Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo manzi wako awe na roho ngumu kama yangu sababu namfumaniaga huyo jamaa ujue mara kwa mara
Woiiiiii " nikiwa mkubwa Mungu anijaalie na mimi nipate manzi mwenye upendo kama wako .

.@wick mzee baba huyu mtoto umempa nini !!? Mbona amekuganda kama kupe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo manzi wako awe na roho ngumu kama yangu sababu namfumaniaga huyo jamaa ujue mara kwa mara
Aisee ... Wick wee mzee weee

Nitamleta kwako umfunde kwanza " ili hata akinikuta nachepuka ... Aniambie haya baby inatosha sasa turudi zetu nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…