Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Utekaji nyara ni kitendo cha kumchukua mtu na kumpeleka sehemu flani isiyojulikana, hivyo ni wazi kusema Lissu ametekwa.
Kwa kitendo cha kuchukuliwa kwa Lissu gerezani na kupelekwa sehemu isiyojulikana ni utekaji nyara na kina kiuka haki za msingi za kibinadamu.
Soma Pia: Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Mtuhumiwa anapokuwa mikononi mwa vyombo vya usalama hatakiwi kupelekwa sehemu zisizo julikana kama vile majambazi wanavyo teka watu, hali hii inatia wasi wasi dhidi ya mwenendo wa vyombo vya usalama na inapoteza imani ya wananchi kwa vyombo hivyo.