Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Yericko,
Kazi yangu ya mwisho ni hii, ''Dictionary of African Biography,'' Oxford University Press, New York, 2011.
Hebu tazama ilivyo kuna, ''bibliography,'':

DSCN1142.JPG

Sijaona katika, ''volume,'' zote sita maoni ya mtu yeyote mashuhuri ndani mna
kazi za kisomi na rejea za watu wajuzi katika historia ya Afrika.

Nami niliingizwa katika mradi huu kwa kuwa nimeandika mengi katika historia
ya Tanganyika wala hapa Tanzania hakuchukuliwa mtu kwa umaarufu.
Mpaka hapo hujui uliingizwa kwa sababu ya umaarufu wa kuandika historia yako?

Huo ndio umaarufu mkuu
 
Niliingizwa kwa ajili ya elimu niliyokuwanayo katika historia ya Tanganyika
si kwa ajili ya umaarufu.

Kuna watu wengi sana maarufu kunishinda lakini umaarufu wao hauwezi
kuwafanya wawe wataalamu.
 
Wanajamvi kwa mujibu wa Mohamed, maswali yamejaa lugha ya kughadhabika na shari. Maswali ni hayo hapo juu, kama kuna mahali lipo tatizo naomba mtu anionyeshe kughadhabika au shari, nitaomba radhi.

Kama hakuna Mohamed maswali yapo wazi ndani ya mada na maudhui, jamvi linakusikiliza
Mzee wetu maswali magumu ndio kughadhabisha
 
Yericko,
Niliingizwa kwa ajili ya elimu niliyokuwanayo katika historia ya Tanganyika
si kwa ajili ya umaarufu.

Kuna watu wengi sana maarufu kunishinda lakini umaarufu wao hauwezi
kuwafanya wawe wataalamu.
Hapa si kwahilo, bali umaarufu wako katika historia hii
 
Mzee wetu maswali magumu ndio kughadhabisha
Yericko,
Kama swali gumu silijui ningesema sijui lakini mtu aliyeghadhibika
anatambulikana katika lugha yake.

Muungwana kwa kawaida hamlazimishi mtu jambo.

Huyu bwana namkwepa siku nyingi baada ya yale matusi ya mie kuvukwa
nguo lakini kifua kimejaa joto ananiandama.

Mie siwezi kumpa tena nafasi.

Waswahili tuna msemo heri nusu shari kuliko shari kamili.

Huu ni mjadala tu sasa hayo yote hadi kutukana kwa kitabu kipo sasa miaka
20 ndipo nastaajabu.

Siwezi kumpa tena nafasi.
Hatonipata.

Namwacha na kejeli, matusi na ghadhabu zake.
 
Hapa si kwahilo, bali umaarufu wako katika historia hii
Yericko nakupenda hupendi kushindwa.

Kitabu changu kimewachoma wengi sana hadi Maalim wangu Prof. Haroub Othman na habari zake nimekwisha zieleza hapa.

Yeye ndiye sababu ya kuundwa Jopo la Prof. Shivji kufanya utafiti na kuandika maisha ya Baba wa Taifa.

Naamini yote niliyosema katika kitabu kile yatapitiwa upya na kutolewa maelezo.

Tukisubirini kitabu hiki In Shaa Allah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda uniambie unataka kujua nini kuhusu Jesuits, hivi unafikiri we ndio mbobezi unayejua zaidi, JF ni kichaka kuna kila aina ya watu humu, kwa kifupi ndugu yangu Yericko Nyerere , unaweza kuwa mzuri kwenye vitu vingi lakini kwa hili la Jesuits uko wrong,

Anyway tusitoke nje ya maada, japo nakuomba sana ujitahidi kuandika facts itakusaidia na itawasaidia wanaosoma humu
Mkuu naomba ukipata muda uandike uzi mzuri kuhusu historia ya hawa jamaa. Niliwahi kusoma kitabu kimoja hivi cha conspiracy theories kuhusu JESUITS nikawa nimebaki kinywa wazi.

