Kumekucha: Baraza la Mawaziri kivuli - Mbatia out

Haya niliyasema kipindi, sasa yanakwenda kutokea na kwa kuanzia ni James Mbatia anang’olewa Vunjo na Dr. Kimei!. This will mark the end of what was NCCR Mageuzi!.
P
 
Haya niliyasema kipindi, sasa yanakwenda kutokea na kwa kuanzia ni James Mbatia anang’olewa Vunjo na Dr. Kimei!. This will mark the end of what was NCCR Mageuzi!.
P
Wejamaa umerudi eeh!! Msukuma mwenzio kakuzidi umaarufu kapewa Jimbo... sasa unaitabiria mabaya NCCR Mageuzi!! Hivi mfano ikafa mtafaidikaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…