kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Sasa ameamua kumtumia mbatia hata hafahamiki hata na watanzaniaMagufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ameamua kumtumia mbatia hata hafahamiki hata na watanzaniaMagufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
Olekoyiwa na mahembezi nkoyi ogosata ntwe duhu lekaga gwihalaleja na mabole nobe okobiza,ekoboyiMimi ni miongoni mwa wanaoigharimia Chadema
P
Duh...!.R.MKATOLIKI aliposema Mmepiga BOMU Mortuary alafu mnajisifu kuwa Mmeua mlimuelewa?,
Yaani Umemziba mtu mdomo asiongee alafu wewe unaongea kisha unajisifu kuwa umemshinda kwa hoja.....,wakati umemnyima uhuru wa kuongea alichonacho v/s Mahubiri yako kisha wajisifu, ama Unapigana na Bondia aliefungwa Kamba mikono yote alafu wewe uko huru..., unarukaruka na kumpiga makonde akiwa hivyo kifungoni.ALAFU UNAJISIFU KUWA HAKUWEZI.......kisha wajigamba,Duuuuh,
Ama kweli team wafuga chatu ,mli anza na SHETANI na hamuwezi Kumaliza na MUNGU na hamtokujaweza milele. hongereni kwa kumkubali shetani na mambo yake yote.
Wabunge wa ukawa wote ni watumwa wa mbowe, na wanawajibika kwa mbowe sio wananchi! Mbowe nae kama alivyo zito anawajibika kwa mabwana zake mabeberu!
Mlishindwa kusimamia principle kwa kumleta Lowasa mnakuja kusimamia principle kwenye vitu vya kijingaInabidi ujishangae mwenyewe kwa kutoona mantiki ya mabadiliko hayo.
Nadhani kwa aina fulani unataka uonekane kama kituko kwa kutoona maana ya mabadiliko yaliyofanywa.
Hata kama ni siku moja ingekuwa imebaki, kusimamia 'principle' ni mhimu kuliko kitu chochote maishani.
Watu wa aina yako msiokuwa na mnalosimamia ndio mnaowapa watawala kiburi.
Hapa hata magufuli kawapiga bao. Maana kwenye nafasi za uongozi anao hadi waliokuwa upinzani na kugombea uraus kama kina anna mghwira.
Mbowe ye ukitofautiana nae tu ujue out. Hana uvumilivu wa kisiasa. Acha Magufuli awanyooshe tu maana wao wangeshika dola wangenyanyasa sana watesi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we jamaa nakukubali sana,najifunza vitu vingi sana toka kwakoDuh...!. Ndondi ni ulingoni, kipimo cha bondia mwenye nguvu ni kwa makonde anayorusha. Kwenye serikali za mitaani, bondia wa upande wa pili hakupanda ulingoni hivyo bondia wetu kupata ushindi wa mezani wa kishindo cha asilimia 99 9%.
2020 watu tunataka kuona mpambano.
Mabondia wapande ulingoni, mimi mwenyewe naingia ulingoni
Kama ni mechi, ni uwanjani sio mtu anaweka mpira kwapani halafu anaanza kupiga kelele za faulo
P
Ilikuwa siku ya wajingaMkuu, nikushauri tu ungeendelea kukaa kimya kama ulivyoahidi hasa ukizingatia lile bandiko lako la juzi kuhusu unapotaka kwenda.
Kwa mtazamo wangu, umeshapoteza ile identity yako ya kujiita hauna chama and all that, kwasababu dhamira yako ulishaionesha na inajulikana wapi unataka kwenda.
Hivyo basi, hiki ulichokiandika kwa mtazamo wangu, na wa wengine wanaojielewa, ni wewe kuendelea kujisafishia njia uweze kupokelewa vizuri huko ulipoamua kwenda (unless useme wazi lile bandiko lilikuwa fake, vinginevyo litabaki valid).
