Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Amina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP wapendwa wetu!
Pumzikeni kwa amani wapendwa wetu,mbele yetu nyuma yenu.Inasikitisha sana.
Thanks kwa kutukumbusha na cha ajabu mpaka leo hakuna aliyewajibishwa na ajali ile,I hope one day watakuja kuulizwa maswali why ile ajali ilitokea na kwa PM wa wakati ule why alichelewa mno kuomba msaada wa kimataifa wakati ajali hii inatokea alikuwa SA ,WHY ALICHELEWA KUWAOMBA WAJE WATUSAIDIE?maana walipokuja ilikuwa imeshakuwa too late,why iliamuliwa meli itobolewe pale wakati kulikuwa na uwezekano wa kuvutwa kuja kwenye maji yenye kina kifupi?whats happened kwa kikosi chetu cha polisi maji pale Mwanza au Bukoba?why hatukuwaomba wenzetu wa Kenya pale Kisumu kuja kusaidia kama uwezo wetu ulikuwa mdogo(au ni EGO zetu)hata hii picha ilipigwa na mpiga picha kutoka Kisumu!!!means tungekuwa hatuna hata picha moja ya ukumbusho wa kuzama kwa meli hii.ninaamini one day HAKI ya waliopoteza maisha kwenye ajali hii itajibiwa.
Very sadThanks kwa kutukumbusha na cha ajabu mpaka leo hakuna aliyewajibishwa na ajali ile,I hope one day watakuja kuulizwa maswali why ile ajali ilitokea na kwa PM wa wakati ule why alichelewa mno kuomba msaada wa kimataifa wakati ajali hii inatokea alikuwa SA ,WHY ALICHELEWA KUWAOMBA WAJE WATUSAIDIE?maana walipokuja ilikuwa imeshakuwa too late,why iliamuliwa meli itobolewe pale wakati kulikuwa na uwezekano wa kuvutwa kuja kwenye maji yenye kina kifupi?whats happened kwa kikosi chetu cha polisi maji pale Mwanza au Bukoba?why hatukuwaomba wenzetu wa Kenya pale Kisumu kuja kusaidia kama uwezo wetu ulikuwa mdogo(au ni EGO zetu)hata hii picha ilipigwa na mpiga picha kutoka Kisumu!!!means tungekuwa hatuna hata picha moja ya ukumbusho wa kuzama kwa meli hii.ninaamini one day HAKI ya waliopoteza maisha kwenye ajali hii itajibiwa.
ebu ongeza nyama mkuu nani huyo aliyetoboa meli?, isiwe ni yale niliyowahi simuliwa kuwa kuna uongozi mmoja wa awamu zilozopita ulikuwa uongozi wa wala nyama na wanyonya damu na walikuwa watu wa makafaraThanks kwa kutukumbusha na cha ajabu mpaka leo hakuna aliyewajibishwa na ajali ile,I hope one day watakuja kuulizwa maswali why ile ajali ilitokea na kwa PM wa wakati ule why alichelewa mno kuomba msaada wa kimataifa wakati ajali hii inatokea alikuwa SA ,WHY ALICHELEWA KUWAOMBA WAJE WATUSAIDIE?maana walipokuja ilikuwa imeshakuwa too late,why iliamuliwa meli itobolewe pale wakati kulikuwa na uwezekano wa kuvutwa kuja kwenye maji yenye kina kifupi?whats happened kwa kikosi chetu cha polisi maji pale Mwanza au Bukoba?why hatukuwaomba wenzetu wa Kenya pale Kisumu kuja kusaidia kama uwezo wetu ulikuwa mdogo(au ni EGO zetu)hata hii picha ilipigwa na mpiga picha kutoka Kisumu!!!means tungekuwa hatuna hata picha moja ya ukumbusho wa kuzama kwa meli hii.ninaamini one day HAKI ya waliopoteza maisha kwenye ajali hii itajibiwa.
aminaLeo ni mwaka wa 23 tangu ndugu zetu mamia walipo tutoka kwa kuzama kwenye ziwa Victoria wakiwa ndani ya meli ya mv Bukoba mwaka 1996
Naomba tuwakumbuke angalau kwa kusema Amina.
View attachment 1103466
Inasikitisha Sana, dada yangu alizikwa pale, maana hata maiti yake hatukuipata!Hakika inasikitisha hasa ukifika pele mwanza kwenye makaburi ya pamoja unajikuta unatokwa na machozi tu
Subiri kidogo ninafanya utafiti kuhusiana na ajali hii pamoja na zingine ili our next generations waje wajue ukweli upo wapi kwa kuwa na two side of storyebu ongeza nyama mkuu nani huyo aliyetoboa meli?, isiwe ni yale niliyowahi simuliwa kuwa kuna uongozi mmoja wa awamu zilozopita ulikuwa uongozi wa wala nyama na wanyonya damu na walikuwa watu wa makafara
Inasikitisha Sana, dada yangu alizikwa pale, maana hata maiti yake hatukuipata!
Nakumbuka taarifa ya habari dtv ilisomwa na betty mkwasa akiwa kavaa mavazi meusi.