Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

Wakuu,

Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:

1) January Makamba
2) Hussein Bashe
3) Nape Nnauye
4) Mwinyi Hussein

Na tetesi za kutoka ndani zinabainisha kuwa hapo kesho wabunge WOTE wataondolewa rasmi.

Awali, Ndg. Humphrey Polepole and his allies wanted only Nape, Bashe and January out lakini wajumbe wengine wakampinga ndipo uamuzi ukaja kwa mtindo huu.

More to come...

Kofia moja!
 
CCM inazidi kuimarika.
Imeimarika sana hadi imeleta meli toka china iwatibu watu bure na uchumi unazidi kupanda kwasasa Tanzania ni nchi ya kwanza africa kwa uchumi wa viwanda na inakadiriwa kati ya watanzania 10 saba wamejiajiri na watatu wana viwanda
 
Niliowanukuu hapa, naamini kama siyo wajumbe au viongozi wa BAVICHA basi ni wafuasi wa CHADEMA

Kuna matatizo mengi CHADEMA ya mitazamo, sera, utawala, uongozi na itikadi. Mnahitajika kujadili ya huko.

CCM inafanya mabadiliko kwa vitendo, CHADEMA inafanya siasa za harakati.

Serikali ya CCM inafanya mapinduzi ya kiuchumi, uongozi wa CHADEMA unajenga matukio.
Sasa wafanyeje wakati wamezuiwa hata kusafiri
Mbona ni swala la common s.
Wee unaelewa kabisa siasa zimepigwa marufuku sasa unawalaumu wapinzani kwa lipi.
Kila kukicha wanakamatwa,wanauwawa,wanatekwa na kuwekwa ndani.wenzao ssm wako huru then u judge them as if they are playing on the same ground. No mi nadhani wapinzani wa Tz ni wapole sana .Na wana utiii kwa serika yao na wananchi wao but ground ya kufanya siasa kwa sasa haipo dont expect them to grow.
Ila upinzani utaongezeka ndani ya mioyo ya watu hasa when we will find our self :we cannot make our ends meet/. Mkate mezani utakapo kosekana utashangaa wewe mtoa mada unakua mpinzani no 1
Tuombe mkate upatikane.
 
Ccm Hakuna mwenye Sharubu
chama kinaogopeka sio mtu
ccm nichama cha wanachama
 
JF naona kuna picha ya msemaji wa polisi hapo juu yaani sitaluonea huruma tena wala kukuombea wewe Mexes Melo
sijakuelewa
ina maana hawa jamaa kuingia mitandaoni ni kuwatangaza wakati wanatukamata?
au ni adui kumkaribisha iko siku akitumwa anatugeuka tena
fafanua kidogo
 
Kifo cha CCM kimewadia.
Hiyo kitu imesemwa longtime tangu enzi Maalim anamchomea Jumbe kwa Mwalimu. Hakikufa. Ile machinery ni complex na hamuielewi. Na silaha mojawapo ya vita ni kuitambua na kuikubali nguvu ya adui yako.
 
Kwa wahusika binafs kisiasa itasumbua,hizo nafas muhim kwao kujijenga
OK, nieleweshe kidogo, Halmashauri kuu ya chama unajijengaje ukiwa humo? Kazi za halmashauri Kuu ya chama ni zipi? (nimegoogle sijapata)
 
Back
Top Bottom