Kumbukumbu zangu: Jihad John mkataji vichwa wa Islamic State

Aisee!
 
Kuna Runani alichomwa Moto kwenye Cage..sijui Kama alihusika huyu Jihadi John
Huyu jamaa alitisha dunia nzima..alikuwa anakata kichwa anakiweka juu ya mwili..
 
Nilikuwa najua ni kweli haya mambo na kuona ni ukatili wa hali ya juu
Kumbeeeee
Mpaka nilipojua kuwa ni propaganda zao na video nyingi ziliwekwa na ukweli ukawa nje nje baada ya kuona jinsi wanavyotengeneza watu wanakatwa shingo
Tata’s hali tafuta hizo video za mirija ya damu (vimto) inavyowekwa shingoni
 
Ebu onesha mkuu tuone nasi.
 
I see..unamaanisha wale waandishi waliochinjwa wapo Ibiza wanakula bata
 
Ebu onesha mkuu tuone nasi.

Niliziangalia kitambo wakati walikuwa wakizirusha sana mpaka kwenye news huku wakionyesha kidogo sana na kusema zinatisha
Ila wameandika mengi
Hata Bank ya HSBC wafanyakazi wake wali mock mauwaji kama hayo
Video zimeondolewa nyingi ila baadhi zipo Youtube
Yote haya ni mbinu za USA kutaka dunia ichukie uislam na wapate njia za kuingia nchi zenye Mafuta ambazo ndio hizo za Kiislam
Na wao ndio walikuwa wanatoa hela ili fake video zisambae na kuaminisha watu




 
I see..unamaanisha wale waandishi waliochinjwa wapo Ibiza wanakula bata

Na walifanikiwa haswa na propaganda zao
Wakaanza kuvamia nchi nyingi zenye mafuta

Hebu niambie walikwenda Afghan kutafuta nini baada ya Sep 11
Na je mbona kabla ya uvamizi dhalimu wa Iraq kulikuwa hakuna Alqhaida wala vikundi vya Ugaidi mpaka walipovamia
Na Afghan na kwingine hivyo hivyo baadae ndio haya makundi yakajitokeza baada ya majeshi ya America kuvamia

Video nyingi zilikuwa fake ili watu waksirike na kuchukia
Fuatilia kwa kusoma sana utaelewa
Unaweza kuwachukia watu kwa kutangaziwa tu
 
Naam,,,, Hii ndio dunia ruka urukavyo fanya uwezavyo, ifanye dunia kama yako, tetea sana kile unacho kijua ndio kweli! kwa mauaji ya mwanadamu mwenzako, ila tambua kipimo kile unacho wapimia wenzako,nawe utapimiwa hicho hicho, na mwisho wa yote kaburi [emoji3545]ndio mwisho wa jeuli yote hiyo,.
 
Duuh!Hatari sana mkuu.Hii dunia ukiishi kijuu juu tu,unaweza jichukia hata wewe mwenyewe.
 
Hivi jaman kwa Akil ya kawaida ukitaka kujipendekeza Kwa watu ili uwaibie si utawasifia vitu vyao ili wakukaribishe au?
Kama Marekani anataka mafuta Kwa nchi za kiislam si angeusifia Uislam ili asipate Shida kuingia...mbona Madrasa zinatutoa ufahamu Hivi?
 
Jamaa alikuwa left handed, by the time idea hizo zilivyokuwa zinauvuruga uislamu I was blindly admiring that dude.

He inspired lots of British youngsters to join the race by the name of Jihad.
Mkuu nawewe kidogo uingie jihad kukata watu vichwa?
 

Kuelewa haya mambo inatakiwa uwe nao au ufuatilie sana
Ila ukiwa wa kuchambua na ukaweka na udini utapotea sana na utakuwa na Chuki na jirani wa kiislam ambae hata kuku hajawahi kukuibia
Mimi nimeishi mashariki ya kati miaka, na vita ya Iran na Iraq nilikuwepo na baadae uvamizi wa Saddam huko Kuwait nilikuwepo pia
Na mpaka dunia iliposhambulia majeshi ya Iraq wote hao ni maslahi ya mafuta

Majeshi ya Iraq yalisalimu Amri na kulala chini lakini bado walitandikwa na silaha kuteketezwa pia

Unajua kuwa majengo yote makubwa kuanzia mahoteli mpaka majengo ya kifalme na barabara nyingi mpaka madaraja yalishambuliwa na majeshi ya Marekani na UK Na allied wengine kisa tu wapate tender za kujenga upya Kuwait maana Sheikh Jabir RIP
Alisema hata wakichoma Kuwait yote ataijenga kwa hela zake cash

Sio hadithi bali nilikuwa huko na kushuhudia yote haya

Sasa kama unafata cheap propaganda ni sawa ila ushuhuda ninao nimeishi Baghdad, Kuwait, Jeddah na nchi nyingine za huko

Kabla ya 2001 Afghan kulikuwa hakuna Alghaida ila walijitokeza baada ya USA kupeleka majeshi
Wao walikuwa na maisha yao ila biashara ya poppy ndio ikawa Dili kwa wazungu

Iraq kabla ya uvamizi kulikuwa hakuna alghaida wala Isis ila walikuja baadae
Najua nimeandika mengi ila ukweli ni kwamba popote kwenye maslahi mzungu anapeleka pua yake huko

Sisi kwa huruma zetu tulisaidia mataifa mengi kujikomboa na mpaka sasa tunaenda mpaka Congo kusaidia na tumefanya hivyo sio kwa ajili ya kuiba rasilimali zao

Ila kuna mataifa Africa sasa wanafuata Nyayo za wazungu wakienda mahali wanapiga kambi na kuanza kuiba rasilimali
Tena wengine walienda mpaka kuiba mkaa UPO HAPO
Na wengine wanajitutumua kama Taifa kuuubwaa nao wameanza ila sisi tutaendelea kuwa waungwana kwa misaada ila siku zinaenda wakiwa na nguvu kutuzidi itabidi na sisi tuwe hivyo maybe just maybe

Naomba umsome Dick Cheney enzi za Iraq na biashara zake
 
Ningekuwa na uwezo ningefuta uislamu duniani. yani kama huyo mpuuzi anasoma na kulelewa na wanaowaita makafiri halafu anakuja kuwaua. Kweli shetani hana shukurani
 
Angalia Apo mwanzo kabisa , Hiyo Adhabu ya kurushwa bondeni - ukatue kwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…