Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

uzi wako wa kuomba ajira na kusema una shida na Maisha magumu ulioibuliwa na Mbabe wako adriz mbona huujibu?

akina GENTAMYCINE pale kwao oysterbay wana shida kubwa ya mfanyakazi muosha mbwa na shamba boy fanya hima uwasiliane nae ili uajiriwe kwao sawa?

halafu unapata wapi uhalali wa kusema kuwa GENTAMYCINE anachukiwa mno hapa jamiiforums wakati ndiyo member anayesomwa sana, anatuatiliwa mno, ana ushawishi mkubwa, mada zake nyingi zinachangia uwajibikaji na mabadiliko, ameshinda tuzo na zawadi ya mwanachama bora jukwaa la michezo ( sports ) jamiiforums kwa msimu wa mwaka 2022/2023 na ana followers wengi wapatao 167

kumchukia kwako GENTAMYCINE kutokana na shida, dhiki na umasikini mkubwa ulionao kusihalalishe kuwa members wengi hapa jamiiforums wanamchukia. Binafsi na adriz mbabe wako wala hatumchukii tena ndiyo tunampenda ile mbaya

lummox mkubwa wewe
 
🛠️⛏️⚙️🔨🔧🔧⛏️⚒️🪛🔩

Leo spana zimekolea sana.

Mwamba kapigwa spana hadi amekimbia
mbona lile tangazo lako / uzi wako wa kuomba ajira uliofufuliwa na mbabe wako adriz umeukimbia na huutendei haki kwa kuwajibu wadau?

nasikia kwao na akina wanatafuta mfanyakazi muosha mbwa na kusafisha banda lao tafadhali ili maisha magumu na ya dhiki uliyonayo yamekufanya that depressed, stressed and frustrated hadi kutwa unamchukia GENTAMYCINE bila sababu za msingi jishushe Kwake na kuwa mpole ili ulambe ajira hiyo kwao sawa?

Idiot
 
Jamaa anakuogopa sana Mkuu.
Wewe ndiye kiboko yake......

Anakuogopa kupita maelezo mkuu.
Naomba umsamehe.

Nahisi ataficha Ujuha wake.

🙏
ili tuamini maneno yako mwambie mumeo TUKANA UONE kama anataka vita na GENTAMYCINE amhakikishie kuwa hatomripoti kwa mods ili wampe ban au mods watoe rasmi ruhusa ya vita yao na wakiahidi hawatompa ban ili uone moto wake na kama huyu bwana wako TUKANA UONE hakukimbia na hakumkimbia

mbabe wako adriz ameufufua uzi wako uliitangaza unataka ajira kwakuwa una dhiki, shida na maisha magumu ila tunashangaa umeukimbia na hujibu makombora ya kule

kwao na akina GENTAMYCINE nasikia wanatafuta muosha mbwa na mfagia banda hivyo nakushauri kuliko kutumia muda wako mwingi kumchokoza kutwa hapa jamiiforums ili kupunguza makali yako ya kuwa depressed, stressed and frustrated ungemtafuta ili akuombee ajira hiyo kwao

idiot
 
[emoji23][emoji23]ila wewe mbilikimo una homoni za kike
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Mimi nafurahi sana mkuu

Spana zako kali mno mkuu
Yani mkunyubega na Ile ya butiama inanifurahisha sana.
adriz hii simbilizi na ndorobo iliyojitangaza katika uzi wake kuwa ina shida na inataka ajira imeukimbia ule uzi wake ulioufufua ili kumkomesha na kumuumbua

binafsi nina banda langu kubwa tu la nguruwe nataka nimuajiri awe anawahudumia na kuwabembeleza walale huku kila mara akiwa anakusanya kinyesi chao ili kiwe kinauzwa
 
Na hua akipigwa ban Yanga anashinda
ona kenge hii hivi huyo GENTAMYCINE alipokuwa banned derby ya katika nbc premier league na ile ya community shield kule mkoani tanga yanga sc ilishinda? mkiambiwa hamna akili mnabisha na kununa

hata kama mnamchukia watetezi tupo
 
ona kenge hii hivi huyo GENTAMYCINE alipokuwa banned derby ya katika nbc premier league na ile ya community shield kule mkoani tanga yanga sc ilishinda? mkiambiwa hamna akili mnabisha na kununa

hata kama mnamchukia watetezi tupo
Hatimae umetoa kichwa ulikua unajificha kenge wewe
 
Hatimae umetoa kichwa ulikua unajificha kenge wewe
umepewa ufafanuzi mujarab ambao lummox / ass kana wewe ulikuwa huujui

hata mkimchukia vipi GENTAMYCINE hapa jamiiforums sisi watetezi wake tupo na tutamtetea kwa gharama yoyote ile

hauna / hamna akili
 
Anaye kimbilia kurepot kwa Mods huwa ni wewe Cognizant a.k.a MZURI SANA a.k.a GENTAMYCINE!


Mimi hapa niko full masinondo wewe njoo nikupelekee moto hadi utubu,Ku-report kwa Mods huo ni Ujuha wako ambao Spana huwa zikizidi unaomba Msaada!.

Hapa ni mwendo wa Spana tu hadi utubu,sina muda na Mods kwa maana hii vita yangu na weww haiwahusu!


Haya njoo nakusubiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…