Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Hahahaaa,,,,,mimi na mke mkuuLa kumbaioloji Mtu au kubaiolojiwa Wewe Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa,,,,,mimi na mke mkuuLa kumbaioloji Mtu au kubaiolojiwa Wewe Mkuu?
KwishaBado dakika 1
Yaani ungejua kila mtu anakutukana kimya kimyaNitatoa sasa Saa 8 Kamili usiku hivyo endeleeni kuwa macho.
Leo yaonekana unafuraha sana umepata demu bikra niniHaya mpo tayari kwa ' Kitu ' Wadau? Mna Kifua lakini kwani ama hakika ' Kitatikisa ' na kuwa ' gumzo ' mno humu JamiiForums.
Saa 12 asubuhi itapendeza....Tena mkiniudhi nitasema mpaka Saa 7 usiku. au kama vipi sijui tufanye niiweke hiyo taarifa Saa 8 Kamili usiku Mkuu. Wewe unashaurije? au tufanye Saa 9 Kamili kabisa Mkuu ili nisubirie Kwanza Members wabaiolojiane huko Vitandani mwao na wakimaliza najua watakuwa wameshachoka hivyo Mimi nitawachangamsha kwa hii taarifa yangu.
Nakuombea BANNitatoa sasa Saa 8 Kamili usiku hivyo endeleeni kuwa macho.
Shemej, kwa mtindo huu usitake niamini ule usemi wa wahenga "maumivu ya kichwa" huanza kama hivi....[emoji45] [emoji45]Nitatoa sasa Saa 8 Kamili usiku hivyo endeleeni kuwa macho.
Mkuu.....Bado masaa mawili silali
Mbona wew hulaliMkuu.....
Nakushauri ulale tu, hii ni saa mbovu...[emoji13] [emoji13]
Ohhhoooo.........[emoji47] [emoji47]Yaani ungejua kila mtu anakutukana kimya kimya
Mimi na kirungu hapa, nipo zam lindoniMbona wew hulali
Mimi naona akiweka mwaka mpya itapendeza zaidiSaa 12 asubuhi itapendeza....
Bora aweke mambo hadharani maana tumemtukana kimoyo moyo mpaka tumechokaMimi na kirungu hapa, nipo zam lindoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pumbavu kabisa huyu demu, anakusumbua mpaka weweNakuombea BAN