Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

Humo ndani ya ibilisi wanafuta nini wawale kichwa tu.
 
Mtu mmoja kofia moja,
Hata rais kwenye chama ni mwenyekiti tu urais ni wa nchi nzima
 
OK, nieleweshe kidogo, Halmashauri kuu ya chama unajijengaje ukiwa humo? Kazi za halmashauri Kuu ya chama ni zipi? (nimegoogle sijapata)
Kazi za halmashaur kuu ya chama moja wapo ni kupitisha majina ya wagombea,kuvua uanachama wanachama,kuhoji WANACHAMA,
Hayo ndo nayajua,
 
Kazi za halmashaur kuu ya chama moja wapo ni kupitisha majina ya wagombea,kuvua uanachama wanachama,kuhoji WANACHAMA,
Hayo ndo nayajua,
asante nimesoma katiba yao na kuona kazi zake. Kama hauko humo, utakuwa unakosa nafasi za kuonekana na kutoa maamuzi.
 

Attachments

Hivi Kitila karudi Leo ccm au siku ile anapewa kadi Singida? Why so special Leo au kwa vile ilibidi aonyeshwe kwenye TV? Utoto mtupu huu
Unapokea mwanachama mpya mara tatu,
Unazindua kiwanda kipya mara mbili
Unazkndua daraja mara mbili.

Ukosefu wa kazi au ujuha tu.
 
Magufuli anarudisha nyuma zaid Chadema kuingia ikulu ilkuwa 2020 sasa n 2045
Kwa sababu ya Katambi na Msando? Kuna watu bado akili zao zinawaza kwa namna ya ajabu sana. Kwa wenye akili kitendo cha CCM kupokelea Ikulu watu wa aina ya Mwigamba, Protas na the like ni matusi kwa chama, ni kudhalilisha chama na hakina milestone kwa chama!
 
Hiyo kitu imesemwa longtime tangu enzi Maalim anamchomea Jumbe kwa Mwalimu. Hakikufa. Ile machinery ni complex na hamuielewi. Na silaha mojawapo ya vita ni kuitambua na kuikubali nguvu ya adui yako.
CCM inatapatapa inataka kufa
 
Propogandists downfall na kuanguka kwa ufalme wa Babeli
 
CCM inatapatapa inataka kufa
Huo mtazamo wako. Ninachokijua mimi ni, kama ni ligi ya mpira Cdm/ opposition wanacheza daraja la tatu na bingwa wenu yupo juu premier. Na yuko kimya ila atawafanya kitu mbovu sana 2020. Sorry kama nina ku- offend.
 
Huo mtazamo wako. Ninachokijua mimi ni, kama ni ligi ya mpira Cdm/ opposition wanacheza daraja la tatu na bingwa wenu yupo juu premier. Na yuko kimya ila atawafanya kitu mbovu sana 2020. Sorry kama nina ku- offend.
kununua madiwani ni dalili ya kufa
 
Wanaengua wanaojitambua wanabaki Meee mbuzi wa bwana Heri..ndiyo mwenyekiti
 
Unapokea mwanachama mpya mara tatu,
Unazindua kiwanda kipya mara mbili
Unazkndua daraja mara mbili.

Ukosefu wa kazi au ujuha tu.
Ni ujuha, ulimbukeni na ushamba. Na mbaya zaidi majuha ni hao washangiliaji wanao jivika ujinga kutoliona hilo. Sio hapa JF pekee bali hata ndani ya chama cha mapinduzi. Hivi wote wale akiwepo Kinana (ambaye wengi tulimfikiria kuwa ni mjanja) hawaoni ushamba huo? Aibu mtupu!
 
Unapokea mwanachama mpya mara tatu,
Unazindua kiwanda kipya mara mbili
Unazkndua daraja mara mbili.

Ukosefu wa kazi au ujuha tu.
mwaka wa 15 unakwenda Chadema wanakinga ruzuku kwa mabilioni lakini hawamiliki hata choo.
 
Kwa mara ya mwisho: Wana CCM si washauri kuwapokea Laurence Masha na Petrobas Katambi.
Ni mitego hiyo
Nafasi 10 za rais kuteua wabunge zilishamalizika. Hovyo hao hawezi pata uwaziri kwani kwa mjibu wa katiba ili uweze kuteuliwa kuwa waziri lazima uwe mbunge.
 
Back
Top Bottom