Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Cdm iporomoke kwa Mbowe kuchukua hatua?
Tindo, sidhani kama tunahitaji kubishana
Muda unakimbia kasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cdm iporomoke kwa Mbowe kuchukua hatua?
Tindo, sidhani kama tunahitaji kubishana
Muda unakimbia kasi sana
Duh!.Bila kujiingiza moja kwa moja kwenye majibizano yako na huyo member, vyote ulivyoandika kuhusu Lisu tuliviona na kuvisoma. Tuna uwezo wa kusoma na kuelewa, na kisha kupima msimamo wako kwenye shambulio la Lisu
Kung'olewa Mbatia kumekuumiza kiasi hiki ! ulikuwa na masilahi gani mkuu ?Duh!.
Hebu ngoja nijifanyie self assessment
Kabla ya Tundu Lissu kushambuliwa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli! - JamiiForums
TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! - JamiiForums
Baada ya Kushambuliwa nimepandisha mabandiko zaidi ya 10,
Kwavile tuna mitazamo tofauti, na mtu hawezi kujifanyia assessment mwenyewe na kuwa objective, wale wenye nafasi, niko open for assessment, kuna mahali nimefurahia au kushangilia shambulio hili?
- Bandiko la kwanza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
- Bandiko la Pili Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
- Bandiko la Tatu https://www.jamiiforums.com/threads...je-tukahukumiwa-karma-ndio-pekee-hutoa-hukumu
- Bandiko la Nne Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums
- Bandiko la Tano Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums
- Bandiko la Sita WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
- Bandiko la Saba Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!. - JamiiForums
- Bandiko la Nane Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi! Je, anahusika? - JamiiForums
- Bandiko la Tisa Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela! - JamiiForums
- Bandiko la Kumi Je, Tundu Lissu anaichafua nchi yetu au anasema ukweli wa kilichomtokea? Je, Serikali yetu iwe Proactive kusema ukweli au Reactive kumjibu? - JamiiForums
P
Mimi ni miongoni mwa wanaoigharimia ChademaKung'olewa Mbatia kumekuumiza kiasi hiki ! ulikuwa na masilahi gani mkuu ?
Kwa kuwa CCM na Jiwe wamejiandaa kuiba na kupora ushindi wa wapinzani kwa namna yoyote ile! Jiwe anachukia sana upinzani sijui kwa nini? Enzi anagombea ubunge alikuwa anafanya figisu kila uchaguzi ili apite bila kupingwa! Hii tabia anaendelea nayo hata baada ya kuwa Rais! Siasa za Kiafrika zinaboa sana....Tume ya uchaguzi yenu, wakurugenzi wenu, majeshi yenu, wakuu wa mikoa/wilaya wenu, mahakama zenu so, fanyeni mfanyavyo tu! Kama niko nje ya mada samahani wapendwaMkuu Tindo, that is selfishness!.
Politics is a science, political science, nimewashauri Chadema wafanye SWOT na PEST ya wabunge wao wote. Matokeo yakionyesha mfano Lema anakubalika Arusha as Lema, Selasini Rombo as Selasini, Sugu Mbeya as Sugu, Prof. J Mikumi as J wa Mitulinga, hawa jamaa watachaguliwa tena vyama vyovyote watakavyo simama. Hivyo wakihama Chadema, Chadema ikubali ikatae itapoteza jimbo hilo. Wakihamia CCM, then Chadema isimamishe watu kuwapinga, lakini wakihamia NCCR, then Chadema usisimamishe mtu, maana ikisimamisha, hii itakuwa ni vita vya panzi, furaha kwa kunguru, kura za opposition zita split na wote watakosa na CCM kuibuka mshindi kwa kura chache kama ameokota dodo chini ya muembe.
Ni bora warejee Bungeni as NCCR kuliko kukosa wote na CCM kutwaa viti vyote. Hata kama Chadema na NCCR hawapikiki chungu kimoja, lazima wafanya political managing Diversity zao and work together against a common enemy.
