Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Maalim Faiza,
Ndipo aliposema Maalim Haruna kuwa mjinga anahitaji kusomeshwa.

Anamkata jina Ally Sykes kwe kibri cha kijinga.
''Ndicho alichosema, ''Ally.''

Nimeweka vipande viwili kutoka mswada wake, ''Under the Shadow of
British Colonialism.''

Hicho ndicho alichosema, ''Ally.''
Naongeza kidogo kipande kingine nacho pia kidogo alichosema, ''Ally,'':

gor_FdPs1rskKeieRC6yNLBvFrqjcFF7RJdW-h-UgrzORroN4XKo41G__XssOinMdVTqmZyNVSf_OqiStKpa5xlZ9xJZRYx_kqPUJdsw4nZqITAo57N0Rn1CrVzicmZcp0VjF11FnWojAryPo35USBTdTJhRZE_11dz5DMsMlww-YrZO6FKb0pgX_4Xw66dmY0SX6BZDDvwGt0euV3lb4iIp-HqZGh8Ta290neSLJxF3CNm9ICqfiXrzMC_ZEHdDCVQNZSYffg7IIOk3j0vw-jtasoUx-0OrJHQIvLfkR_JswNRg_9rvtIkuKpwZV7iFTyoFGewruCxYEruwks7Z-xuv2QJcsSZdNO10pwBmfLnoQMqA5EbFqgnilVTGUoKraa64y1fUFSiHJ-aG8OHiIBVIuBKgz8YaveEkBVc3FSScCDw_RE8qK4O9NuSNEgrqL1TQm1_zGPKOet5hsiL9ccUXrETYjYOwo_TW6cKO36cMBeZ5pSZIJZK5wu4W3k8eUgzhvFeaAZWBFPJOLeTI99Om1Ewqm6DepGV_omg7dGnB0tdSKVTuANAYmxO35-j9saWZKUP2j1G4jd2icYT4kMJdfmwB4_fttWEwm23KeKtijHDKK6jm=w480-h349-no

''I worked under a British lady who was secretary to the Medical Officer in charge of the African section of Arusha Hospital. My reputation had superseded me. Everyone knew about Ally Sykes, son of Kleist Sykes and Nyerere’s friend; agitator and founder member of TANU, the party which wanted to oust the British from Tanganyika. But the European staff was bent into making my life difficult whenever they had the chance.''

Mjinga pia ana haki ya kuingizwa darasani asome.
Elimu bila khiyana.
bila elimu ya kanisa katoliki saa hizi ungekuwa mpunga madogoli km sharif majini!
unakuja unavimbisha kishwa km ngamia,wewe mkigoma huna shukrani!
 
bila elimu ya kanisa katoliki saa hizi ungekuwa mpunga madogoli km sharif majini!
unakuja unavimbisha kishwa km ngamia,wewe mkigoma huna shukrani!
Mzee Mohammed saidi shukrani kwa elimu unayotupa sisi vijana tusio na uwezo Wa kuipata kirahisi
Ila ni kweli, ukweli unachoma ndio maana hakuna tena hoja Bali yamebaki matusi tu.
Mkuu kuwa mpole njoo na rejea zenye ukweli ndani yake utamshinda Mzee Mohammed ila c kwa kumkosea heshma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii "xungura" si ya pale Mtaa wa Ukame kwa marehem Mzee Sungura?
 
Mzee Mohammed saidi shukrani kwa elimu unayotupa sisi vijana tusio na uwezo Wa kuipata kirahisi
Ila ni kweli, ukweli unachoma ndio maana hakuna tena hoja Bali yamebaki matusi tu.
Mkuu kuwa mpole njoo na rejea zenye ukweli ndani yake utamshinda Mzee Mohammed ila c kwa kumkosea heshma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Xungura,
Watu wote ambao huingia katika mjadala na mimi wakiwa na kibri,
kejeli nk. huwa wanatengeneza ''pattern,'' moja nayo wote huishia
katika kutukana.

Huyu jamaa nilishamkwepa siku nyingi nilipojua kuwa hakuwa na
lolote la maana katika mjadala huu ila lugha chafu.

Ningependa kupitia kwako kumfahamisha mimi kuwa si mtu wa Kigoma
wala sikujui.

Ikiwa anataka kujua kwetu aniulize tu kistaarabu nitamfahamisha.
 
