Kumbukumbu za Majumba ya Sinema Jijini Dar es Salaam

Ilipotoka movie la cyborg nakumbuka watu tulienda kubanana kuicheki
Sema pale drive in kwa nje cinema bubu shuguli
Ilikuwa syo ndogo,kila mtu anajuaa,wakalimani wapo wa kutoshaaa

Ova
Umesahau tulivybanana empire na empresss kwa 'Endless Love' na bibie Brooke Shields na 'Three the Hard Way' ya Akina Jim Kelly, Jim Brown na Fred Williamson, maniga watupu! Ilikuwa raha sana!
 
Umesahau tulivybanana empire na emprass kwa 'Endless Love' na bibie Brooke Shields na 'Three the Hard Way' ya Akina Jin Kelly, Jim Brown na Fred Williamson, maniga watupu! Ilikuwa raha sana!
Duh!Fred Williamson

Nlikubali sana movies zake

Ova
 
Umesahau tulivybanana empire na empresss kwa 'Endless Love' na bibie Brooke Shields na 'Three the Hard Way' ya Akina Jim Kelly, Jim Brown na Fred Williamson, maniga watupu! Ilikuwa raha sana!
Bila kusahau pale Empire,ile movie matata sana WAR BUS.....na Break Dance....Disco Dancer(mithun huyu..kihindi)looo kipindi nchi ina heshima na adabu
 
Na movie hz zilikuwa na wapenzi sana

Enzi hizo umri mdg lkn unakesha mpaka usiku

Mnene

Ova
Yes mkuu nakumbuka mwaka fulani...usiku wa kuamkia uchaguzi mkuu wa nchi,Vigunge wa Lumumba wakaamua ile movie ya Vita vya Kagera ionyeshwe pale Drive Inn...weee ilikua propaganda kubwa mno yenye mafanikio makubwa,kila mara sura ya Brig.Mayunga aka mti mkavu ikitokea kwenye screen watu wanashangilia kupita kiasi,Brig. Mayunga ile vita ndio alikua main attraction. Uchaguzi mkuu asubuhi yake ni ushindi mkubwa mno kwa ....,yeah maisha yenye heshima na adabu kubwa kipindi hicho.
 
Umeisahau ODEON hii ilikuwa Kisutu, sana picha za kihindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…