Hili ni somo la Psychology la kuweza kutambua watu na thinking capacity yao, maono, interest na umri vile vile.it is damn shame!!.......Uzi wa kijinga kama huu unakuwa na page mia ila uzi unaohusu viwanda unakuwa na page mbili!!![emoji32][emoji32][emoji32]