Kutokana na hilo hapo juu, usitegemee michango yako humu JF ikapokelewa kwa uzito uliokuwa nao hapo awali, coz now umeshaonesha mahaba yako yapo mtaa wa Lumumba, suala la kusubiri mpaka Pole Pole akupokee halina maana yoyote.
Unaleta habari ya wapinzani kugawana kura then CCM ishinde kirahisi, kwani ni lazima wapinzani wakigombea jimbo moja CCM ishinde? if that's the case, kwanini CCM wasiwe wanaweka wapinzani kila jimbo ili wao washinde kirahisi waache kutumia nguvu ya dola?!, ndio maana nimekushauri, sasa ni wakati wako wakukaa kimya.
Back to the topic; kuhusu kile Mbowe alichokifanya, huo ndio muendelezo wa ujasiri anaouonesha Mbowe, ameshafanya calculation zake, anajua jibu alilolipata, na hilo jibu kwa namna moja lazima liwe kwa manufaa ya Chadema, wewe Paskali na wenzio mnaendelea kuimba Chadema inakufa, huku mkijidanganya CCM inakubalika, wakati wewe Paskali mwenyewe kwenye lile bandiko lako la juzi una mpango wa kutenga mil. 100 ili umhonge mkurugenzi wa uchaguzi wapinzani waenguliwe, upite bila kupingwa.
Anyway, ni ushauri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvumilivu alikuwa anaweza Kikwete tu,hawa wengine wote wana mambo ya kishambaMbowe ana bifu za kishamba
Sawa shekhe yahayaNaunga mkono hoja, Chadema pekee yao hawawezi na haitakuja kutokea wakaweza!. Sisi Tanzania tuna tatizo kubwa la kitu kinachoitwa "Managing The Political Diversity" from both parties, CCM na Wapinzani, hadi ndani ya mihimili Bunge, Serikali na Mahakama.
Kwa muda uliobakia, hata kama Chadema inajua NCCR imenunuliwa na CCM, hivyo itajitenga nao, na Wabunge wote wa CUF wanasubiria tuu Bunge livunjwe watur rasmi ACT Wazalendo, Chadema walipaswa wawavumilie tuu, sometimes its good kumvumilia adui yako ili usiwaudhi wale waliokuja kwako kwasababu ya huyo adui yako. Kura milioni 6 za Lowassa ile 2015 sio za wana Chadema pekee.
Kosa kubwa la Chadema kuelekea 2020 ni kujidhania kwenye kambi ya upinzani, Chadema bado ni determinant, it's not!. Kuendelea 2020, Chadema is a dying horse, hivyo kitendo kama hiki cha kuihodhi kambi rasmi ya upinzani Bungeni, it's like a final kick of a dying horse.
Ili upinzani uweze kuvuna mavuno yoyote ya maana 2020 kwanza lazima Chadema wakubali kugawana himaya yake kwa kukubali ku share na vyama vingine vya upinzani.
Kabla ya Bunge kuvunjwa, Chadema ambacho kwa sasa ndio chama kikuu cha upinzani, kifanye SWOT na PEST analysis kwa Wabunge wake wote, matokeo ya analysis hiyo yakionyesha Mbunge huyu anachaguliwa kama mtu na sio chama, then Chadema ikubali matokeo, wabunge wote wa Chadema watakaojiunga CCM, Chadema ijihesabu hayo majimbo yamepotea unless wana CCM wenyewe ndio waipigie Chadema kura za chuki kutokubali wapinzani waja leo na kusimamishwa kugombea CCM.
Pili wabunge wote wa Chadema watakao hamia vyama vingine, Chadema ikubali to share them na wapinzani wengine kwa kutosimamisha wagombea wengine ili kila jimbo na kila kata mgombea wa CCM apambane na mpinzani mmoja tuu. Ikitokea jimbo lilikuwa Chadema kama Moshi Vijijini na Rombo, wabunge wake wwkahamia NCCR Mageuzi, Chadema ikubali matokeo. Ikisimamisha wagombea wapya, hii itakuwa ni vita vya panzi, furaha ya kunguru, wapinzani wata split kura zao, CCM atayatwaa majimbo ya upinzani kama ameokota dodo chini ya muembe.
