia, falsafa, sayansi, fizikia na hisabati. Tasnifu (thesis) yake ya kwanza haikupokelewa na profesa wake mwaka 1746 hivyo alifanya kazi ya ualimu kwenye nyumba ya matajiri na makabaila mbalimbali kwenye mazingira ya Königsberg.
Mwaka 1754 alirudi kwenye chuo kikuu akamaliza masomo yake. Tangu 1755 alikuwa mwalimu na tangu 1870 profesa kamili kwenye chuo kikuu cha Königsberg.Hakuoa aliishi na mtumishi wa nyumbani tu hadi kifo chake mwaka 1950 kwa umri wa miaka 80. Kaburi lake ni kando la kanisa kuu la Königsberg limetunza hata siki hizi baada ya kufukuzwa kwa Wajerumani na kuwa sehemu ya Urusi. Katiba ya shirikisho la mataifa ilikuwa sehemu ya mkataba wa Versailles mwaka 1919. Nchi washindi au mataifa ya ushirikiano zilijiunga na umoja huo mpya. Baada ya kukubaliwa na nchi za kutosha shirikisho lilianza rasmi tarehe 10 Januari 1920.Katiba ilikuwa na madhumuni kama yafuatavo:
- Fitina zote kati ya nchi zitasuluhishwa kwa njia ya amani kwa azimio ya kamati au mahakama ya kimataifa
- Nchi wanachama zote zitaungana dhidi ya nchi yoyote itakayoanzisha vita mpya au kukataa azimio la mahakama ya kimataifa
- Nchi zinapatana kupunguza jeshi zao na idadi ya silaha zilizopo
- Mkutano mkuu wa wawakalishi wa nchi zote wanachama itakuwa bunge la shirikisho
- Kamati kuu au halmashauri ya nchi wanachama nne (baadaye sita)na nafasi nne (baadaye 9) za nchi zinazobadilishana kwa zamu
- Ofisi kuu inayoongozwa na Katibu Mkuu
- Mahakama ya kimataifa inaundwa ya kutoa azimio katika matatizo kati ya madola
Mkataba wa Versailles ulianzisha aina mpya ya maeneo yaliyowahi kuwa ama koloni au majimbo ya nchi zilizoshindwa katika vita. Koloni zote za Ujerumani pamoja na sehemu kubwa ya majimbo ya Milki ya Osmani ya awali ziliwekwa chini ya mamlaka ya Shirikisho la Mataifa na kukabidhiwa kwa nchi washindi wa vita. Zilipewa hali ya pekee kama maeneo ya kudhaminiwa. Tofauti na koloni za kawaida nchi wadhamini hazikupewa mamlaka yote jinsi iliyokuwa katika koloni zao za kawaida bali zilipokea maeneo ya kudhaminiwa chini ya masharti fulani pamoja na kulinda haki kadhaa za wenyeji na KUZIANDAA nchi hizi kwa uhuru. Hapo mwanzoni tofauti kati ya koloni na eneo la kudhaminiwa haikuwa kubwa lakini baadaye masharti ya udhamini yalikuwa muhimu. Kwa mfano hali ya Tanganyika kuwa eneo ka kudhaminiwa ilisababisha Uingereza kutokubali walowezi wengi kuja hapa. Vivyo hivyo hali ya Afrika ya Kusini Magharibi kuwa eneo la kudhaminiwa ilizuia sehemu hii kuwa jimbo la Afrika Kusini kuwa msingi kwa uhuru wake kama nchi ya Namibia.
Jukumu la kuandaa nchi hizo kupata uhuru liliratibiwa na shirika hilo la kijasusi kwa ustadi mkubwa bila baadhi ya makoloni kujua, lakini lilikumbana na kikinza hasa kufuatia mnyumbuliko wa kiimani ndani ya ukristu kufuatia nguvu ya Cambrige (Anglikana), mgogoro huo ulikuzwa kwakuwa Anglikana nao tayari walikuwa wameaandaa taasisi yao waliyoiita Fabian Sociaty maalumu kwaajili ya kuwaandaa vijana wa kiafrika kukabidhiwa nchi zao, Barani Afrika Jeisuiti ilibadili mbinu kwakuwa dola la Kiingereza lilikuwa kikwazo kwa sehemu fulani, haikujikita kwenye dola isipokuwa ilisimama katika muundo wa shirika lifanya shughuli zake ndani ya Kanisa. Dhamiri ilikuwa lazima itimie, kama ilivyosemwna huko mwanzo kuwa hawa ndio wabobevu wa elimu ya juu kwa kila nyanja na ndio wanaotawala ulimwengu, hivyo vikwazo havikukwamisha wao kufikia malengo.
