Wakuu,
Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:
1) January Makamba
2) Hussein Bashe
3) Nape Nnauye
4) Mwinyi Hussein
5).........
Na tetesi za kutoka ndani zinabainisha kuwa hapo kesho wabunge WOTE wataondolewa rasmi.
Awali, Ndg. Humphrey Polepole and his allies wanted only Nape, Bashe and January out lakini wajumbe wengine wakampinga ndipo uamuzi ukaja kwa mtindo huu.
More to come...
Mimi nadhani wapo sawa sana maana kwakweli kuna Mambo hayapo sawa nakuwakata hawa uwenda ikawa red light kwa Yule kijana anaye jifanya katumwa na mkuu na huo ndio mwisho wa picha.Wakuu,
Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:
1) January Makamba
2) Hussein Bashe
3) Nape Nnauye
4) Mwinyi Hussein
Na tetesi za kutoka ndani zinabainisha kuwa hapo kesho wabunge WOTE wataondolewa rasmi.
Awali, Ndg. Humphrey Polepole and his allies wanted only Nape, Bashe and January out lakini wajumbe wengine wakampinga ndipo uamuzi ukaja kwa mtindo huu.
More to come...
Nape jembe ulaya la CCM kulikata si rahisiWakuu,

CCM imechokwa nchi nzima.
Kifo cha CCM kimewadia.
Naona wajumbe wa halmashauri kuu sasa watakuwa ma DC. Hapo dikteta kiulainiiiii 2020 na hakuna mwingine wa kumpinga
2020 ipi wakati tayari CCM wameshabadilisha katiba inayompa JPM nafasi ya kugombea peke yake!!Naona wajumbe wa halmashauri kuu sasa watakuwa ma DC. Hapo dikteta kiulainiiiii 2020 na hakuna mwingine wa kumpinga