Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #2,461
Magharibi mwa Bonde la Nile nchini Misri ni jangwa lisilo na maji
Ina bonde waliloliita (Bonde la Nyangumi) kwa sababu ya mifupa ya nyangumi wenye ndevu wanaoogelea mahali hapa ilipokuwa bahari miaka mingi iliyopita.
Eneo hilo limeainishwa na UNESCO kuwa ni Eneo la Urithi wa Dunia na unapolitembelea utapata mifupa kamili ya nyangumi katikati ya jangwa....