Hahahaaa unajua historia ya Mzee wetu yote chimbuko ni mjukuu wa Kleist Sykes aitwaye Daisy Abdulwahid Sykes. Huyu mama ndie kampikia ngano zooooooote anazohubiri miaka yote huyu mzee wetuUisnijibu, mjibu Mag3
Unatafuta mahali pa kutokea, na hapa ndipo tulikueleza ukiona tupo mbali usidhani wewe ni bingwa
Ulisema ukumbi kimyaa, tumerudi unatafuta vijisababu.
Hakuna matusi 'pants down ni msemo' na m-cambridge yoyote anaelewa na unaelewa,unatafuta excuse
Wanajamvi, kuna wale waliokuwa wanaamini mzee anaandamwa tu bila sababu
Tuliwaeleza kuwa tumekuwa naye miaka mingi hapa jamvini akiwa na ngano hizi hizi
Kipya alichokuja nacho ni ushahidi wa wajukuu wa wazee wake dhidi ya Nyerere
Hivi chuki walioshibishwa wajukuu kuna ushahidi wowote unaoweza kukubalika?
Halafu ushahidi ni maneno ya vinywani, Mohamed hana ushahidi mwingine
Ni yale yale ya Abdul Sykes kuanzisha TANU kwa ushahidi wa 'inasemekana''
Kama huwezi kueleza jamvi hoja za bandiko 630(Mag3) kaa kimyaa, jamvi litaelewa kiutu uzima
Hehee ninachomsifu mzee huyu ana akili sana, hili si wakupuuzwa... Anajua kucheza na hadhira huyu sijapatapo kuona... Kama taifa lingebahatika kupata watu kumi kama mzee huyu kwahakika tungefika mbali...Anababaika tu hajui aseme nini. Anatafuta visababu vya kitoto kabisa
Jamvi linashuhudia fadhaiko lingine, na tulimuasa mapema sana akiona tupo kimya asiamshe 'dude'
Tulipokaa pembeni akaanza kutamba 'jamvi kimyaa' na kila tambo. Jamvi linashudia ubabaikaji na hili ndilo watu waelewe. Ukiona mapicha na maneno meengi ni kubabaisha usisome between the lines
Mtu anaadhirika
Wana Majlis.Ndugu zangu juzi nimeleta taarifa hapa yuko "publisher," anatafuta mswada mradi wa African History, "Facts, Denial and Acceptance," hakuna mtu wa kuchukua kazi hii? Naona ukumbi umekuwa kimya.
wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yericko,Hehee ninachomsifu mzee huyu ana akili sana, hili si wakupuuzwa... Anajua kucheza na hadhira huyu sijapatapo kuona... Kama taifa lingebahatika kupata watu kumi kama mzee huyu kwahakika tungefika mbali...
Nakushukuru sana kwa kumbukumbu nzuri nzuriYericko,
Mdogo wangu mimi ni mtoto wa Kariakoo tu na watu huwa hawachaguwi
wazazi wao.
Mimi nimezaliwa wakati ule harakati za uhuru zinaanza na wazee wangu
walikuwa pale Gerezani walipokuwa wanaishi hawa watu akina Aziz Ally,
Kleit Sykes, Omari Londo kuwataja wachache na walishiriki katika TANU.
Mpiga picha wa TANU na Nyerere katika miaka ya 1950 ndiyo alinipiga
picha yangu ya kwanza hiyo hapo chini.
Huyu alikuwa akiitwa Shebe na studio yake ilikuwa Mtaa wa Livingstone
na Kipata.
Angalia hiyo picha hapo chini:
Nikisikia yaliyotokea toka udogo na kuyajua na kuwatambua wale wote
ambao mimi niliwaona kwa macho yangu.
Hata wewe ungezaliwa na watu hawa na wewe ungeyajua haya bila ya
hata kupinda mgongo.
Hiyo nyumba ya pili kushoto ni namba 32 Mtaa wa Kipata (sasa Sykes) ndipo nilipozaliwa 25 February, 1952.
Mtaa wa nyuma ni Mtaa wa Swahili na wa mbele unaokatiza ni Nyamwezi:
Yericko,Nakushukuru sana kwa kumbukumbu nzuri nzuri
Babu yangu pia alikuwepo 1889 alitembea kwa miguu toka Lushoto mpaka TangaMtanganyika hakika babu yangu alikuwapo na hiyo ndiyo historia yake.
Ikiwa huitaki sawa silazimishi wala sijategemea na wewe uje na historia.
Naelewa ugumu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app