Kumekucha: Elon Musk kwara nyingine

Kumekucha: Elon Musk kwara nyingine

Pana Prof mmoja kutoka Great Skill Hospital,Cape Town ndie Prof wa kwanza kugundua kufanya heart transplant na alifanikiwa hiyo Hospital wanaiita groot skull kwa Kiafrikans pana watu wana akili sana hapo matatizo yanayoshindikana kote hapo ndio mwisho wake..
Sasa hivi Kaburu kajenga Hospital ya kutatua matatizo ya Ubongo hapo JHB ina watu kweli na baadhi ya Watanzania wenye changamoto kubwa wamepona hapo..
 
Anaweza mwamba maana ni ana kampuni yenye utaalamu na kutoboa ardhi. Mwenyewe anaiita the boring company, a funny punny name😅
 
Pana Prof mmoja kutoka Great Skill Hospital,Cape Town ndie Prof wa kwanza kugundua kufanya heart transplant na alifanikiwa hiyo Hospital wanaiita groot skull kwa Kiafrikans pana watu wana akili sana hapo matatizo yanayoshindikana kote hapo ndio mwisho wake..
Sasa hivi Kaburu kajenga Hospital ya kutatua matatizo ya Ubongo hapo JHB ina watu kweli na baadhi ya Watanzania wenye changamoto kubwa wamepona hapo..
👍
 
Back
Top Bottom