MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
MBITIYAZA nakupenda sana halafu nilikumisi mno baada ya kuona umekula Umeme / Ban hapa juzi kati. Sijui kwanini yaani nimetokea tu Kukudondokea Kimoyo na kuna siku huwezi amini niliota nakubaiolojia. Amini maneno yangu ninakupenda kupita maelezo. Kama vipi naomba tutiririke na tuserereke pamoja Kimalavidavi.
hahaha we sema ulichokuwa unataka kusema unatuweka roho juu juu !nikahis labda kuna fumanizi white house lol!
mie nilishabailojika na ww kitamboo usingizini !