Kumchezesha muhuni Morrison, benchi la Yanga lilaaniwiwe kabisa

Kumchezesha muhuni Morrison, benchi la Yanga lilaaniwiwe kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hakuna shaka lawama hizi ziwaendee benchi la ufundi kwa ushenzi waliofanya kumchezesha huyu mhuni Morrison. Wale wanaomwelewa alichokifanya hata mwezi hana sidhan alistahili kuvaa jezi za yanga tena.

Ushauri
Hilo liwe funzo
 
Nyie washabiki ndio mliwafanya benchi la yanga wamchezeshe kwani mlimuamini ni mchezaji pekee anayeweza kuifunga Simba
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Aliwasaidia sana tarehe 8 leo mnamtukana! wekeni akiba ya maneno
 
Yanga hawajielewi wanataka nini........
 
Yanga wamteme morison aje upande wenyeneema na mafanikio.
 
Asingecheza na mgepigwa hivi pia.
Bado habari ingekuwa kinyume tena kwanini hakucheza.
 
Yanga kosa walilofanya ni kuamini kuwa mechi ya watani huwa haitabiriki huku wakiwa na timu mbovu! Timu makini huwez kuokoteza wachezaji inakuwa kama ndondo cup,tuliwaambia hii kauli ya dabi haitabiriki ipo siku wataumbuka na kweli yametimia
 
Ndevu ya karantiniiii
255768473319_status_d8dd94cd14fd47b5a295c9d623dc786f.jpg
 
Back
Top Bottom