Kwa sababu ya matendo yao ya kigaidi.
Kuua raia wasiokua na hatia, kuteka na kubaka wanawake pamoja na watoto wadogo.
Huo ni ugaidi 100%.
Hauhitaji kuwa mkristo, muislam ama mpagani kutambua matendo maovu ya kigaidi yaliyotekelezwa na hamas 0ct 7
Wewe leta dalili moja tu hayo maneno yako ulio yasema kama kweli, utuonyeshe wapi Hamasi na Hezbullah wanabaka wanawake au wameuwa watoto wasio na hatia.
Huwezi leta na uhakika 💯 lakini we fatilia vita vya Israel na America ndio kuna hayo unayo ongelea na dunia nzima wanaushahidi.
Hamasi hawana sifa za kijinga za hivyo, nimeisha kueleza wewe ukiniletea dalili moja Hamasi wamerape au wameuwa watoto mimi naingia ukristo sasa hivi.
Wewe mimi nakupa dalili Gaza mpaa wanaume wamevuliwa nguo, watoto wameuliwa na wanawake wamekuwa rape huo si ugaidi? si nakuambia dini yenu ni ya kishetani ushenzi mnauna uzuri na uzuri mnauona ushenzi😄
Haya fatilia vita vyote alivyo pigana America anabaka anauwa watoto anauwa mpaa wanyama huo si ugaidi.
Ukristo ni lana tupu.
View: https://youtu.be/BMs1iiJEaSw?si=gdXEFYRLRM_yr5Yi
Kiongozi wa Hezbullah anawambia Israel msidhani mmeuwa raiya wasio na hatia tutapiga magari ya jeshi au camp zajeshi au vyombo vya ujasusu na etc. Safari hi na sisi tunakuja uwa raia wasio kuwa na hatia sababu Israel kazowea kuwauwa raia.
Afu kampa warning yule waziri wa majeshi wa Israel kama kachanganyikiwa basi safari hi atajua kitisho chake cha kusema tutapiga Beirut afahamu wazi hizo 50km si kitu wala haziwatishi.
Amemuambia Hezbullah ana silaha zenye uwezo wakufika Elat yani zina fika kila kona ya Israel na ziko na uwezo wa kupiga target 💯