Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahahahah!Hiyo sentensi ya mwisho nafikiri ungeipigia mstari na uikoleze!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahahah!Hiyo sentensi ya mwisho nafikiri ungeipigia mstari na uikoleze!
# MWAMBA TUVUSHEMbowe ni kiongozi makini sana. Big up Mwamba.
Haya niliyasema kipindi, sasa yanakwenda kutokea na kwa kuanzia ni James Mbatia anang’olewa Vunjo na Dr. Kimei!. This will mark the end of what was NCCR Mageuzi!.Naunga mkono hoja, Chadema pekee yao hawawezi na haitakuja kutokea wakaweza!. Sisi Tanzania tuna tatizo kubwa la kitu kinachoitwa "Managing The Political Diversity" from both parties, CCM na Wapinzani, hadi ndani ya mihimili Bunge, Serikali na Mahakama.
Kwa muda uliobakia, hata kama Chadema inajua NCCR imenunuliwa na CCM, hivyo itajitenga nao, na Wabunge wote wa CUF wanasubiria tuu Bunge livunjwe watur rasmi ACT Wazalendo, Chadema walipaswa wawavumilie tuu, sometimes its good kumvumilia adui yako ili usiwaudhi wale waliokuja kwako kwasababu ya huyo adui yako. Kura milioni 6 za Lowassa ile 2015 sio za wana Chadema pekee.
Kosa kubwa la Chadema kuelekea 2020 ni kujidhania kwenye kambi ya upinzani, Chadema bado ni determinant, it's not!. Kuendelea 2020, Chadema is a dying horse, hivyo kitendo kama hiki cha kuihodhi kambi rasmi ya upinzani Bungeni, it's like a final kick of a dying horse.
Ili upinzani uweze kuvuna mavuno yoyote ya maana 2020 kwanza lazima Chadema wakubali kugawana himaya yake kwa kukubali ku share na vyama vingine vya upinzani.
Kabla ya Bunge kuvunjwa, Chadema ambacho kwa sasa ndio chama kikuu cha upinzani, kifanye SWOT na PEST analysis kwa Wabunge wake wote, matokeo ya analysis hiyo yakionyesha Mbunge huyu anachaguliwa kama mtu na sio chama, then Chadema ikubali matokeo, wabunge wote wa Chadema watakaojiunga CCM, Chadema ijihesabu hayo majimbo yamepotea unless wana CCM wenyewe ndio waipigie Chadema kura za chuki kutokubali wapinzani waja leo na kusimamishwa kugombea CCM.
Pili wabunge wote wa Chadema watakao hamia vyama vingine, Chadema ikubali to share them na wapinzani wengine kwa kutosimamisha wagombea wengine ili kila jimbo na kila kata mgombea wa CCM apambane na mpinzani mmoja tuu. Ikitokea jimbo lilikuwa Chadema kama Moshi Vijijini na Rombo, wabunge wake wwkahamia NCCR Mageuzi, Chadema ikubali matokeo. Ikisimamisha wagombea wapya, hii itakuwa ni vita vya panzi, furaha ya kunguru, wapinzani wata split kura zao, CCM atayatwaa majimbo ya upinzani kama ameokota dodo chini ya muembe.
Upinzani pamoja na tofauti zao za ndani, lazima wavumiliane by managing diversity kwa kushirikiana hivyo hivyo pamoja na tofauti zao, wasimame united and stand as one against a common enemy, vinginevyo kwa huku bara, tunarudi kuwa nchi ya chama kimoja CCM only and only CCM!.
P
Umakini wake upi? wa fukuza fukuza ? umesababisha UKAWA kubomokaMbowe ni kiongozi makini sana. Big up Mwamba.
Mbowe na Mdee lolote linaweza kutokea. Kushinda au kushindwa lakini sana kushindwa.Haya niliyasema kipindi, sasa yanakwenda kutokea na kwa kuanzia ni James Mbatia anang’olewa Vunjo na Dr. Kimei!. This will mark the end of what was NCCR Mageuzi!.
P
una roho ngumu sana !Mbowe na Mdee lolote linaweza kutokea. Kushinda au kushindwa lakini sana kushindwa.
Wejamaa umerudi eeh!! Msukuma mwenzio kakuzidi umaarufu kapewa Jimbo... sasa unaitabiria mabaya NCCR Mageuzi!! Hivi mfano ikafa mtafaidikaje??Haya niliyasema kipindi, sasa yanakwenda kutokea na kwa kuanzia ni James Mbatia anang’olewa Vunjo na Dr. Kimei!. This will mark the end of what was NCCR Mageuzi!.
P
Inabidi vyama utitiri vife, na vyama uchwara vife ili tubaki na serious opposition.Wejamaa umerudi eeh!! Msukuma mwenzio kakuzidi umaarufu kapewa Jimbo... sasa unaitabiria mabaya NCCR Mageuzi!! Hivi mfano ikafa mtafaidikaje??
Nakuunga mkono kaka Mayalla. Kuna vyama utitiri vya upinzani lakini ni vibaraka wa CCM.Inabidi vyama utitiri vife, na vyama uchwara vife ili tubaki na serious opposition.
P
Ok lakini NCCR mageuzi sio chama uchwara ndugu mwandishi tusikiombee kife!!Inabidi vyama utitiri vife, na vyama uchwara vife ili tubaki na serious opposition.
P