Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kwanza wana faida gani hao baraza kivuli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikisema wewe unaupungufu nitakosea?Kwanza wana faida gani hao baraza kivuli?
Hata mimi sioni hatua zinazochukuliwa zaidi ya kuandikaandika mitandaoniMkuu mimi wala sikubishii ila naziangalia hatua zenu kwenda huko tume huru kama kweli zitawafikisha.
Hii nayo italeta impact gani kwa Chadema inayoenda kufa? Bado miezi kama mitatu bunge livunjwe?View attachment 1407132
Katiba baraza jipya lililotangazwa na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni , Wabunge wote wa Cuf pamoja na Mbunge wa NCCR MAGEUZI ndugu Mbatia wametoswa .
😅😅😅😅Hii nayo italeta impact gani kwa Chadema inayoenda kufa? Bado miezi kama mitatu bunge livunjwe?
inasemekana watu wanamuamini mno !
Wewe unadhani Mbowe ana akili matope kama unavyodhani??Huenda lengo kuwaengua kushiriki vikao vya upinzani wasije kufichua mikakati yao kwa mshindani.
Kama hivyo sababu ina mashiko.
Inabidi ujishangae mwenyewe kwa kutoona mantiki ya mabadiliko hayo.Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Chadema ni kama Punda anayekata roho...anarusha matekeMagufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, you are very right, this is the final kick of a dying horse.Chadema ni kama Punda anayekata roho...anarusha mateke
Sent using Jamii Forums mobile app
Privilege zaniniHao wabunge vivuli wana privilege gani bungeni ?
Hicho Mzee P mnacho kiamini kitaani kinaiwa "Kupiga bomu mochwari" Punda anajifia kaa kimya mdomo wa niniMkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, you are very right, this is the final kick of a dying horse.
P
PointSiasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.
Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafsi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.
Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.
Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.
Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
Naunga mkono hoja, Chadema pekee yao hawawezi na haitakuja kutokea wakaweza!. Sisi Tanzania tuna tatizo kubwa la kitu kinachoitwa "Managing The Political Diversity" from both parties, CCM na Wapinzani, hadi ndani ya mihimili Bunge, Serikali na Mahakama.Siasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.
Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
Very valid
Wangekuwa wepesi kiwango hicho Chama cha Wafuga Chatu kisinge waogopa na kutumia mbinu za ushetani kiwango wanachotumia kupambana nao.Kweli upinzani Tanzania ni upuuzi mtupu. Kweli hivi ndio vyama vinavyotaka kuongoza nchi. CCM haina mpinzani watangoja sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja, Chadema pekee yao hawawezi na haitakuja kutokea wakaweza!. Sisi Tanzania tuna tatizo kubwa la kitu kinachoitwa "Managing The Political Diversity" from both parties, CCM na Wapinzani, hadi ndani ya mihimili Bunge, Serikali na Mahakama.
Kwa muda uliobakia, hata kama Chadema inajua NCCR imenunuliwa na CCM, hivyo itajitenga nao, na Wabunge wote wa CUF wanasubiria tuu Bunge livunjwe watur rasmi ACT Wazalendo, Chadema walipaswa wawavumilie tuu, sometimes its good kumvumilia adui yako ili usiwaudhi wale waliokuja kwako kwasababu ya huyo adui yako. Kura milioni 6 za Lowassa ile 2015 sio za wana Chadema pekee.
Kosa kubwa la Chadema kuelekea 2020 ni kujidhania kwenye kambi ya upinzani, Chadema bado ni determinant, it's not!. Kuendelea 2020, Chadema is a dying horse, hivyo kitendo kama hiki cha kuihodhi kambi rasmi ya upinzani Bungeni, it's like a final kick of a dying horse.
Ili upinzani uweze kuvuna mavuno yoyote ya maana 2020 kwanza lazima Chadema wakubali kugawana himaya yake kwa kukubali ku share na vyama vingine vya upinzani.
Kabla ya Bunge kuvunjwa, Chadema ambacho kwa sasa ndio chama kikuu cha upinzani, kifanye SWOT na PEST analysis kwa Wabunge wake wote, halafu ikubali matokeo, wabunge wote wa Chadema watakaojiunga CCM, Chadema ijihesabu hayo majimbo yamepotea unless wana CCM wenyewe ndio waipigie Chadema kura za chuki kutokubali wapinzani waja leo na kusimamishwa kugombea CCM.
Pili wabunge wote wa Chadema watakao hamia vyama vingine, Chadema ikubali to share them na wapinzani wengine kwa kutosimamisha wagombea wengine ili kila jimbo na kila kata mgombea wa CCM apambane na mpinzani mmoja tuu. Ikitokea jimbo lilikuwa Chadema kama Moshi Vijijini na Rombo, wabunge wake wwkahamia NCCR Mageuzi, Chadema ikubali matokeo. Ikisimamisha wagombea wapya, hii itakuwa ni vita vya panzi, furaha ya kunguru, wapinzani wata split kura zao, CCM atayatwaa majimbo ya upinzani kama ameokota dodo chini ya muembe.
Upinzani pamoja na tofauti zao za ndani, lazima wavumiliane by managing diversity kwa kushirikiana hivyo hivyo pamoja na tofauti zao, wasimame united and stand as one against a common enemy, vinginevyo kwa huku bara, tunarudi kuwa nchi ya chama kimoja CCM only and only CCM!.
P