Asante sana " BarikiwaThanks hearly, salamu kwako pia, na wote wenye charming and a good heart in here.
Hebu fanya kama umekosea kuweka picha hivi😉..Hahaha " daah ila kweli umenichoka .... eti kwa jinsi mnavyo nijua nikienda kwenye jukwaa la intro tu ..nikirudi lazima nirudi na m-bebez dah !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo basi haina haja!!..Nataka kutaja vikubwa tu
Sisi wajamaa tunasema passi utapata ila sio utakavyo!..
Haha ... Mkuu vipi lakini " Mambo mengine yana kwenda vyema " !?Sisi wajamaa tunasema passi utapata ila sio utakavyo!..
Unatakiwa ulilete mwenyewe. Unakiaibisha chama. Punguza uzembe kazini.Hajalifikisha tu babu? Mbona nilishamwagiza alete
😥😥😥😥Unatakiwa ulilete mwenyewe. Unakiaibisha chama. Punguza uzembe kazini.
ahsante ndugu salam zimefika,nawe ubarikiwe.
shukrani DukaniSalamu zangu kwa
Mr Miller
Baby doll
Espy
Cut b
Aspirin
Shunie
Manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani Da'VinciMimi ndio naamka etii...
Salam klabu ziende kwa...
●Blaki womani
●Mr Miller my bro
●Bbade my dada
●Wick zee la muvii
● Hearly Broh..
●Chaliifransisco chalii angu ya ela oteee toka mbaude..
●Malcom lumumba zee la senene.
●Na wengineo wengiii Have a siku njema wapendwa