Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Mimi kwanza huwa sigombani na mwanaume mwezangu kisa mwanamke never kwa sababu mwanamke anajua ni mke wa mtu anatongozwa ni uamzi wake kukubali au kukataa huwa nawashanga a mtu unapigana na mwanaume mwenzako kisa mwanamke
Je, mwanaume akiwa ni ndugu, jamaa au rafiki anayejua ni mkeo?
 
Asante mkuu.
1. sikuandika hapa ili kuomba ushauri.

2. tangu nimeanza kufanya mapenzi sijawahi kufanya mapenzi na mke wa mtu.

3. Nilishawahi kufanyiwa hivi Tuu yiaz agoo, msimamo wangu ukibaki hivi nilivoandika.
Pole kwa yalioyo kukuta na hongera kwa ku move on

Ila kaa ukijua mwanamke ni mali ya mtu either wazazi wake au mumewe na kuna sheria zimewekwa jinsi ya kumpata huyu mwanamke ili muweze kufanya tendo kutoka kwa wazazi wake

Kama mwanamke huyo hajaolewa dhamana ziko kwa wazazi wake maana ukimshawishi ukatembea nae wazazi wake watakushughulikia kisheria ya asili hadi pale utakapo jimilikisha kisheria

Hivyo hivyo kama umemshawishi mke wa mtu, mwenye huyo mke atakushughulikia kisheria maana anammiliki huyo mwanamke kisheria

Mind you, mwanamke ni kiumbe kinachomilikiwa either na wazazi wake au na mume aliemuoa hata kama unasema ana akili timamu kwamba kakubali hiyo haikupi mamlaka maana umetumia ushawishi/mtongozo kwahiyo hata kama hajaolewa ila ukimtongoza ukapiga bila wazazi wake kujua wanaweza wakakufanya chochote pia the same applies to mumewe
 
Nishawahi kutombewa mke mkuu na sikusumbuka kudili na mwanaume mwenzangu.
Nilijiuliza tu nitadili na wanaume wangapi ambao mke wangu atawapa lango lake kwa hiari yake! Jibu nikapata ni wengi.. ngoja nikomee hapa.
Mkuu fungua uzi basi wa kisa hiki unaweza kuwa fundisho kwa watu wengi sana
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.

Tatizo sio hilo.

Tatizo ni kiwa… Kuna wanaume baadhi wanajua kila kitu huyo mwanamke kuwa ni mke wa mtu na bado anajifanya KING'ANG'ANIZI kwa mke wa mtu.

Kwa7bu ni mke wa mtu, wanajua kuwa kuna gharama watazikwepa.
Kama kumlipia KODI.
Kumgharamia.
Kodi ya MEZA nk.

Kwo huo wepesi wanao utaka na ndo huwa una watokea puani… kama KUULIWA, KUPIGWA, KULAWITIWA nk.
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Kweli una haraka 😁😁😁! Ni kama vile ulikuwa unakimbia, ghafla ukasimama ukatoa tangazo lako kwa sauti kubwa, kisha ukaendelea kukimbia!!! Hata hivyo ni ujumbe mzuri sana!
 
Back
Top Bottom