Upinzani pamoja na tofauti zao za ndani, lazima wavumiliane by managing diversity kwa kushirikiana hivyo hivyo pamoja na tofauti zao, wasimame united and stand as one against a common enemy, vinginevyo kwa huku bara, tunarudi kuwa nchi ya chama kimoja CCM only and only CCM!.
P
Akili zile zile, mawazo yaleyale. We have a very long way to go. Nakumbuka maandishi matakatifu yanayosema "kama chumvi ikiharibika itatiwa nini ikolee?"Duh...!. Ndondi ni ulingoni, kipimo cha bondia mwenye nguvu ni kwa makonde anayorusha. Kwenye serikali za mitaani, bondia wa upande wa pili hakupanda ulingoni hivyo bondia wetu kupata ushindi wa mezani wa kishindo cha asilimia 99 9%.
2020 watu tunataka kuona mpambano.
Mabondia wapande ulingoni, mimi mwenyewe naingia ulingoni
Kama ni mechi, ni uwanjani sio mtu anaweka mpira kwapani halafu anaanza kupiga kelele za faulo
P
Kweli upinzani Tanzania ni upuuzi mtupu. Kweli hivi ndio vyama vinavyotaka kuongoza nchi. CCM haina mpinzani watangoja sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
Sasa hivi unaongea kwa kujiamini ukiwa umesimama upande uliouchagua kama kada. Kabla hali ilikiwa mbaya maana unafiki ulitamalaki angalau sasa umeamua kujivua unafiki. Karubu sana CCM ila style uliyoichagua si nzuri kwa historia na kesho yako. Unaweza ikawa CCM kama mimi na bado ikaendelea kusimamia misingi, kuwa CCM haimaanisha kwamba ujiunge na kikundi cha 'kwaya' ya 'kusifu na kuabudu'.Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, you are very right, this is the final kick of a dying horse.
P
If wishes are horses everyone could ride. Kakae chini ya mpera ukisubiri Apple lidondoke, utasubiri sanaMbowe anaendeshwa na mihemko, hisia na wapambe.
CDM inaporomoka, bado wanamsifia
nyakati zaja ambazo atakuwa 'joker'
Ndio vizuri mkipunguzana,mnatupunguzia kazi sisi ccmView attachment 1407132
Katiba baraza jipya lililotangazwa na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni , Wabunge wote wa Cuf pamoja na Mbunge wa NCCR MAGEUZI ndugu Mbatia wametoswa .
Sasa hivi unaongea kwa kujiamini ukiwa umesimama upande uliouchagua kama kada. Kabla hali ilikiwa mbaya maana unafiki ulitamalaki angalau sasa umeamua kujivua unafiki. Karubu sana CCM ila style uliyoichagua si nzuri kwa historia na kesho yako. Unaweza ikawa CCM kama mimi na bado ikaendelea kusimamia misingi, kuwa CCM haimaanisha kwamba ujiunge na kikundi cha 'kwaya' ya 'kusifu na kuabudu'.
Karibu sana CCM.
Kwa nini unanihusisha mimi katika hilo kama wewe sio mpuuzi tu!Mn
Mlishindwa kusimamia principle kwa kumleta Lowasa mnakuja kusimamia principle kwenye vitu vya kijinga
Hiyo sentensi ya mwisho nafikiri ungeipigia mstari na uikoleze!Nimeamini kuwa Dk. Slaa ndiye aliyekiwa "think tank" ya Mbowe. Kwenye Sherehe za Uhuru 2019 alitioa hotuba ya kumuomba Rais Magufuli aitishe 'Maridhiano ya Kitaifa'. Halafu wakati huo huo yeye analeta "Mgawanyiko wa Upinzani"! Na cha kuchekesha, wafuasi wake maarufu kama nyumbu wa Ufipa wanaunga mkono vyote viwili.