Kumekucha jamani.....niseme nisiseme?

it is damn shame!!.......Uzi wa kijinga kama huu unakuwa na page mia ila uzi unaohusu viwanda unakuwa na page mbili!!![emoji32][emoji32][emoji32]
Hili ni somo la Psychology la kuweza kutambua watu na thinking capacity yao, maono, interest na umri vile vile.
 


Mkuu Sema basi kabla kifurushi hakija expire
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hivi genta umelaza watu macho sababu ya hii ya Mayanga? Hata wakigundua ana kinga watamfanyaje. Inabidi katiba ibadilishwe ndo wafukue makaburi.

Katika post zangu zote za uzi huu au katika thread content yangu kuna mahala popote labda umeona nimeitaja hiyo Kampuni ya Mayanga? Tafadhali nakuheshimu sana acha kunilisha maneno na kunisemea. Najua kwanini nimeanzisha huu uzi na nataka nini hapa na ' actually ' nilichokuwa nakitaka tayari nimeanza kukipatia majibu japo kuna ' Wapumbavu ' fulani wanadhani GENTAMYCINE nafanana nao Kiupumbavu hivyo wanadhani labda nimekurupuka kuuanzisha huu uzi. Kila siku huwa nasema kumuelewa GENTAMYCINE kunahitaji nawe uwe na IQ kubwa na iliyokutosha vinginevyo kila siku utamwona wa ajabu ila wenye ' akili ' huwa wananielewa upesi kama siyo haraka sana. Ndiyo maana Signature yangu ya ' Purely Talented and Charismatic Fella ' inasadifu / inahanikiza kila kitu. Kupitia page ya 1 hadi hii ya 9 sasa nimejifunza vingi na angalau sasa kuanza kuijua IQ ya wanaojiita ' Wasomi ' wa Tanzania.
 
Hili ni somo la Psychology la kuweza kutambua watu na thinking capacity yao, maono, interest na umri vile vile.

Nashukuru kwa kunielewa haraka na mapema Mkuu. Huwa nawapenda mno ' Majiniasi ' kama Wewe ambao huwa mnakuwa wepesi kumuelewa GENTAMYCINE tofauti na ' Wapumbavu ' kadhaa ambao wanapatika katika pages kadhaa katika uzi wangu huu.
 
Wewe genta ujue mimi nakuheshimu sana? Umelaza watu macho, wengine tumeamka tunakuta clip ya Mange. Nikadhani ndo hilo. Sema basi au unataka mji? Basi Tarime.

Pitia post yangu # 165 nimejibu kila kitu kwa ufasaha kabisa juu ya kwanini nimeanzisha huu uzi. Ukishaelewa nilichokiandika au kieleza hapo naomba unisaidie kufikisha ujumbe kwa ' Wapuuzi ' fulani ambao wao hudhani chuki zao Kwangu ndiyo kutanivunja moyo huku wakiwa wanasahau kwamba kadri wanavyozidi kunichukia ndiyo Kwanza Mwenyezi Mungu anazidi kunipaisha na kunifanya kila siku ni ' matawi ' hasa katika maarifa na upeo wa mambo mbalimbali ya Kidunia. Na waambie kama wasipobadilika na wao kuwa ' Wapumbavu ' kila uchao basi hii ID ya ' Kutukuka ' ya GENTAMYCINE itaendelea kuwatesa mno na wataishia kupasuka na kufa kwa ' Visununu ' vyao dhidi yangu.
 
Kwani nimekushikia Jiwe la Fatuma au AK 47 Kwamba lazima ufungue huu uzi wangu? Hopeless.
Hapana! Nimesikitishwa tu na member reputable kama wewe na wenye kutegemewa hapa jukwaaani kuanza ku behave namna hiyo! Ila siyo mbaya. Wanasemaga watu wakianza kuzeeka hurudia tabia na matendo ya utotoni!
 
MBITIYAZA nakupenda sana halafu nilikumisi mno baada ya kuona umekula Umeme / Ban hapa juzi kati. Sijui kwanini yaani nimetokea tu Kukudondokea Kimoyo na kuna siku huwezi amini niliota nakubaiolojia. Amini maneno yangu ninakupenda kupita maelezo. Kama vipi naomba tutiririke na tuserereke pamoja Kimalavidavi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…