Ndugu zangu,
Vipi mtu ataniita mimi muongo wakati nimeandika mengi kutokana na utafiti
niliofanya kwa miaka mingi:
Mohamed, sina uhakika kama umeshawahi kumsikia mtu anaitwa James Watson.

Sifa zake unaweza kuzi-google. Kwa ufupi ni nguli Dunia wenyewe wakisema, eminent scientists,Nobel prize winner. Ana sifa za utafiti maabara si kama tourist

Miaka takribani kumi akiwa mtafiti nguli alieleza utafiti wake.
Wenzake walimhoji na kumzuia kushiriki shughuli katika maabara maarufu US na duniani

James aliomba radhi kwa jambo hilo

Kufanya utafiti hakuku 'exonerate' kutoka katika tabia za kawaida za binadamu.

Ukiwa mtafiti una inherent characters zisizotegemea kazi ufanyayo, ni za kibinadamu tu
Usichukue utafiti kama kinga ya tabia za kibinadamu ambazo kila mmoja anazo kwa namna tofauti kutokana na maumbile n.k.

Kuwa muongo ni matokeo ya kusema uongo.
Je, wanaosema wewe ni muongo wanakuonea?

Upo katika rekodi ukisema mwanzilishi wa AA likuwa Kleist.
Hili lilidumu hadi ilipothibitishwa na wanajamvi Cecil Matola na wenzake waliasisi chama , Matola akiwa Rais si Kleist!

Upo katika rekodi ukisema, alimwingiza Nyerere katika siasa ni Abdul Sykes!
Hili lilidumu hadi ilipothibitishwa kuwa Nyerere alianza siasa akiwa 'Kampala'
Aliandika barua ya kisiasa akiwa huko , kabla hajaonana na Abdul

Upo katika rekodi ukisema Nyerere alikutana na Abdu kwa mara ya kwanza alipokuja Dar 1950 na kwamba Abdul hakumjua kabla ya hapo

Ilionyeshwa kuwa Nyerere alihudhuria mkutano mwaka 1948 akiwa katibu wa tawi kubwa Tabora na alikutana na watu mashuhuri wa TAA. Abdul kutomjua haikuwa kweli

Ukasema aliyeunda TANU ni Abdul Sykes na sub committee iliyoandika katiba
TANU ikiundwa Rais alikuwa Nyerere, Abdul aliunda vipi?

Kwa mujibu wako TAA-Rais alikuwa Nyerere na Vice Pres Abdul, Kwamba, VP aliweza kubadili TAA kuwa TANU , President akiwa hajui!

Katiba ya TANU ilinukuliwa na aliyenukuu ni Nyerere si Abdul Klesit Sykes Mbuwane.

Orodha ni ndefu ikionyesha ima kwa bahati mbaya au kwa makusudia umesema yasiyo kweli kwa i.e uongo na atendae ni muongo

Kwa tukio moja unaweza kupewa benefit of doubt, kwa series ya matukio hiyo ni pattern na sijui wanaosema muongo wanakosea wapi! Je wanakosea kwasababu wewe ni mtafiti!
 
Walianzisha harakati za kupinga kutawaliwa.

Wazee wako jee?
Maalim Faiza hawa ndugu zangu hili jambo linawahangaisha kweli kweli.

Kitabu kina miaka 20 wao bado wanacho tu wanageuza karatasi kutafuta makosa na kuja na nukuu, "out of context."

Wanauliza maswali yale yale nami nawapa majibu yale yale na waulizaji ni wale wale na wasomaji ni wale wale.

Lakini wananisaidia kitu kimoja.
Kitabu kinanunuliwa si mchezo.

Hakika Allah ni muweza.

Abdul Sykes katika uhai wake ilijizuia kusema lolote kuhusu mchango wake katika TANU baada ya kutambua kuwa hiyo ilikuwa, "the ultimate prize," ambayo ilikuwa inagombaniwa.

Leo jina lake linasomwa na kutajwa kwingi.

Haitotajwa historia ya TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika sharti Abdul Sykes atatajwa.

*njia ya muongo fupi!
 
Wana Majlis,
Nadhani katika jina langu linawapelekea wengi kunifikiria kinyume nilivyo kuwa hiki siwezi kuwa nafahamu.

Nacheka sana.

Nilikaa jirani na Johns Hopkins University Washington wala sikuwa na uhusiano na chuo ila kwenda hapo kuswali sala ya Ijumaa.

