Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Wakaribisheni chadomoImplication yake ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakaribisheni chadomoImplication yake ni nini
Sidhani...Kifo cha CCM kimewadia.
JF naona kuna picha ya msemaji wa polisi hapo juu yaani sitaluonea huruma tena wala kukuombea wewe Mexes Melo
kufaAcha maujinga wewe
Sisi tumekataa kuwa makarai hapa ufipa
Mbona MaDC siku zote ni makada wa Chama na ni Wajumbe wa vikao vya Halmashauri ya Chama katika Wilaya zao. siyo jambio jipya linaloanza leo. Siku zote Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wiolaya wana kofia mbili, Viongozi wa serikali katika maeneo yao ya utawala lakini pia viongozi wa chama katika maeneo yao.Naona wajumbe wa halmashauri kuu sasa watakuwa ma DC. Hapo dikteta kiulainiiiii 2020 na hakuna mwingine wa kumpinga
Kwani vipi mkuu?? Wewe mhalifu unaogopa picha ya polisi!!!?? hahahahaha..!JF naona kuna picha ya msemaji wa polisi hapo juu yaani sitaluonea huruma tena wala kukuombea wewe Mexes Melo
Nasikia jamaa wana utaratibu katika chama chao kuwa cheo kimoja nafasi moja. Hivyo, kwa kuwa tayari ni wabunge hawawezi kugombea nafasi zingine ndani ya chama ili kuongeza ufasini katika kuwaletea wananchi maendeleo. Ni utaratibu mzuri. Sio mtu mmoja vyeo kibaoWakuu,
Nyeti toka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokaa jana ni kuwa kimewakata wabunge wote waliokuwa wanagombea ujumbe katika Halmashauri Kuu ya chama. Wabunge hao ni:
1) January Makamba
2) Hussein Bashe
3) Nape Nnauye
4) Mwinyi Hussein
Na tetesi za kutoka ndani zinabainisha kuwa hapo kesho wabunge WOTE wataondolewa rasmi.
Awali, Ndg. Humphrey Polepole and his allies wanted only Nape, Bashe and January out lakini wajumbe wengine wakampinga ndipo uamuzi ukaja kwa mtindo huu.
More to come...
Wakikatwa tunawakaribisha CDMWakuu,

Implication yake itakuwa kwenye uchaguzi mkuu kwani wajumbe wa NEC ndio wanazunguka Tanzania kumnadi mgombea urais wa CCM.Implication yake ni nini
Nyie jamaa bana! mnachekesha sana!Kifo cha CCM kimewadia.
Implication yake itakuwa kwenye uchaguzi mkuu kwani wajumbe wa NEC ndio wanazunguka Tanzania kumnadi mgombea urais wa CCM.Implication yake ni nini