Please mkuu andaa uzi! [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba ukipata muda uandike uzi mzuri kuhusu historia ya hawa jamaa. Niliwahi kusoma kitabu kimoja hivi cha conspiracy theories kuhusu JESUITS nikawa nimebaki kinywa wazi.

Please mkuu andaa uzi! [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Makala imeandikwa na mdau wa vitabu.

Sangapipi.
23/6/2016

Kwamujibu wa John Silivalon katika kitabu chake anabainisha nguvu ya kanisa katika siasa ya Tanzania, Lakini John sio yeye tu, Yericko Nyerere pia katika kitabu chake kiitwacho Ujasisi wa Kidola na Kiuchumi Sura ya Pili, uk 295, ameeleza kwakirefu...

Nanukuu

"Maamuzi yoyote ya mwelekeo wa dunia hutokea baada ya kukubaliwa ama kuratibiwa na Kanisa kupitia shirika la Jeisuti ambalo utendaji wake ni wa siri zaidi. Karne ya 17 kanisa lilikuja na mpango madhubuti wa kuisaka haki ya kibinadamu katika ulimwengu wa kikoloni, ijapokuwa mpango huo ulikuwa ukibadilika malengo kila nyakati kulingana na mahitaji ya karne.

Baada ya vita vya kwanza vya dunia, Shirika la Wajeisuiti lilikuwa na nguvu na lilikuwa tayari sehemu ya tawala nyingi duniani hivyo kufanya kisiwepo kitakachofanyika bila majasusi hawa kujua ama kuhusika, hasa juu ya mstakabali wa dunia ijayo, walikuwa na bado wanauoni mkubwa wa mambo yajayo.

Wazo la kuwa na Shirikisho la Mataifa lilitolewa mara ya kwanza na mwanafalsafa Mjerumani Immanuel Kant mnamo mwaka 1795. Wazo la Kant lilirudiwa na wanafalsafa mbalimbali. Wakati wa vita kuu ya kwanza rais wa Marekani Woodrow Wilson alipendekeza hatua za kuanzisha shirikisho hili kwa kusudi la kuzuia vita za wakati ujao baada ya mwisho wa vita ile. Kant alikuwa wakala wa ujasusi wa Wajeisuiti akiripoti kwa Karl Theodor von Dalberg, alizaliwa mjini Königsberg (sasa: Kaliningrad) 22 April 1724 kama mtoto wa fundi. Mamake alimsomesha kweye shule ya sekondari akaendelea kusoma theolojia, falsafa, sayansi, fizikia na hisabati. Tasnifu (thesis) yake ya kwanza haikupokelewa na profesa wake mwaka 1746 hivyo alifanya kazi ya ualimu kwenye nyumba ya matajiri na makabaila mbalimbali kwenye mazingira ya Königsberg.

Mwaka 1754 alirudi kwenye chuo kikuu akamaliza masomo yake. Tangu 1755 alikuwa mwalimu na tangu 1870 profesa kamili kwenye chuo kikuu cha Königsberg.Hakuoa aliishi na mtumishi wa nyumbani tu hadi kifo chake mwaka 1950 kwa umri wa miaka 80. Kaburi lake ni kando la kanisa kuu la Königsberg limetunza hata siki hizi baada ya kufukuzwa kwa Wajerumani na kuwa sehemu ya Urusi. Katiba ya shirikisho la mataifa ilikuwa sehemu ya mkataba wa Versailles mwaka 1919. Nchi washindi au mataifa ya ushirikiano zilijiunga na umoja huo mpya. Baada ya kukubaliwa na nchi za kutosha shirikisho lilianza rasmi tarehe 10 Januari 1920.Katiba ilikuwa na madhumuni kama yafuatavo:

