Kumekucha Avic Town Wachezaji wanasema kama Aziza Kety atalipwa Mshahara wa Tsh Milioni 25 acheze peke yake

Kumekucha Avic Town Wachezaji wanasema kama Aziza Kety atalipwa Mshahara wa Tsh Milioni 25 acheze peke yake

Wapo busy na Tuzo yao waliotwaa jana ucku
20220722_083236.jpg
 
Kumekuchaaaaaaaa!!!!!

DJ waleteee, wakisindikizwa na wimbo ya Yanga tamuuu.

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
Wewe nu mpuuzi,sunua nzima iko hivyo,wachezaji hawalipwi mshahara sawa
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Back
Top Bottom