Tukisali katika darasa maana hakuna msikiti hapo.

Mwenyeji wangu yeye bingwa mtafiti ndiye kanipeleka hapo.

Huyu ndiye aliyeniingiza katika dunia ambayo sikupatapo kudhania kuwa ipo.

Tukiwa nyumbani nasomeshwa.
Ndani ya gari nasomeshwa.

Mezani tukila nasomeshwa...

Nadhani namshangaza sana huyu jamaa.
Allah anapotoa haesabu anakumwagia.

Johns Hopkins hapafungwi 24/7 mwaka mzima na taa hazizimwi.

Lipo jingine nitamweleza siku nyingine In Shaa Allah.

Huyu sahib yangu humpelekea haya nipatayo hapa anieleze kwa nini inakuwa hivi kuwa watu wamekuwa wakiamini uongo lakini siku walipopewa kweli si tu wameikataa lakini pia wameghadhibika.

Aliniletea jibu lenye maneno mawili.

Kasema hao wamepata mshtuko na huo mshtuko umewasababishia maradhi yaani wana ugonjwa.

Nikamuuliza nini dawa yake?
Akasema wanahitaji, "therapy."

Maradhi yenyewe ni haya:
bila elimu ya kanisa katoliki saa hizi ungekuwa mpunga madogoli km sharif majini!
unakuja unavimbisha kishwa km ngamia,wewe mkigoma huna shukrani!

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walianzisha harakati za kupinga kutawaliwa.

Wazee wako jee?
Maalim Faiza,
Huko nyuma nimepata kuweka jamvini maneno hayo hapo chini.

Jamaa yangu ananiita muongo na anambie lipi la kuzusha katika
hayo?:

Mchango wa Nyerere katika TANU na kudai uhuru ni mkubwa sana.
Ikiwa nitajaribu kusema kuwa Nyerere hakuwa lolote katika historia ya
Tanganyika nitakuwa nimejivunjia heshima yangu.

Ukisoma kitabu changu utakuta sehemu nyingi ambazo zinaeleza vipi
Nyerere alijenga matumaini ya Watanganyika katika kurejesha utu na
heshima yao.

Ila hutomsoma peke yake.

Ikiwa ni katika mikutano ya mwanzo 1955 pale Mnazi Mmoja utamsoma
Nyerere, Sheikh Suleiman Takadir, Bi. Titi Mohamed na wengineo.

Ikiwa safari ya kwenda UNO utamsoma Nyerere na Idd Faizi Mafongo,
Mwalimu Kihere
na wengineo.

Ikiwa sakata la kura tatu utamsoma Nyerere na Sheikh Rashid Sembe
na Hamisi Heri na wengineo.

Hutomsoma Nyerere peke yake.

Utakapokuja katika kuasisi TANU utasoma nimeandika historia ya TANU ni
historia ya maisha ya Abdul Sykes na katika maisha hayo pia utamkuta
Julius Nyerere, Hamza Mwapachu na wengineo.

Hapa ndipo ilipo tofauti baina yako na mimi.
Ikiwa wewe utaona huu ni udini hii ni bahati mbaya kwa upande wako.

Nasema ni bahati mbaya kwa sababu kitabu changu kimefanyiwa ''review,''na
mabingwa wa historia ya Afrika duniani kama John Iliffe, James Brennan,
Jonathon Glassman
na wengineo.

Hili la udini hakuna hata mmoja ameliona isizidi ndiyo ikawa sababu ya mimi
kualikwa kwenye vyuo vyao kuzungumza.

Hakuna alomfuta Nyerere katika historia ya TANU lakini wapo waliomfuta
Abdul Sykes katika historia ya TANU na Nyerere alikaa kimya.

Ikiwa unadhani historia ya TANU na historia ya Nyerere imeandikwa basi
nakuhakikishia historia hiyo ndiyo sasa inaandikwa.

Chanzo cha kuiandika historia hii ni mazungumzo kati ya Prof. Haroub
Othman
na Nyerere, Prof. Haroub alipomwambia Nyerere, ''Mwalimu
lazima uwajibu Ali Muhsin na Mohamed Said.''

