Kumbukumbu ya Sokoine na ongezeko la deni la Taifa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza miaka 40 toka kuondoka duniani.

Maswali kichwani mwangu ni mengi, hasa yanayotokana na umaskini wetu unaotegemea mikopo kutoka nchi za nje ili kupeleka huduma kwa wananchi, kipato kidogo kwa watumishi wa umma, na ukosefu wa huduma kwa wananchi wa kipato cha chini.

Swali #1: Serikali imetumia kiasi gani cha pesa kufanukisha kumbukumbu hii?
Swali #2: Ni viongozi wangapi/wa ngazi zipi wanahitaji kufanyiwa kumbukumbu za kitaifa kama hizi?
Swali #3: Jambo hili ni la kikatiba, kisiasa au kijamii tu?
Swali#4: Pesa ya kufanikisha kumbukumbu kama hizi ni kwamujibu wa bajeti?
swali #5: Fursa zinazopelekwa na serikali (kodi zetu) kwenye jamii ya viongozi wanaokumbukwa kwa njia zitafikaje kwenye jamii ambazo hazina/hazikuwa na viongozi wa aina hii?

Tunafungua boksi ambalo tutashindwa kulifunga kama lilivyokuwa (presidency). Tutagawika, tutarudisha siasa na chaguzi za kikabila, kidini na kikanda polepole kwa makusudi au kwa bahati mbaya, kwakujua au kutokujua.

Kwanini pesa hizi zisipelekwe kutatua kero za watanzania?
 
Kufanya memorial za aina hii serikali iache iwe mwisho mwaka huu..viongozi wote waliopita majina yao yametumika kuitwa taasisi mbali mbali km vyuo vikuu, shule, hospital nk..serikali wanashindwa nini kuandaa kumbukumbu hizo kupitia taasisi zenye majina kwa kila kiongozi husika?

Mfano hayati Sokoine..SUA pamoja na familia ya muhusika waandae memorial kwa utaratibu wa kawaida kabisa tena kwa gharama ndogo kuliko kustage memorial kitaifa na unatumia pesa nyingi pasina sababu..

Hivi ikifikia kuna viongozi zaidi ya 50 wa kufanyia memorial wataweza? si itakuwa sawa na ujinga..pili, serikali iache kusumbua wajane wa viongozi wenye umri mkubwa..wao kwa mfano mama zao wenye umri above 70 wanaweza kuwa wanawafanyia hivi?

Unambeba kumpeleka kwenye mikusanyiko ya watu bila kujali afya yao kwa kusudi gani hasa..mtu akifikisha umri above 70 anahitaji sana privacy..tuwaheshimu wamama hawa, walishafanya sehemu yao kwa taifa na tuliwashukuru na tunawajali basi inatosha! Stop that pse!
 
wanawatumia kwenye kampeni zao kama rushwa?
 
Unakwenda kukopa nje ya nchi ili kupata chenchi ya kuendesha kumbukumbu za aina hii, jamani bado hatujajitambua. Wakopeshaji wanatuonaje?
 
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza miaka 40 toka kuondoka duniani.

Maswali kichwani mwangu ni mengi, hasa yanayotokana na umaskini wetu unaotegemea mikopo kutoka nchi za nje ili kupeleka huduma kwa wananchi, kipato kidogo kwa watumishi wa umma, na ukosefu wa huduma kwa wananchi wa kipato cha chini.

Swali #1: Serikali imetumia kiasi gani cha pesa kufanukisha kumbukumbu hii?
Swali #2: Ni viongozi wangapi/wa ngazi zipi wanahitaji kufanyiwa kumbukumbu za kitaifa kama hizi?
Swali #3: Jambo hili ni la kikatiba, kisiasa au kijamii tu?
Swali#4: Pesa ya kufanikisha kumbukumbu kama hizi ni kwamujibu wa bajeti?
swali #5: Fursa zinazopelekwa na serikali (kodi zetu) kwenye jamii ya viongozi wanaokumbukwa kwa njia zitafikaje kwenye jamii ambazo hazina/hazikuwa na viongozi wa aina hii?

Tunafungua boksi ambalo tutashindwa kulifunga kama lilivyokuwa (presidency). Tutagawika, tutarudisha siasa na chaguzi za kikabila, kidini na kikanda polepole kwa makusudi au kwa bahati mbaya, kwakujua au kutokujua.

Kwanini pesa hizi zisipelekwe kutatua kero za watanzania?
hii kweli kavulata dah 🤣

uwazaji wa namna hii kuna kutoboa kweli 🐒
 
Tumechelewa sana, mambo haya yalituchelewesha sana, lazima tukimbie kwelikweli, tunahitaji kuelekeza kila senti yetu kwenye vipaumbele. Kama kumbukumbu ile imewapatia Monduli Chuo cha veta, Bwawa la maji na mambo mengine, je, kule kilindi, Korogwe, Kondoa na kwingine ambako kuna shida sana lakini hakuna kumbukumbu ya vile watafikiwaje na fursa kama hizo?
 
Unakwenda kukopa nje ya nchi ili kupata chenchi ya kuendesha kumbukumbu za aina hii, jamani bado hatujajitambua. Wakopeshaji wanatuonaje?
wakati mwingine matukio ya kulazimisha km haya ni avenue za kuiba..!
 
Huu ni ule wakati wa kutafuta fedha ya kampeni majimboni na kwingineko, mama anaweza kushauliwa vibaya na wapiga deal
 
Back
Top Bottom