ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Sasa habari zitamfikiaje dad yetu kipenzi wa insta jamani!msitufanyie hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:
1) January Makamba
2) Hussein Bashe
3) Nape Nnauye
4) Mwinyi Hussein
Na tetesi za kutoka ndani zinabainisha kuwa hapo kesho wabunge WOTE wataondolewa rasmi.
Awali, Ndg. Humphrey Polepole and his allies wanted only Nape, Bashe and January out lakini wajumbe wengine wakampinga ndipo uamuzi ukaja kwa mtindo huu.
More to come...
Vijana mnapoteza muda wenu kujadili tetesi zisizo na vichwa wala miguu.Wakuu,
Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:
1) January Makamba
2) Hussein Bashe
3) Nape Nnauye
4) Mwinyi Hussein
Na tetesi za kutoka ndani zinabainisha kuwa hapo kesho wabunge WOTE wataondolewa rasmi.
Awali, Ndg. Humphrey Polepole and his allies wanted only Nape, Bashe and January out lakini wajumbe wengine wakampinga ndipo uamuzi ukaja kwa mtindo huu.
More to come...
Kuna watu ni weupe sana vichwan kuhusu siasa za Tanzania.2020 ipi wakati tayari CCM wameshabadilisha katiba inayompa JPM nafasi ya kugombea peke yake!!
Teh teh!Magufuli anarudisha nyuma zaid Chadema kuingia ikulu ilkuwa 2020 sasa n 2045
Hii ni kali mkuu,waterloo naona upo kwenye ndoto nzito sana siku ukiamka utajikuta umebaki manyoya, maana yake ushaliwa...........
Ni hayo matukio mnayoyashikia bango ndiyo yanauondoa upinzani kwenye ulingo wa siasa.Vitendo gani? Kudanganya taifa kuhusu meli? Kudanganya kuhusu acacia? Kuchoma clouds au?
Hujakosea.Niliowanukuu hapa, naamini kama siyo wajumbe au viongozi wa BAVICHA basi ni wafuasi wa CHADEMA...
Mkuu kwa nini usijipatie usingizi tu?huu ni ukweli ambao CCM wengi hampendi kuusikia
Acha kudanganya mkuuwatanzania % kubwa hatuipendi CCM
Huyo alishashtuka mapema akaufyataKingi Msukuma naye amepona???
Mbona hadi kiongozi wa bavicha Taifa amehamia ccm?CCM imechokwa nchi nzima.