Kumekucha: Kamanda mkuu wa Hezbollah na makamu wake wauawa na IDF

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa Hezbollah wamekua wakionywa kila siku kwamba Israel siku ikiamua kuanza kutembeza kichapo, watajutia, yaani mpaka sasa ifahamike Israel haijaanza chochot cha maana pale ila wamefaulu kumuua hadi kamanda mkuu na makamu wake.....siku wakianza mtakwenda kushtaki ICJ

Jamaa wamewahishwa kwa mabikira....

====================
The IDF says it eliminated a senior Hezbollah commander in the terror group’s elite Radwan Force, along with his deputy, in a strike in southern Lebanon yesterday.

Last night, the IDF says fighter jets struck a building used by Hezbollah in Nabatieh, killing Ali Muhammad al-Debes and his deputy Hassan Ibrahim Issa.

View: https://twitter.com/manniefabian/status/1758126534278136262?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1758126534278136262%7Ctwgr%5E6e7821cc8068bba137a3cb8b6c5a84d6311d4a0d%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Flivevlog-february-15-2024%2F
 
Hizbullah kama kundi teule kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu yaaani maana ndio lugha pekee wanayo ielewa magaidi ya kizayuni hayaelewi lugha nyengine
 
Hawa Hezbollah wamekua wakionywa kila siku kwamba Israel siku ikiamua kuanza kutembeza kichapo, watajutia, yaani mpaka sasa ifahamike Israel haijaanza chochot cha maana pale ila wamefaulu kumuua hadi kamanda mkuu na makamu wake.....siku wakianza mtakwenda kushtaki ICJ

Jamaa wamewahishwa kwa mabikira....

====================
The IDF says it eliminated a senior Hezbollah commander in the terror group’s elite Radwan Force, along with his deputy, in a strike in southern Lebanon yesterday.

Last night, the IDF says fighter jets struck a building used by Hezbollah in Nabatieh, killing Ali Muhammad al-Debes and his deputy Hassan Ibrahim Issa.

View: https://twitter.com/manniefabian/status/1758126534278136262?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1758126534278136262%7Ctwgr%5E6e7821cc8068bba137a3cb8b6c5a84d6311d4a0d%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Flivevlog-february-15-2024%2F

Hiyo ndo dawa ya magaidi
 
Yani huyu mtoa mada kila kukicha analeta zile zile The IDF says 😄

Kama vile uje na story Hezbullah kasema sisi tunataka ukweli kwa video na vitendo ndio tutamini sio nyimbo

View: https://youtube.com/shorts/C4vn1qRL6TQ?si=RLxHxYq5VgI6iHlo

Israel anasaidiwa na warabu siku zote tukiwambia nchi za kiarabu ndio adui wa Hamasi mnabisha, bila warabu wa UAE, Saud Arabia, Jordan na Egypt Israel angekuwa kisha potea hapo Middle East
 
Sio nchi zote za kiarabu zina support ugaidi wa Iran na vibaraka wake.
 
Back
Top Bottom