Kumbukumbu za Mfanyakazi: Pale Kikwete alipowashushia neema Wafanyakazi

Kumbukumbu za Mfanyakazi: Pale Kikwete alipowashushia neema Wafanyakazi

Hata mm naonaga sawa tu MWAMBA WA CHATO anavotunyoosha! Enzi za JK wananchi tulijigeuza JINI KISIRANI! Kidogo utaskia MGOMO WA MADAKTARI.... haujakaa sawa utaskia na DARUSO wametangaza MGOMO... ukirudi huku unaskia CHAHEMA wanaandamana.... Huyu twendeni naye tu ili tujifunze kuwaheshimu Viongozi wanyenyekevu wenye upole!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukizuia hayo yote si kwamba ndiyo paradiso tuitakayo !!. Dhibiti yote mwisho wa siku Tanganyika iko nyuma kwa kila nyanja.

Odhis *
 
Back
Top Bottom