  1. Fitina zote kati ya nchi zitasuluhishwa kwa njia ya amani kwa azimio ya kamati au mahakama ya kimataifa
  2. Nchi wanachama zote zitaungana dhidi ya nchi yoyote itakayoanzisha vita mpya au kukataa azimio la mahakama ya kimataifa
  3. Nchi zinapatana kupunguza jeshi zao na idadi ya silaha zilizopo
  4. Mkutano mkuu wa wawakalishi wa nchi zote wanachama itakuwa bunge la shirikisho
  5. Kamati kuu au halmashauri ya nchi wanachama nne (baadaye sita)na nafasi nne (baadaye 9) za nchi zinazobadilishana kwa zamu
  6. Ofisi kuu inayoongozwa na Katibu Mkuu
  7. Mahakama ya kimataifa inaundwa ya kutoa azimio katika matatizo kati ya madola

Mkataba wa Versailles ulianzisha aina mpya ya maeneo yaliyowahi kuwa ama koloni au majimbo ya nchi zilizoshindwa katika vita. Koloni zote za Ujerumani pamoja na sehemu kubwa ya majimbo ya Milki ya Osmani ya awali ziliwekwa chini ya mamlaka ya Shirikisho la Mataifa na kukabidhiwa kwa nchi washindi wa vita. Zilipewa hali ya pekee kama maeneo ya kudhaminiwa. Tofauti na koloni za kawaida nchi wadhamini hazikupewa mamlaka yote jinsi iliyokuwa katika koloni zao za kawaida bali zilipokea maeneo ya kudhaminiwa chini ya masharti fulani pamoja na kulinda haki kadhaa za wenyeji na KUZIANDAA nchi hizi kwa uhuru. Hapo mwanzoni tofauti kati ya koloni na eneo la kudhaminiwa haikuwa kubwa lakini baadaye masharti ya udhamini yalikuwa muhimu. Kwa mfano hali ya Tanganyika kuwa eneo ka kudhaminiwa ilisababisha Uingereza kutokubali walowezi wengi kuja hapa. Vivyo hivyo hali ya Afrika ya Kusini Magharibi kuwa eneo la kudhaminiwa ilizuia sehemu hii kuwa jimbo la Afrika Kusini kuwa msingi kwa uhuru wake kama nchi ya Namibia.

Jukumu la kuandaa nchi hizo kupata uhuru liliratibiwa na shirika hilo la kijasusi kwa ustadi mkubwa bila baadhi ya makoloni kujua, lakini lilikumbana na kikinza hasa kufuatia mnyumbuliko wa kiimani ndani ya ukristu kufuatia nguvu ya Cambrige (Anglikana), mgogoro huo ulikuzwa kwakuwa Anglikana nao tayari walikuwa wameaandaa taasisi yao waliyoiita Fabian Sociaty maalumu kwaajili ya kuwaandaa vijana wa kiafrika kukabidhiwa nchi zao, Barani Afrika Jeisuiti ilibadili mbinu kwakuwa dola la Kiingereza lilikuwa kikwazo kwa sehemu fulani, haikujikita kwenye dola isipokuwa ilisimama katika muundo wa shirika lifanya shughuli zake ndani ya Kanisa. Dhamiri ilikuwa lazima itimie, kama ilivyosemwna huko mwanzo kuwa hawa ndio wabobevu wa elimu ya juu kwa kila nyanja na ndio wanaotawala ulimwengu, hivyo vikwazo havikukwamisha wao kufikia malengo.
 
Yericko,
Kama swali gumu silijui ningesema sijui lakini mtu aliyeghadhibika
anatambulikana katika lugha yake.

Muungwana kwa kawaida hamlazimishi mtu jambo.

Huyu bwana namkwepa siku nyingi baada ya yale matusi ya mie kuvukwa
nguo lakini kifua kimejaa joto ananiandama.
Uisnijibu, mjibu Mag3

Unatafuta mahali pa kutokea, na hapa ndipo tulikueleza ukiona tupo mbali usidhani wewe ni bingwa

Ulisema ukumbi kimyaa, tumerudi unatafuta vijisababu.

