Kumchungulia mkeo msalani

Kumchungulia mkeo msalani

hii mambo inatisha bwana!sasa hivi dem ukimuaprochi ukiona anakubali gemu kirahisi rahisi STUKA!...huenda ni ISRAELI(MTOA-ROHO),,,,😀
dah! hii hali inabidi iingizwe kwenye mswada wa neksti paliamenti! azawaizi kimewaka! lakini geoff wewe ukifa isikusumbue sana invizibo atasmamia mazishi yako na mc nguli yupo inkesi hakufa yeye mwanzo.
 
greti thinka unaonekana una maPHD kibao. yaani matatizo yametokea toilet lakini wewe umeyagundua bedroom.
kinadada watakuja na hasira veri soon. hawa kinadada wa hapa hawapendagi konklusheni ya wao kubeba lawama bat yowa data iz veri truu.

Yawezekana kweli?! au na wewe umekuja na konkulusheni!
Hebu fikiria, nikwanini usimwambie mwenza wako unachotaka na kitakachokuridhisha kuliko kwenda kumchungulia ******? mimi ninafikiri hapa swala muhimu ni kukosekana kwa mawasiliano,watu wawili walioamua kushare miili yao inabidi wazungumze! Ni katika mazungumzo unaweza kumjua mwenzako na kufanya kile anachotaka, lakini hawa wote kila mtu hajiamini mbele ya mwenzake na ndio maana mwanamke anajifunukafunika na mwanaume anaishia kuchungulia. au labda mwanaume kila wakati anayakosoa maumbile ya mwanamke na mwanamke anakosa uhuru wa kukaa 'wazi' kwa mwenzake. kwa ujumla wana tatizo. jamani tuanze kuzungumza,tuambiane ukweli,na kama unaona mwenzako ana aibu jaribu kumtoa aibu akuone rafiki,zaidi ya yote usikosoe maumbile ambayo hakuna mtu mwenye uwezo wa kuyarekebisha.
 
dah! hii hali inabidi iingizwe kwenye mswada wa neksti paliamenti! azawaizi kimewaka! lakini geoff wewe ukifa isikusumbue sana invizibo atasmamia mazishi yako na mc nguli yupo inkesi hakufa yeye mwanzo.
kwasasa haitabiriki ni mwanaume gani ataanza kufa!
ninachojua ni kwamba THE MORE YOU DO IT(hata kama ni mkeo),THE MORE RISKS OF DYING YOU ARE FACING!....hii mbinu ya kuuana ni noma!bora ufe kwa ukimwi watu wanaweza hisi labda ni BLOOD TRANSFUSION!
.....KUFIA KIUNONI NI ISHU NYINGINE!wanawake mtusamehe bure jamani
 
Yawezekana kweli?! au na wewe umekuja na konkulusheni!
Hebu fikiria, nikwanini usimwambie mwenza wako unachotaka na kitakachokuridhisha kuliko kwenda kumchungulia ******? mimi ninafikiri hapa swala muhimu ni kukosekana kwa mawasiliano,watu wawili walioamua kushare miili yao inabidi wazungumze! Ni katika mazungumzo unaweza kumjua mwenzako na kufanya kile anachotaka, lakini hawa wote kila mtu hajiamini mbele ya mwenzake na ndio maana mwanamke anajifunukafunika na mwanaume anaishia kuchungulia. au labda mwanaume kila wakati anayakosoa maumbile ya mwanamke na mwanamke anakosa uhuru wa kukaa 'wazi' kwa mwenzake. kwa ujumla wana tatizo. jamani tuanze kuzungumza,tuambiane ukweli,na kama unaona mwenzako ana aibu jaribu kumtoa aibu akuone rafiki,zaidi ya yote usikosoe maumbile ambayo hakuna mtu mwenye uwezo wa kuyarekebisha.
gudi edivaizi!
 
kwasasa haitabiriki ni mwanaume gani ataanza kufa!
ninachojua ni kwamba THE MORE YOU DO IT(hata kama ni mkeo),THE MORE RISKS OF DYING YOU ARE FACING!....hii mbinu ya kuuana ni noma!bora ufe kwa ukimwi watu wanaweza hisi labda ni BLOOD TRANSFUSION!
.....KUFIA KIUNONI NI ISHU NYINGINE!wanawake mtusamehe bure jamani
halaf noma ni haya magazeti kama enzi za mwalim habari unazipata kwa cheameni tu hakuna jf wala michuzi. lakini leo ukizimia tu jf wanaandika ushakufa ! halaf wanakuchambua .dah hili tekonolojia limeharibu mtaji kweli.
 
Huu ni upotevu wa maadili na pia naweza kusema ni matatizoau athari za kisaikolojia kwani ukiwa kama mtu mzima, mkeo mmeona ili muweze kubarikiwa mambo yoote ya ndani. Ni kitu gani ambacho wewe kama mume hujui kuhusu mwanamke?Ukizingatia wanawake wote wako sawa kama mkeo kimaumbile. Huyu anapaswa akapimwe na wataalamu wa saikolojia.
 
The Following User Says Thank You to Geoff For This Useful Post: FirstLady1 (Today)

DAH,niliimisi kweli hii:
 
hapo inabidi zile staili za mauwaji aka mc lema staili uziepuke azawaizi mama mtoto na kazaigoti katatangulia ahera.hapa inabidi utumie staili ya "chura kachoka" tu.
foo moo infomesheni, naandaa sredi spesheli kuhusiana na hili.

Eti? SUBIRI NITAFAKARI KWANZA!!!
 
kwasasa haitabiriki ni mwanaume gani ataanza kufa!
ninachojua ni kwamba THE MORE YOU DO IT(hata kama ni mkeo),THE MORE RISKS OF DYING YOU ARE FACING!....hii mbinu ya kuuana ni noma!bora ufe kwa ukimwi watu wanaweza hisi labda ni BLOOD TRANSFUSION!
.....KUFIA KIUNONI NI ISHU NYINGINE!wanawake mtusamehe bure jamani

Lini umeanza kusali kwa Kakobe? Hiyo kwangu mimi ni heshima!
 
Hakya nani ndo maana kuna mshkaji aliwahi kulalamika kwamba jukwaa hili linateka majukwaa mengi. hebu kachekini nyomi ya huku kulinganisha na majukwaa mengine.
 
vipi gesti kulikuwa na foleni?😀

Haka kabaridi, vyumba vilijaa. Nikalazimika kumsubiri Fidel anipasishie rum lake! Foleni si barabarani tu kiongozi!
 
Hey, ni hii mvua ndo imesababisha umekataliwa kutoka mapema au gest zimejaa?

Gesti za Kinondoni si unazijua? Usipofanya booking mapema utakumbana na foleni!
 
Haka kabaridi, vyumba vilijaa. Nikalazimika kumsubiri Fidel anipasishie rum lake! Foleni si barabarani tu kiongozi!
Itabidi mjikague wangapi wameingia na wangapi wametoka salama maana mmmmmmh! mambo ni mengi.
 
Back
Top Bottom