huyu mtu alikuwa mpuuzi sana tena sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dola ikishazoea Kusaidia mwisho itajisahau na kudhani ndio yenye haki ya kutawala
πππ€¬π₯΅π₯΅kadogosa yuko vizuriiii....dj walete katiii
View attachment 3178557
Waache wawazoeshe kuonja ukoleaji wa chumvi tu halafu wabweke kama mbwa koko baadaye!Dola ikishazoea Kusaidia mwisho itajisahau na kudhani ndio yenye haki ya kutawala
ππππ
Wakati mnanunua injini za dizeli kuvuta hiyo mikokoteni yenu; Wachina πkadogosa yuko vizuriiii....dj walete katiii
View attachment 3178557
Huku kwetu mtu anaweza kugombea urais wa nchi ila ety hawezi kuwa mwenyekiti wa chama πHuku kwetu mbowe hataki kung'atuka madarakani