Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
- #161
Hapana mkuuUmepakwa vaseline nini? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuuUmepakwa vaseline nini? 😂
Sawa, nakubaliana nawe kwa 65%Hapana mkuu
Je, mwanaume akiwa ni ndugu, jamaa au rafiki anayejua ni mkeo?Mimi kwanza huwa sigombani na mwanaume mwezangu kisa mwanamke never kwa sababu mwanamke anajua ni mke wa mtu anatongozwa ni uamzi wake kukubali au kukataa huwa nawashanga a mtu unapigana na mwanaume mwenzako kisa mwanamke
Kwahiyo hizo 35 ulizobakiza ni za kuonesha nimepakwa vest line?Sawa, nakubaliana nawe kwa 65%
Hapana ndugu, ni bakaa ya uono wa ghadhabu kwa mwanaume aliyevamia ndoa ya watu kwa kujua na kukusudiaKwahiyo hizo 35 ulizobakiza ni za kuonesha nimepakwa vest line?
SawaHapana ndugu, ni bakaa ya uono wa ghadhabu kwa mwanaume aliyevamia ndoa ya watu kwa kujua na kukusudia
Samahani pia, yaonyesha swali langu lilikujeruhi kihisiaSawa
Hapana mkuu, mambo mengi humu nachukulia ni utani tu, kwa sababu karibu asilimia 50 humu ni utani tu.Samahani pia, yaonyesha swali langu lilikujeruhi kihisia
Oooh, ahsanteH
Hapana mkuu, mambo mengi humu nachukulia ni utani tu, kwa sababu karibu asilimia 50 humu ni utani tu.
Nje ya mada😂acha nikatongoze
As long as I can pay my bills your opinion is not needed 😹😹Nje ya mada
Kama ndo wewe huyo kwenye picha nahisi ni pisi mbovu mnoo kuwahi kutokea dunianii
Anyway natania 😉
Pole kwa yalioyo kukuta na hongera kwa ku move onAsante mkuu.
1. sikuandika hapa ili kuomba ushauri.
2. tangu nimeanza kufanya mapenzi sijawahi kufanya mapenzi na mke wa mtu.
3. Nilishawahi kufanyiwa hivi Tuu yiaz agoo, msimamo wangu ukibaki hivi nilivoandika.
Mkuu fungua uzi basi wa kisa hiki unaweza kuwa fundisho kwa watu wengi sanaNishawahi kutombewa mke mkuu na sikusumbuka kudili na mwanaume mwenzangu.
Nilijiuliza tu nitadili na wanaume wangapi ambao mke wangu atawapa lango lake kwa hiari yake! Jibu nikapata ni wengi.. ngoja nikomee hapa.
Ni muda mkuu, bado moyo wangu haujawa huru kuelezea kwa kina juu ya hili jambo.Mkuu fungua uzi basi wa kisa hiki unaweza kuwa fundisho kwa watu wengi sana
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Take your time Tajiri Sinabay mpaka utakapokuwa huru.Ni muda mkuu, bado moyo wangu haujawa huru kuelezea kwa kina juu ya hili jambo.
Kweli una haraka 😁😁😁! Ni kama vile ulikuwa unakimbia, ghafla ukasimama ukatoa tangazo lako kwa sauti kubwa, kisha ukaendelea kukimbia!!! Hata hivyo ni ujumbe mzuri sana!Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
🤣🤣Nishawahi kutombewa mke mkuu na sikusumbuka kudili na mwanaume mwenzangu.
Nilijiuliza tu nitadili na wanaume wangapi ambao mke wangu atawapa lango lake kwa hiari yake! Jibu nikapata ni wengi.. ngoja nikomee hapa.
Mapenzi/ndoa ni mchezo flani wa kutumia akili kidogo tu kama utaziacha mlangoni hisia wakati wa kuingia.
hahaha love is blindMapenzi/ndoa ni mchezo flani wa kutumia akili kidogo tu kama utaziacha mlangoni hisia wakati wa kuingia.