Hakuna matusi 'pants down ni msemo' na m-cambridge yoyote anaelewa na unaelewa,unatafuta excuse

Wanajamvi, kuna wale waliokuwa wanaamini mzee anaandamwa tu bila sababu
Tuliwaeleza kuwa tumekuwa naye miaka mingi hapa jamvini akiwa na ngano hizi hizi

Kipya alichokuja nacho ni ushahidi wa wajukuu wa wazee wake dhidi ya Nyerere
Hivi chuki walioshibishwa wajukuu kuna ushahidi wowote unaoweza kukubalika?

Halafu ushahidi ni maneno ya vinywani, Mohamed hana ushahidi mwingine

Ni yale yale ya Abdul Sykes kuanzisha TANU kwa ushahidi wa 'inasemekana''

Kama huwezi kueleza jamvi hoja za bandiko 630(Mag3) kaa kimyaa, jamvi litaelewa kiutu uzima
 
Mzee wetu maswali magumu ndio kughadhabisha
Anababaika tu hajui aseme nini. Anatafuta visababu vya kitoto kabisa

Jamvi linashuhudia fadhaiko lingine, na tulimuasa mapema sana akiona tupo kimya asiamshe 'dude'
Tulipokaa pembeni akaanza kutamba 'jamvi kimyaa' na kila tambo. Jamvi linashudia ubabaikaji na hili ndilo watu waelewe. Ukiona mapicha na maneno meengi ni kubabaisha usisome between the lines
Mtu anaadhirika
 
Ndugu zangu juzi nimeleta taarifa hapa yuko "publisher," anatafuta mswada mradi wa African History, "Facts, Denial and Acceptance," hakuna mtu wa kuchukua kazi hii? Naona ukumbi umekuwa kimya.

Hahahaaa unajua historia ya Mzee wetu yote chimbuko ni mjukuu wa Kleist Sykes aitwaye Daisy Abdulwahid Sykes. Huyu mama ndie kampikia ngano zooooooote anazohubiri miaka yote huyu mzee wetu
 
Anababaika tu hajui aseme nini. Anatafuta visababu vya kitoto kabisa

Jamvi linashuhudia fadhaiko lingine, na tulimuasa mapema sana akiona tupo kimya asiamshe 'dude'
Tulipokaa pembeni akaanza kutamba 'jamvi kimyaa' na kila tambo. Jamvi linashudia ubabaikaji na hili ndilo watu waelewe. Ukiona mapicha na maneno meengi ni kubabaisha usisome between the lines
Mtu anaadhirika
Hehee ninachomsifu mzee huyu ana akili sana, hili si wakupuuzwa... Anajua kucheza na hadhira huyu sijapatapo kuona... Kama taifa lingebahatika kupata watu kumi kama mzee huyu kwahakika tungefika mbali...
 
Ndugu zangu juzi nimeleta taarifa hapa yuko "publisher," anatafuta mswada mradi wa African History, "Facts, Denial and Acceptance," hakuna mtu wa kuchukua kazi hii? Naona ukumbi umekuwa kimya.
wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana Majlis.
Katika maisha yangu nimejuana na Wazungu wawili, Peter Colmore na
Jim Bailey na wote hawa walini-inspire sana baada ya kujua maisha yao.

Peter Colmore alikuwa na ofisi yake karibu na nyumba yetu Mtaa wa Kirk
Street (Sasa Mtaa Lindi) karibu na International Hotel kama unaelekea
Nkrumah Street.

Ofisi hii alikuwa pamoja na Ally Sykes na hapa ndipo kwa mara ya kwanza
niliona, ''aircondition na reel to reel tapedeck.''

Colmore aliweza kwa kushirikiana na Waafrika katika ukoloni kuwanufaisha
wasanii wengi wa Kiafrika na yeye kutajirika.

Nitaweka ''link,'' uweze kusoma maisha ya Colmore kama nilivyomwandikia
taazia yake alipofariki.

Jim Bailey huyu ni kutoka Afrika Kusini.

Yeye ndiye alikuwa na gazeti maarufu Afrika katika miaka ya 1950 na 1960
na yeye pia kwa kuwatumia waandishi Waafrika aliweza kuwanufaisha kwa
hali ya juu waandishi Waafrika ndani ya Afrika Kusini na katika nchi zilizokuwa
chini ya ukoloni.

