Kumekucha: Baraza la Mawaziri kivuli - Mbatia out

Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, you are very right, this is the final kick of a dying horse.
P
Mnadhani bondia wenu ana Nguvu saana kupambana .....,ila nawashangaa pale anapo tegeme mbeleko za Vyombo vya Dola na mbinu za kishetani kujipatia ushindi.
Mmeyasema hayo muda mreefu juzi uchaguzi serikali za mitaa Mmeshinda kwa GHIRIBA na Mbinu za KISHETANI bado hamjajitambua tu?
Wepesi sana....Wapeni watu uhuru wa kuchagua ndo mtajua Status yenu kwenye jamii.
 
Ushauri wako hauna mantiki, kama itikadi ya chama ni kuwatumikia na kuwatetea wananchi dhidi ya dola kandamizi, ya nini kuungana na wasaliti? Labda kama itikadi ya ya chama ni kupata manufaa binafsi
 
Huu ujumbe ungemwambia jiwe mapema nazani lisu angekuwa bado yupo bungeni mpaka leo, Ben Saanane na akina Azory Gwanda na wengineo wangekuwa bado wanapumua hapa duniani.
Kwa vile hakuna anayejua for sure nini kimewafika Ben Saanane na Azory Gwanda, huwezi kusema wangekuwa wanapumua as if unajua kuwa hawapumui. Lissu kila mtu anajua wahusika wa tukio lile ni watu wasiojulikana.

Tusiwe wepesi kupiga ramli chonganishi hata kusikohusika.
P
 
Wakati mwingine Mazingira na yana ashiria Na kuonesha kitu katika uhalisia wake, Na kisheria ushahidi wa kimazingira unaweza kumtia mtu hatiani na akahukumiwa hata kifo.
katika suala la T.A.L kuna vielelezo vingi vya mazingira ya kuwaficha hao wasiojulikana. kiasi ambacho Lamri zote zinaonesha hao watu ni washirika wa Team wafuga chatu.
 
Vp kama ni wao wenyewe walioamua kujitenga baada ya Mh Mbatia kutoka kugonga miguu pale maeneo?? Ni vigumu sana kuwa kwenye safari moja wakati kila mmoja akiwa kwenye njia yake. Hivyo mm naona busara imetumika kwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnadhani bondia wenu ana Nguvu saana kupambana .....,Wapeni watu uhuru wa kuchagua ndo mtajua Status yenu kwenye jamii.
Duh...!. Ndondi ni ulingoni, kipimo cha bondia mwenye nguvu ni kwa makonde anayorusha. Kwenye serikali za mitaani, bondia wa upande wa pili hakupanda ulingoni hivyo bondia wetu kupata ushindi wa mezani wa kishindo cha asilimia 99 9%.
2020 watu tunataka kuona mpambano.
Mabondia wapande ulingoni, mimi mwenyewe naingia ulingoni
Kama ni mechi, ni uwanjani sio mtu anaweka mpira kwapani halafu anaanza kupiga kelele za faulo
P
 
Kwenye soka mabadiliko hufanywa kwenye dakika ya themanini na tisa na goli likapitikana. Hivyo nakubaliana na wewe Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's true ushahidi wa kimazingira unaweza kumtia mtu hatiani. Nashauri tuache hizi ramli chonganishix turejee kwenye mada iliyoko mezani
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

P
 
Huwezi kuwa mwanaume rijali then ukajiita titi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla kuna umuhimu gani kukaa meza moja na mtu msiyeachiana maji mezani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Yale majimbo 20 aliyo ahidiwa Mbatia ccm itweka wagombea?

Kama ccm itaweka wagombea una uhakika gani kuwa nccr itashinda kiraisi ikiwa chadema watawaachiia nafasi

Je unadhani makubaliano ya mbatia na magufulli ni ccm kutokuweka mgombea kwenye majimbo ya nccr ili washinde kiraisi?

Mkuu huwa unajichanganya kwenye maadishi yako
 

Ushauri wako ni mzuri hata mimi naona hoja yako ilipo. Hivi hujawahi kuona kwenye mpira mchezaji anatolewa ikiwa imebakia dakika moja?
 
Tumia akili huwezi kumbakisha ndani adui ambaye tayari kajitambulisha kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…