Kumea kwa vituo vingi vya mafuta ni kwa ajili ya kutakatisha fedha zinazotokana na dawa za kulevya na ufisadi wa fedha za umma

Mbona hivi vituo vimeanza kuota wakati wa Magufuli au wenzetu mmeamua kujitoa ufahamu? We need to think beyond.. ni vzr tungepata taarifa za ndani sio hizi blah blah mnazokuja nazo
Huu uzi wa kinafiki angetaja hivyo vituo na Wamiliki wake anaowajua kuwa ni watakatisha fedha

Mwandishi ni Loser mwenye wivu.
 
Hili litakuwa na ukweli, maana kila ukiamka asubuhi kuna site mpya inazungushwa mabati.......zama za kulamba asali hizi.
 
Mbona wametangaza juzi kati kuwa vibali vimezuia ujengaji wa vituo vya mafuta Nchini
 
Mbona hivi vituo vimeanza kuota wakati wa Magufuli au wenzetu mmeamua kujitoa ufahamu? We need to think beyond.. ni vzr tungepata taarifa za ndani sio hizi blah blah mnazokuja nazo
Kwani ungeandika na kumalizia kwa kiswahili ndio ungeonekana sio msomi-uchwara!
 
Tupe mbinu ya kuwadaka bwashee
 
juzi nimeenda chanika aisee[emoji2][emoji2][emoji2]

mpaka nikamuuliza mwenyeji wangu ebana mbona mpaka panapendeza!!inaonekana mna magari mengi sana fasi hii.
 
Ifike mahali tuanze kuweka threads zenye evidence na facts itafanya majadiliano yawe na nguvu.
 
Point namba 2 ni mhim ..upigaji ndo unaosababisha hicho kitu. Sio kweli uchumi umekuwa ndo wakaanza ujenzi la hasha .ukichunguza sana ni wanasiasa
 
Vingi vinamilikiwa na wanasiasa wa CCM wataafu na walioko madarakani
 
Vituo kama vyote haha wengine si wawekeze sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…