Hawa Wazungu nilijuananao kwa karibu sana kupitia mgongo wa Ally Sykes
na nilifanyanao kazi ambazo zilipanua ubongo wangu na kunitia katika dunia
nyingine.

Peter Colmore na Jim Bailey ndiyo walionifundisha umuhimu wa kuweka
kumbukumbu na umuhimu wa picha.

Baba yangu Said Salum alikuwa mpenzi wa ''gadgets,'' na yeye ndiye alinipa
camera yangu ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 13 mwaka wa 1965.

Maisha yangu yote ninaweza nikayaeleza kwa picha zangu.

Nilipokwenda kufanya mahojiano na Peter Colmore mwaka 1995 nyumbani
kwake Muthaiga, Nairobi 1995 alinifungulia maktaba yake ya picha na ''cuttings,''
za magazeti kuanzia 1940s wakati yeye na Ally Sykes wakiwa na band ya muziki
wako vijana wakifanya maonyesho yao Nairobi Theatre, 1945 baada ya Vita
Vya Pili Vya Dunia.

Niliyoyaona katika maktaba ile sina maneno ya kuelezea.

Nilifahamishwa kuwa katika usia wake alisema kuwa maktaba yake ipelekwe mahali
fulani baada ya kifo chake.

Hapa katika maktaba hii nilikuwa nimejifunza jambo katika umuhimu wa kuhifadhi
nyaraka na pamoja na picha.

Bahati mbaya sana maktaba ya Colmore ni, ''private,'' siyo ''public.''

Tuje kwa Jim Bailey.

Bailey ameacha maktaba ya haja naamini ingawa sina hakika ni moja ya maktaba
muhimu katika picha na historia ya uhuru wa Afrika - Bailey African History Archive.

Hapa ndipo nilipotaka kufika.

Azma yangu mimi ni kuacha maktaba kama aliyoacha Jim Bailey ikiwa na maelezo
na picha za historia ya Tanzania.

Ndugu zanguni,
Moyo hausahau kile ambacho jicho la camera limeona na picha inazungumza maneno
1000.

Hii picha hapo chini ni ya bibi yangu mkuu tukimwita Bibi Popo.

Huyu alikuja Tanganyika kutoka Belgian Congo katika miaka ya mwisho 1800 na mimi
nilimwona hiyo picha nilimpiga 1965 nadhani alikuwa na zaidi ya miaka 80:

F_0PPiXyb_PcNrhPS9MPV1NqM0RPA0K0V7Bz80UGCGcBZpkIF-PqfPeK9pY95YmLZQdUI-JB5k1YTjWNmx68HaeiEBhZoGH9UY5kp1MNXH4lqw-ykzAo2FD8HLMr_xLDHizSSGylek1g9K5i2vw24rP0OPjFZdSFhm-ragTpaProABw45saPAp7yhkPGNvwDCgQPqD8S9Ih8ZD2a-TWUqOX_eaY3wVqH_weOZ86yS322uut6c3fu9qvWKRJ-l_2lxBNyhkjlAZVVW-cVE8l_eACibU8dA_ZB1sOL73H0gqT1pe48Jr4PVzrIvc2SQ44_WQeZ9WogLqs4RttIAHh_T9i56RGcuftCEZJN6UG6TXEHLW6H8uNxI2Tx-64d5a3vxeNHGPfaJ4ErKJxE5o1P4jYNVNEZGwgVkcQyweK59pZqNaMoJRuLXB8EKKZfQzPY95_UZJY57VtK2Hvjjm0jhy6iBaxd5oo51I-UtlDcJFoF99kOGs5rA727u9huLKk4PN33QZKjqo75CH6Pel4s1GSXu5H6wsODfZ0rkaP_TSP3KQqYeC84LYG9JGKsV81cQobOfUFXh26nE4uB9X-3OGgtyLakya3UTXy0IGSxNicoZZa8BMCPcA=w418-h629-no

Mohamed Said: KUTOKA JF: ALLY SYKES, PETER COLMORE NA JIM BAILEY
 
Hehee ninachomsifu mzee huyu ana akili sana, hili si wakupuuzwa... Anajua kucheza na hadhira huyu sijapatapo kuona... Kama taifa lingebahatika kupata watu kumi kama mzee huyu kwahakika tungefika mbali...
Yericko,
Mdogo wangu mimi ni mtoto wa Kariakoo tu na watu huwa hawachaguwi
wazazi wao.

