Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

DPJeytNW4AAGaYP.jpg
Kifo cha CCM kimewadia.
 
Malumbano ndani ya chama ni afya kwa chama afya zaidi ikiwa mnalumbana na kufikia kwenye makubaliano ya pamoja bila ya mmojawapo kuondoka zake.

Kinachoendelea CCM ni afya ndani ya chama maana mwisho Wa siku watafikia kwenye msimamo mmoja wakati upande ule watu hawaafikiani wengine wanatoka Wanaenda kuanzisha chama chao tena majemedari wa vita,na wengine wanajiunga na jeshi LA adui.
 
Niliowanukuu hapa, naamini kama siyo wajumbe au viongozi wa BAVICHA basi ni wafuasi wa CHADEMA

Kuna matatizo mengi CHADEMA ya mitazamo, sera, utawala, uongozi na itikadi. Mnahitajika kujadili ya huko.

CCM inafanya mabadiliko kwa vitendo, CHADEMA inafanya siasa za harakati.

Serikali ya CCM inafanya mapinduzi ya kiuchumi, uongozi wa CHADEMA unajenga matukio.
Vitendo gani? Kudanganya taifa kuhusu meli? Kudanganya kuhusu acacia? Kuchoma clouds au?
 
Kazi ya Halmashauri kuu huwa ni kuisimamia Serikali sasa kama kina January ndio wangeendelea kuwa Wajumbe wa NEC maana yake wangekuwa wanajisimamia!

Nashauri na Rais wa Jmhuri asiwe Mwenyekiti wa kikao cha Halmashauri kuu cha chama kwa kuwa Rais haiwezekani akawa fair kuongoza kikao cha kuhoji utendaji wa Serikali yake

ni sawa na Mwanafuzi kupewa kazi ya kuandaa Maswali ya Mtihani anaotarajiwa kupimwa uelewa wake wa somo
 
Back
Top Bottom