Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Na si ndio maana napenda kuwamwagia wazee wako maana wanapenda kuitumia fursa na hawapendi kumletea madeko mwanajeshi.
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Atakumbukwa na mbumbumbu pamoja na Sukuma gang basi. Afe tena huko aliko
 
Pole mkuu, ndio maisha tuliyoyachangua
 
Ama kununua reserve tank(SIMTANK) kuanzia la 5000ltrs kuendelea.

Likiwepo hilo, hautasikia maumivu ya mgao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Litre 5,000 ukiwa na mke, watoto watatu, house girl wakienda maliwatoni hawa wote na kuoga ni siku mbili tu. hapo hamjafua wala kupiga deki nyumba.

Hili la 5,000 liwe junction ya kutolea maji kisimani na kusambaza ndani.
 
Litre 5,000 ukiwa na mke, watoto watatu, house girl wakienda maliwatoni hawa wote na kuoga ni siku mbili tu. hapo hamjafua wala kupiga deki nyumba.
Mkuu mbona mi nnalo tunatumia siku 5, tunaishi familia ya watu7 pamoja na mifugo ya nyumbani?

Wastani wa unit1(ltrs 1000) kwa siku inatutosha.

Hata yanayoendelea huko nje kwa msongamano wa madumu na maboza, hadi maji yanakuja kurudi kujaza tank nakuwa sina habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji yamepungua mto Ruvu hakuna cha Magufuli angekuwepo wala nini acheni kumfanya huyo mtu kama Mungu, ilitokea bahati nzuri katika kipindi chake halikutokea tatizo kama hili basi.
Wewe naona sio mfutiliaji mzuri, kipindi cha Magufuri kulitokea ukame wa kufa mtu Mifugo mingi ilikufa, Mpaka kilo ya unga sokoni ikauzwa sh2500, wapinzani Wake akina Zitto na gang lake wakawa wanalazimisha Magufuri atangazie Dunia kuwa ukame na njaa viwe janga la kitaifa, Magufuri akagoma, hatukuwai kuona maji Wala umeme kukatika.Magufuri alikuwa anajua michezo yote hii ndio maana hawakumsumbua
 
Kwahiyo ni Magufuli peke yake ndio alikuwa anajua hiyo michezo yao na yeye pekee ndio aliweza kuidhibiti hiyo michezo na sasa kwakuwa amekufa ndio tuamini serikali yote iliyopo haiwezi kudhibiti hiyo unayoita michezo!
 
MA
Kwahiyo ni Magufuli peke yake ndio alikuwa anajua hiyo michezo yao na yeye pekee ndio aliweza kuidhibiti hiyo michezo na sasa kwakuwa amekufa ndio tuamini serikali yote iliyopo haiwezi kudhibiti hiyo unayoita michezo!
Magufuri alikuwa mkali, alikuwa acheki na kima kuanzia kwa Waziri Mpaka mkurugenzi,akina ambeye angejalibu kufanya mchezo hii, utawala wa Magufuri kupoteza kazi ilikuwa ni jambo la kawaida ukijaribu kuhezea Serikali,hivo watendaji wote kuanzia Mawaziri hadi Wakurugenzi walikuwa makini sana, ndio maana haukuweza kuona haya mambo katika utawala wa Magufuri,huyu wa Sasahivi alivyoingia tu kaanza kusafisha wote waliokuwa wasaidizi wa Magufuri, waliokuwa wakimpa tarifa, kaanza kupanga safu yake mpya matokeo yake ndio haya sasahivi,na bado Mpaka miaka 4 iishe kichwa kitakuwa kimewaka Moto.
 
Sio mchezo
 
Kwamba huoni huu ukame unaoendelea?

Hakuna cha legacy, jpm did nothing zaidi ya ku-opress wasema ukweli.
Mkuu huo ukame hadi ziwa Victoria? Mradi wa maji ziwa Victoria uliisha na maji yakaanza kutoka kwa speed sana, Ila sasa hali ni mbaya maji hayatoki tena. Ndio nakuuliza ziwani napo Kuna ukame?
 
Usikute unatengenezwa mkakati wa kuwaleta watu dizaini ya city water[emoji1787][emoji2]
 
Tatizo hawajui kutumia uhuru kuwafinya tu kimya kimya watulie huku russia unasikia mwanaharakati kanywishwa sumu,saudia jamal khashongi alikatwa vipande vipande, huko china jack maa nae alianza kuandamwa baada ya kujifanya mwanaharaki

Ukiwapa uhuru wnakutukana dawa kuwafinya nilimpenda sana magu hawa wanaojifanya wanaharakati ndio wanaleta taharuki kweny jamii kumbe wanapigania matumbo yao
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Unatakaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…