Mimi nimezaliwa wakati ule harakati za uhuru zinaanza na wazee wangu
walikuwa pale Gerezani walipokuwa wanaishi hawa watu akina Aziz Ally,
Kleist Sykes, Omari Londo kuwataja wachache na walishiriki katika TANU.

Mpiga picha wa TANU na Nyerere katika miaka ya 1950 ndiyo alinipiga
picha yangu ya kwanza hiyo hapo chini.

Huyu alikuwa akiitwa Shebe na studio yake ilikuwa Mtaa wa Livingstone
na Kipata.

Angalia hiyo picha hapo chini:

sbK9A8VrgYGj2KP5rGTvZ57Ti4t6iUEs7AHJGFFP3459dkMtWISTsBIicHIRFw6Zl8km716Qh0YTLjS7wPkoI-OPomPzUkCxTQZwc7nYU-y1ckX7DnyF6v4xo_ozZswYXr_N00CZVRVpb_yOAy--huCjGomylJBHyMDUI9wyyLPZE5MTftUV5c0hEwR0V2qbod-nsWQnvEn86eDJIJmZKigYTZ5M38RxzVRVV6EsY9bSPq8s8pD2PxZ4UJiERlDYG0t-V3_kbKU2G8bDSE4FaOoguauxLbH5NAfK13FkbTXwlwVz-VA1xCqZxA0tDI7jxB9wJPGpWLwvs8qFM0i5g8VMsVVIKOwcfViFrmzJWSG-4uDHTCOCroNFzTBzVgnYnGqjIVb78IvHJtEZYpm6E0IC1X46JvPyRSiSBwpN8VgCpGkA47oWDrsMCw9HkYje-zsIuCKlXk9xuwAMXyHFx5jeCqg-Xw4k4d8EC-_nChtbMheFpDTL-BVD-fKRXwfmAhW53vcPMDTk42r0ltcMZhmtGcYtrY8Kt0vpmwNy8KymGUmZagl9hOl1PHaKRsNB9HAZTbcU_2pcnXcwkyszI4ArZ7MNCq1f5sjoWewekvEKoeuiv_t2Dw=w417-h629-no

Nikisikia yaliyotokea toka udogo na kuyajua na kuwatambua wale wote
ambao mimi niliwaona kwa macho yangu.

Hata wewe ungezaliwa na watu hawa na wewe ungeyajua haya bila ya
hata kupinda mgongo.

Hiyo nyumba ya pili kushoto ni namba 32 Mtaa wa Kipata (sasa Sykes) ndipo nilipozaliwa 25 February, 1952.

Mtaa wa nyuma ni Mtaa wa Swahili na wa mbele unaokatiza ni Nyamwezi:

PsGqj49BprKGAooFG604b9dr8Vz_bsY7bcRhURD0atYZI81UPlNoyAkH8di437fdR6Hoeerw6XdusmBN4fy_AZMZvsxQmwaw83NQPEPzKeDiLrCsaeeUnA01stTFNi7D2MnBNcM2OuHhvjK44DNLgGuHSlrnH22AqH8RyKy62LwnZmddLeqxD-kwSKjiRUClSk8S9eEs_UoHHSabKWOMN5jhbxQwFg7-qR3Nlf0xbOuTJbafIMWng1hoGZnoJivM9ex3yiBg4fm4PHZ1FM5k25i9LaMy7FFvcn9aW2S64LrkxSkJ_9iC4bCgnGLNuogjgRGhCKOMgRckhFjdvCRXMqzRnKX9lhQQY_9O5U8YTfocgPJjs3kKYPNLRLhORAF4m59cBbCZMDez6ygfjhRNh9-B9O3IIXHwil6_ARCyXao5zX4tbqx4Bq5hX2HpQcQM_77CNMeplfPFVlc52xkdK9G-m089UUz0Run6o4HKqY1n9MVy73kZyqC4UMlz-hrMwSLw61FaYu8yhGiqiY2pQA0BCrMXq_esZV8RO3-N5P9Jzh1lAiBFAoFyL6VmM4fsqOFZJFR2AnoUtWX3TKZjbBWo0oBUqcC-cTuxZC00Ou1fAzM2nmIxgw=w839-h629-no
 