Kwa hapo ilipo Chadema is already done, the only way out kwa Chadema to keep existing is towards working together, otherwise Chadema will perish na opposition Tanzania will perish, Bunge lijalo kwa huku bara litakuwa ni Bunge la CCM and CCM only!.
P
Duh!.
Hebu ngoja nijifanyie self assessment
Kabla ya Tundu Lissu kushambuliwa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli! - JamiiForums
TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! - JamiiForums
Baada ya Kushambuliwa nimepandisha mabandiko zaidi ya 10,
Kwavile tuna mitazamo tofauti, na mtu hawezi kujifanyia assessment mwenyewe na kuwa objective, wale wenye nafasi, niko open for assessment, kuna mahali nimefurahia au kushangilia shambulio hili?
- Bandiko la kwanza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
- Bandiko la Pili Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
- Bandiko la Tatu https://www.jamiiforums.com/threads...je-tukahukumiwa-karma-ndio-pekee-hutoa-hukumu
- Bandiko la Nne Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums
- Bandiko la Tano Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums
- Bandiko la Sita WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
- Bandiko la Saba Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!. - JamiiForums
- Bandiko la Nane Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi! Je, anahusika? - JamiiForums
- Bandiko la Tisa Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela! - JamiiForums
- Bandiko la Kumi Je, Tundu Lissu anaichafua nchi yetu au anasema ukweli wa kilichomtokea? Je, Serikali yetu iwe Proactive kusema ukweli au Reactive kumjibu? - JamiiForums
P
Mimi ni miongoni mwa wanaoigharimia Chadema
P
Sasa Mbatia si yuko NCCR ?Mimi ni miongoni mwa wanaoigharimia Chadema
P
Duh...!.Siasa za Kiafrika zinaboa sana....Tume ya uchaguzi yenu, wakurugenzi wenu, majeshi yenu, wakuu wa mikoa/wilaya wenu, mahakama zenu so, fanyeni mfanyavyo tu! Kama niko nje ya mada samahani wapendwa
Mkuu SHUTUMA sio HUKUMU, Kuna mifano mingi hata kwenye Biblia watu walishutumiwa kwa kuenenda kinyume na maadili ya jamii husika mfano, Mfalme HERODE alizini na mke wa Kaka yake (Shemelaa wake) HERODIAna YOHANA mbatizaji akamshutumu kwa hilo na mwisho Yohana Akauawa.It's true ushahidi wa kimazingira unaweza kumtia mtu hatiani. Nashauri tuache hizi ramli chonganishix turejee kwenye mada iliyoko mezani
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums
P
Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo yenye maana zaidi kuliko vingine vyote ulivyoandika!Siasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.
Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafasi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.
Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.
Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.
Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
Kweli upinzani Tanzania ni upuuzi mtupu. Kweli hivi ndio vyama vinavyotaka kuongoza nchi. CCM haina mpinzani watangoja sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Calibre ya Mbatia ya unafiki au??Nimeangalia Hao Walioteuliwa Hakuna mtu calibre ya Mbatia...Mama Tanzania..upinzani Africa ni shida tupu.
Sheiza unasema ukitofautiana na Mbowe tu, out. Vipi ukitofautiana na JPM? Kati ya hao wawili yupi ana angalau ustahimilivu?Hapa hata magufuli kawapiga bao. Maana kwenye nafasi za uongozi anao hadi waliokuwa upinzani na kugombea uraus kama kina anna mghwira.
Mbowe ye ukitofautiana nae tu ujue out. Hana uvumilivu wa kisiasa. Acha Magufuli awanyooshe tu maana wao wangeshika dola wangenyanyasa sana watesi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaota ndoto za mchana kweupe wakati CHADEMA iko ICU ya CORONASiasa.Magufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
Wewe unataka ifeje?Magufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
Sina shaka yoyote kuhusu kumtambua "mtu mwenye akili kama za panzi", kwa sababu wewe ni kielelezo kilicho wazi kabisa. Sijui leo umepata wapi akili za kuparamia kujibu nilichoandika hapo!Mkuu hivi hata kwa mtu mwenye akili kama za panzi anaweza kusema Mbowe na chadema kwa ujumla wanasimamia principle?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji16][emoji2960]