Kumekucha! Bifu la Watangazaji wa Shilawadu na RC Makonda lafikia patamu na limenoga sasa

Umeyajua juu ya hayo kwa sababu wewe ni bonge la wizard.

Wala haiitaji kuwa na degree au kuwa mchawi ili kujua kuwa wewe ni mmoja wa misukule ya gwajima, maana haueleweki,,

au ushakatwa ulimi nn,,maana msukule akikatwa ulimi ni mtihani
 
Kila kitu na wakati wake na mwishoni kbsa mwa picha Makonda atashinda na picha itakwisha

Ni kweli Mkuu tunajua kabisa kuwa kuna siku tu picha litaisha ila je unataka kusema na huko kutema soksi, miguu na kunuka ' ndomo ' na kwenye kuna siku kutakwisha?
 

Kwa ' mahaba ' niue yako haya leo naweza nikathibitisha kuwa yawezekana Wewe ndiyo yule ' Beibe ' wake wa Kihaya sijui Kinyarwanda hivyo umeamua kujitoa mhanga kabisa uwe unajitahidi kila unapoona uzi wa kumsema Mumeo ' Jini mkata Kamba ' humu JF basi uwe unamtetea kwa nguvu zako zote. Safi sana Dada kazana, komaa ili ndoa yenu hiyo changa isiishie ukingoni hivi karibuni ila sisi ' masela ' huku bado tunaendelea ' kukomaa ' nae humu hadi siku atakapotolewa hapo alipo halafu tutamsaidia kumpa tiba ya kunuka soksi, miguu na ' ndomo '.
 
Mwaka huu ndio nimejua Vita ya Madawa kulevya ni ngumu

Kama Marekani tu ambako wana kila kitu na kila aina ya Ulinzi pamoja na Vifaa bila kusahau mbinu zote lakini mpaka sasa ' Drugs Barons ' wanawasumbua na hawajaweza kumaliza tatizo la matumizi na usafirishaji wa dawa za kulevya ndiyo ghafla ije tuweze sisi Watanzania tena tulio masikini wa ' kutukuka ' kabisa?
 
Vipindi vya kipuuzi siangaliagi mimi

Ningekuona una ' akili ' basi hata huu ' uzi ' nao usingeufungua kabisa au hata kuacha tu kuujibu ila kwa majibu yako haya ya ' Kinafiki ' nina uhakika tena wa 100% kuwa Wewe ni mmoja kati ya Watazamaji wazuri kabisa wa Kipindi cha SHILAWADU kama ambavyo hata Raia wetu namba moja Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nae ni mpenzi wa ' kutukuka ' kabisa wa hicho Kipindi.
 
Kwan dodoma ipo kenya?aliitwa bungeni,hawezi kusubiri arudi dar awatangazie wakazi wake kuhusu ujio wa PM wa Ethiopia
Yaani mkimuona Makonda mnajisikia kuharisha
 
Mi nashangaa kwanini hawa wajinga hakuvunja miguu au kutolewa meno? watu mnapenda umbea...mnaletewa umbea mnakataa kwanini msipigwe tuu..?
 
Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana.(biblia)
 
Kweli jamaa linanuka mdomo na miguu akivua viatu ni balaa, hata ktk tv harufu tunaipata.
 
Sasa kama ni magonjwa yasiyotibika anadhalilikaje? Je wagonjwa waliopo mahospitalini na majumbani wanadhalilika? Kunuka mdomo au miguu ni tuhuma?
 
Sasa kama ni magonjwa yasiyotibika anadhalilikaje? Je wagonjwa waliopo mahospitalini na majumbani wanadhalilika? Kunuka mdomo au miguu ni tuhuma?

Maelezo yako tu yanaonyesha na Wewe una tatizo kama analosemwa nalo ' Makonda '. Pole sana Mkuu katibiwe haraka.
 
Wanawake wanakazi ya kuvumilia sana,ingekuwa dem ananuka ile kitu,basi angetoswa.
 
Maelezo yako tu yanaonyesha na Wewe una tatizo kama analosemwa nalo ' Makonda '. Pole sana Mkuu katibiwe haraka.
Kunuka ni uchafu tu,kama mtu anavaa sox za plastic na anavaa akiwa hajakausha miguu ni uchafu.
Na mdomoni kama hapigi mswaki vizuri,hasafishi ulimi au na meno kwa upande wa ndani.
Na kama pia hasafishi upande wa jui uliounga na pua unasemaje ni ugonjwa usiotibika?
Au kama mtu ameweka "tartar"kwenye meno yake kutokana na kutotumia mswaki sahihi kwa muda mrwfu,wakati tartar ni mabaki ya chakula,unasemaje ni ugonjwa wakati ni uchafu?
Dawa ni kuwa na mswaki sahihi na mara nyingi ni ile "HARD",asitumie "MEDIUM" wala "SOFT"
*NB AMUONE DENTIST KWANZA asafishwe meno na ashauriwe namna ya kupiga mswaki na aina ya mwaki(siyo brand,ni ugumu) kutokana na meno yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…