Yericko,
Mdogo wangu mimi ni mtoto wa Kariakoo tu na watu huwa hawachaguwi
wazazi wao.

Mimi nimezaliwa wakati ule harakati za uhuru zinaanza na wazee wangu
walikuwa pale Gerezani walipokuwa wanaishi hawa watu akina Aziz Ally,
Kleit Sykes, Omari Londo kuwataja wachache na walishiriki katika TANU.

Mpiga picha wa TANU na Nyerere katika miaka ya 1950 ndiyo alinipiga
picha yangu ya kwanza hiyo hapo chini.

Huyu alikuwa akiitwa Shebe na studio yake ilikuwa Mtaa wa Livingstone
na Kipata.

Angalia hiyo picha hapo chini:

sbK9A8VrgYGj2KP5rGTvZ57Ti4t6iUEs7AHJGFFP3459dkMtWISTsBIicHIRFw6Zl8km716Qh0YTLjS7wPkoI-OPomPzUkCxTQZwc7nYU-y1ckX7DnyF6v4xo_ozZswYXr_N00CZVRVpb_yOAy--huCjGomylJBHyMDUI9wyyLPZE5MTftUV5c0hEwR0V2qbod-nsWQnvEn86eDJIJmZKigYTZ5M38RxzVRVV6EsY9bSPq8s8pD2PxZ4UJiERlDYG0t-V3_kbKU2G8bDSE4FaOoguauxLbH5NAfK13FkbTXwlwVz-VA1xCqZxA0tDI7jxB9wJPGpWLwvs8qFM0i5g8VMsVVIKOwcfViFrmzJWSG-4uDHTCOCroNFzTBzVgnYnGqjIVb78IvHJtEZYpm6E0IC1X46JvPyRSiSBwpN8VgCpGkA47oWDrsMCw9HkYje-zsIuCKlXk9xuwAMXyHFx5jeCqg-Xw4k4d8EC-_nChtbMheFpDTL-BVD-fKRXwfmAhW53vcPMDTk42r0ltcMZhmtGcYtrY8Kt0vpmwNy8KymGUmZagl9hOl1PHaKRsNB9HAZTbcU_2pcnXcwkyszI4ArZ7MNCq1f5sjoWewekvEKoeuiv_t2Dw=w417-h629-no

Nikisikia yaliyotokea toka udogo na kuyajua na kuwatambua wale wote
ambao mimi niliwaona kwa macho yangu.

Hata wewe ungezaliwa na watu hawa na wewe ungeyajua haya bila ya
hata kupinda mgongo.

Hiyo nyumba ya pili kushoto ni namba 32 Mtaa wa Kipata (sasa Sykes) ndipo nilipozaliwa 25 February, 1952.

Mtaa wa nyuma ni Mtaa wa Swahili na wa mbele unaokatiza ni Nyamwezi:

PsGqj49BprKGAooFG604b9dr8Vz_bsY7bcRhURD0atYZI81UPlNoyAkH8di437fdR6Hoeerw6XdusmBN4fy_AZMZvsxQmwaw83NQPEPzKeDiLrCsaeeUnA01stTFNi7D2MnBNcM2OuHhvjK44DNLgGuHSlrnH22AqH8RyKy62LwnZmddLeqxD-kwSKjiRUClSk8S9eEs_UoHHSabKWOMN5jhbxQwFg7-qR3Nlf0xbOuTJbafIMWng1hoGZnoJivM9ex3yiBg4fm4PHZ1FM5k25i9LaMy7FFvcn9aW2S64LrkxSkJ_9iC4bCgnGLNuogjgRGhCKOMgRckhFjdvCRXMqzRnKX9lhQQY_9O5U8YTfocgPJjs3kKYPNLRLhORAF4m59cBbCZMDez6ygfjhRNh9-B9O3IIXHwil6_ARCyXao5zX4tbqx4Bq5hX2HpQcQM_77CNMeplfPFVlc52xkdK9G-m089UUz0Run6o4HKqY1n9MVy73kZyqC4UMlz-hrMwSLw61FaYu8yhGiqiY2pQA0BCrMXq_esZV8RO3-N5P9Jzh1lAiBFAoFyL6VmM4fsqOFZJFR2AnoUtWX3TKZjbBWo0oBUqcC-cTuxZC00Ou1fAzM2nmIxgw=w839-h629-no
Nakushukuru sana kwa kumbukumbu nzuri nzuri
 
Nakushukuru sana kwa kumbukumbu nzuri nzuri
Yericko,
Kwa kuwa umependa kumbukumbu hizi za nyumbani kwetu Gerezani basi
nataka nikupe kisa kilicholeta taharuki kubwa ambayo naelezwa haijapata
kutokea katika historia ya TANU na Nyerere labda hadi Baba wa Taifa
anaaga dunia.

Siku za mwanzo za TANU viongozi wake walikuwa wakiwa na jambo zito
la kujadili walikuwa wakikutana nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa
Stanley na Sikukuu.

Walikuwa wakimaliza shughuli basi inakuwa chakula na vinywaji kujipongeza.
Siku hiyo baada ya kikao wakala chakula cha mchana.

Baada ya kula ghafla Nyerere akaanza kulalamika kuwa tumbo linamkata.
Nyerere akawa anajipindua huku na huku kwa maumivu.

Siku zote TANU walikuwa wakiishi chini ya hofu ya Nyerere kudhuriwa na
maadui wa TANU lakini katika chakula kile cha nyumbani kwake hapakuwa
na hofu kwani chakula chake kilikuwa kinatoka Kariakoo na kwa watu maalum
ambao Market Master, Abdul Sykes akiwafahamu na Mzee Mshume na ndiye
akikinunua, mpelekaji wa chakula hicho kwa Mama Maria alikuwa dereva wa
TANU, Said Kamtawa maarufu kwa jina Said TANU.

Nyerere kalala kwenye kochi anaugulia na taharuki ikazuka na minong'ono
haikuweza kukwepeka.

Nyerere kalishwa sumu!
Sumu Nyerere alishwe nyumbani kwa Abdul Sykes?

Uani jikoni walikuwa mama yake Nyerere Bi. Mgaya, Mama Maria, mama
yake Abdul Sykes Bi. Mruguru bint Mussa,
mkewe Abdul Sykes, Mama
Daisy
.

Bi. Mgaya
hakuweza kustahamili alipoona wanaume ingia toka kule ndani.

Aliposikia kuwa Nyerere anaumwa baada ya kula chakula kitu cha kwanza
kilichomjia ni kuwa mwanae kalishwa sumu akawa sasa mikono kichwani
analia na kutembea ua mzima.

Bi. Mgaya anasema Kizanaki na anachanganya na Kiswahili.
Ikawa patashika kumtuliza.

Wote waliokula chakula kile walikuwa salama na hawa ni watu waliokuwa
wakijuana vizuri na wakiaminiana mwisho wa imani.

Nani anaweza kupenya nyumbani kwa Abdul akampa sumu Nyerere?
Nani?

Mama Daisy ndiye alikua akinihadithia alipomaliza aliinamisha kichwa
akasema, ''Mwanangu Mohamed, Abdul na Nyerere wametoka mbali
sana na walikuwa zaidi ya ndugu.''

Iko siku nitakileta hapa kisa cha sanduku la fedha la Abdul Sykes.
 
Back
Top Bottom