Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Hebu fanya kama umekosea kuweka picha hivi😉..
Hii Hapa ..
FB_IMG_1549272649435.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natuma salamu kwa Deogratius kisandu popote ulipo
Ujumbe, tumekumbuka vituko vyako
 
Mimi ndio naamka etii...
Salam klabu ziende kwa...
●Blaki womani
●Mr Miller my bro
●Bbade my dada
●Wick zee la muvii
● Hearly Broh..
●Chaliifransisco chalii angu ya ela oteee toka mbaude..
●Malcom lumumba zee la senene.
●Na wengineo wengiii Have a siku njema wapendwa
shukrani Da'Vinci
 
Back
Top Bottom