Kumekucha, Jerry Muro ndani ya nyumba

Kumekucha, Jerry Muro ndani ya nyumba

Wee mwache tu alete ujuaji wa.........homa ya manjano
 
Ni kweli karudi hata jana kuna clip fulani niliipata!! Kesho nadhani atakuwa mjengoni!!
 
Kwa wale waliozani ukimya wa Jerry Muro umetokana na kutii adhabu ya TFF imekula kwao. Jerry alipewa likizo na YANGA ya mwezi 1, na imeisha jana... Leo karudi kazini rasmi na kesho atakuepo kwenye mkutano. WAKIMATAIFAAA ... Mooooooooo
Wasindikizaji wa KIMATAIFA
 
Mbona sielewi elewi hapa?
Colabo ya combination
1470425562695.jpg

Nini kinaendelea hapa?
 
Back
Top Bottom