Majibu ni kwa ajili ya vitabu walivyoandikwa na Ali Muhsin na MohamedSaid:

2016%2B-%2B1

JwsVzu6U3F5wAF8-cQQSfyzCRpEldq30CPAXYrkHsYBlTFh8MeXz5tTzXJvw681W_DNh0MlCCyjOSI2NCaGq8l1bvssBgSVmspXHpDH53AB0SOTrem0kzJ11Rwo0ARLdqB5y-1-PftVrrGbPrR6JltWxB1d2KmJAEzrk7EfLao0Ljdy-m7FXDOO_MWrXBRyh9cIfHPmtbXVmnfSm6XGCbxnlKVq6mSoNCWkZj0-DfOQTPfYrjh4IMHGDqG5yxDvkPkOZZ8W07m6cQ_NCYbK4EFS9gDxub7cWTaUm9nFKvG1nJM8M4HhGNIQhSdVn3bTEgbNJjOTZlBt6bKtGpqT03gdtbYPudT49pXBr8SUrDEWlr0_jJeet0T-7RFxlO4BMt6LrWyFodllmsX7w8j0IyPJtkJ61-uhJuAPiGFBl8KTHyzKa9ok3vjAMyCMpEoQI23mr-W3IVihjJMXksZgZ0QcPqF4KssxAPbH4NI4z-meE56vSw0gQ3sKw0vXw9wtvUwDBfyWAZKX-qseosDF4fgzeJtO5dyhQIFdHNmhnjHpKK-vubhRisHuKurXxcq2-6ndYvn1Osvgvrx_7foWSAXDiFdhkjYY=w890-h657-no

Wembee,
Soma vitabu hivi itakudhihirikia kweli kuwa historia ya Tanganyika
ilikuwa bado haijaandikwa.

Hao maprofesa unaowaona hapo chini ndiyo sasa wanaandika historia
ya Mwalimu Nyerere ambayo ndiyo historia ya TANU na historia ya uhuru
wa Tanganyika:

pJtPlESrr4SSp3NCZikCwU38ubnATdBNHMqgOeyqAUiTAq6yChYnNixyA0CB9qkanB5dFzvsBYYpdJ-_Goi0VtbjqEF-Vr-i2TOF1pHqY91Q7nE_cKJ93unrW_s5yBjC1aUoSqRv4BZby4snWjcLxQHM-HfqSsvEhoQfub-WZSnjcG1yjKyaReQ_RfwQ1HnMTrhGhRS2AAA1ntT_5UJOK-fRhVZBELgFsmMiaiIhKZRumzHbG9DsQKVeZx0p1087E1guMIYOI7xQwlH7WqXtIxAcciJGLgNC46chrExR8-1Qnt4lSiO0H-MpejihvnZX7QSSSXunbk9Z7B7g_iUXH6q2iCAIAkoExTrLy6yR0BBYR-WKeTBu4ZG2auWnuwg2QAJLIx4ARIvW0F1OnvhYTBfk7Fi69cUMkEjwvGqGPxUL2nY8IswgPNduvszGOe5pGct7fM73V5r1YU_MlIFxqygJJmmAH1fzlmQXu0xahIx-bHpahYwK02n3C1mQH8VsPyYLdpZVL6CBcHP4GPBZgQ132zSbNn-wrPxCukX0HaBraUC3BQ-xkCUrgYkVjVlDqkxChHXPvFKLtfSsftm4HmsllRkjY5A=w800-h534-no

Prof. Saida Othman na Prof. Issa Shivji aliyekaa chini ni Mwandishi katika mahojiano
kuhusu Mwalimu Nyerere na TANU nyumbani kwa mwandishi.
 
km wewe yangekuwa yanatoka kwenye kichwa chako usingezunguka kwenda kupata soga kwenye majumba yao na wewe ukitumia nyaraka toka sehem mbali mbali km kwa 'ally', dom nk
hata wewe ulichoandika ni secondary,taarifa ambazo zipo!
Hehee anaandika utadhani yeye ndie Karl Max
 
Walianzisha harakati za kupinga kutawaliwa.

Wazee wako jee?
Lini walianzisha kupinga kutawaliwa au kudai uhuru hao wazee wako?

Mambo ya kupinga kutawaliwa na kudai uhuru aliasisi Julius Nyerere aliporejea toka masomoni na kuanzisha TANU, huko nyuma wazee wako walikuwa ni walevi wakiratibu mambo ya ubwabwa na biriani tu..
 
Back
Top Bottom